CCM tukatae tukubali suala la October 29 limetuachia doa na kutuchafua na kushusha heshima kama chama tawala

Ikiwa waliowatuma vijana hawajutii kuuawa kwa vijana hao na badala yake wamepata agenda ya kisiasa itakuwa kwa CCM!?
 
Ikiwa waliowatuma vijana hawajutii kuuawa kwa vijana hao na badala yake wamepata agenda ya kisiasa itakuwa kwa CCM!?
Acheni stori za kutumwa kuna watu waliuwawa kwenye la
mpira mwanza hao
Walikua wametumwa na nani? Mbona mnapotosha Rais?
 
Nina Imani CCM tungefanya mabadiliko na kwenye Tume tukaweka mtu anaekubalika bado uchaguzi tungeweza kushinda chadema japokua ushindi mwembamba sana
Huojui CCM. Ni lini CCM waliweka mgombea anayekubalika?
Ni lini CCM walishinda uchaguzi?
 
1. Uchaguzi huo haukuwahusu maana hamkushiriki, kuna shida gani?

2. Usipinge takwimu bila utafiti..
-inec wamesema ni kura 31m, na walioshiriki kura hawakupinga, nyie zilikuwa ngapi? Ndo mseme.
Yaani useme inec wamesema basi tuamini? Watanzania tuko 65m, ina maana nusu ya watanzania wote wako juu ya 31m, na wote wakapiga kura. Unaamini kuna wajinga wa hivyo?
 
Mtawajibika kwa mauaji hayo.
 
Na wewe kitendo cha kubadili mionekano yao kinakufanya uwe mpumbavu pro max. Ungeweza kufikisha ujumbe wako bila kubadili mionekano yao.
Na wewe ni taahira tu kwani huelewi maaana ya ujumbe katika sanaa ya picha.
 
Ikiwa waliowatuma vijana hawajutii kuuawa kwa vijana hao na badala yake wamepata agenda ya kisiasa itakuwa kwa CCM!?
Hii dhana kwamba vijana wanatumwa au wanatumiwa inatokea wapi?

Kwamba vijana hawawezi kufanya maamuzi wenyewe? Ni wajinga kias gani mpaka watumwe?
 
1. Acha kuisemea ccm maana hujui lolote

2. Kwani waliowatuma kufanya vurugu wenyewe hawajutii au ndo wamepata ajenda ya kisiasa?
Lugha ya kutumwa ni ya kitoto kabisa, Vijana walijiandaa kuandamana Siku nyingi kabla, walionekana kwenye mitandao yote wakipania maandamano, binafsi nilizuia watu kadhaa kwenda maandamano, na tulikaa mbele ya nyumba yangu masaa kadhaa nikawasihi wasifanye hilo kosa, hawa walitaka kuandamana kwa feeling zao na si kwamba walilipwa, hii lugha ya kulipwa ni ya wajinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…