Yaani hata tukio la Lissu kuwa Jela labda ni dogo.Suala la October 29 limetuchafua kama chama najua sasa hivi tuko kwenye majuto japokua hatuwezi kutoka na kukili mbele ya kadamnasi. Unaenda kwenye uchaguzi mkuu wa chama wakati mwenyekiti wa chama kikubwa cha Upinzani yuko jela? Mnaenda kwenye uchaguzi mnafanya mauaji ya watoto wadogo wazee bila sababu ya msingi kwa kisingizio cha kwamba vijana walikua vibaka wezi Je vibaka na wezi haki yako ni kupigwa risasi? Sasa hivi tunaweza kua tunakumbuka maneno ya Polepole zama zimebadilika kila chenye mwanzo hakikosi mwisho Je mwisho wa CCM umefika? Wananchi hawawezi kusahau kwa yaliyotokea October 29 maana waliouawawa kwenye matukio ya mauaji ni ndugu na jamaa zetu CCM kutoka chama cha kisiasa na kua chama cha mauaji na Ufisadi. CCM zama za hawa wazee ambao hawana maadili kufukuzwa kwenye chama zimefika fukuza wote wakina Jk na wasira ambao kwa ajili ya matumbo yao na familia zao umefika mwisho
Ni ujinga na upumbavuYaani hata tukio la Lissu kuwa Jela labda ni dogo.
Komesha ya yote ilikuwa, KUMTEKA MDUDE na POLEPOLE na kuacha DAMU zimechuruzika.
Kumpiga NONDO PADRE KITIMA.
Yaani kwa Samia ni MAJINI yalikuwa yanataka DAMU, hiyo Oktoba 29 ilikuwa ni kilele cha MAUAJI.
Ngoja kwanza tume ya jinai imalizie mamboKaa kimya unafikiri kila mwana CCM anafurahia mauji ya October 29?
Kwani Marekani kuna nini mbona watu wamekuwa wakali kuhusu VIZA NJOONI URUSI TUSuala la October 29 limetuchafua kama chama najua sasa hivi tuko kwenye majuto japokua hatuwezi kutoka na kukili mbele ya kadamnasi. Unaenda kwenye uchaguzi mkuu wa chama wakati mwenyekiti wa chama kikubwa cha Upinzani yuko jela? Mnaenda kwenye uchaguzi mnafanya mauaji ya watoto wadogo wazee bila sababu ya msingi kwa kisingizio cha kwamba vijana walikua vibaka wezi Je vibaka na wezi haki yako ni kupigwa risasi? Sasa hivi tunaweza kua tunakumbuka maneno ya Polepole zama zimebadilika kila chenye mwanzo hakikosi mwisho Je mwisho wa CCM umefika? Wananchi hawawezi kusahau kwa yaliyotokea October 29 maana waliouawawa kwenye matukio ya mauaji ni ndugu na jamaa zetu CCM kutoka chama cha kisiasa na kua chama cha mauaji na Ufisadi. CCM zama za hawa wazee ambao hawana maadili kufukuzwa kwenye chama zimefika fukuza wote wakina Jk na wasira ambao kwa ajili ya matumbo yao na familia zao umefika mwisho. Hakuna mwana CCM yoyote mwenye akili timamu anaeunga mkono mauaji ya October 29 labda CCM maslai tu
Wale mliowafuta majumbani akiwemo kichanga cha mwaka mmoja walifanya vurugu ipi?1. Acha kuisemea ccm maana hujui lolote
2. Kwani waliowatuma kufanya vurugu wenyewe hawajutii au ndo wamepata ajenda ya kisiasa?
Wametumwa na nani? Yaan muache kuwasikiliza watu, waki retaliate mnadai wametumwa’? Kwamba mtanzania hawezi amua lolote mpaka awezeshwe? Pathetic idiots1. Acha kuisemea ccm maana hujui lolote
2. Kwani waliowatuma kufanya vurugu wenyewe hawajutii au ndo wamepata ajenda ya kisiasa?
Lugha kongana
Onyesha wapi zimetokea kura 31m.1. Acha kuisemea ccm maana hujui lolote
2. Kwani waliowatuma kufanya vurugu wenyewe hawajutii au ndo wamepata ajenda ya kisiasa?
Tume inayofanya kazi kwa maagizo ya muhalifu namba moja ndio tukae tunaisubiri?!Ngoja kwanza tume ya jinai imalizie mambo
1. Uchaguzi huo haukuwahusu maana hamkushiriki, kuna shida gani?Onyesha wapi zimetokea kura 31m.