Swala la mkatapa Kati ya Tanzania na DP world limeleta mgawanyiko Kati ya jamii,Dini,siasa na hata kutishia uhai wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar .
Niwambie kwamba wananchi hawajamsahau Hayati JPM ,slogun zake,uzalendo wake kwa taifa .ushaidi tumeona .waliyosema watenda kunyea kaburi la JPM Leo wanataka kwenda kumwamsha Ili wamwambie namna CCM ikivyomsaliti.Hata waliyosema aliamru wapigwe lisasi Leo wanamsifia..sijajua CCM tunawaza nini.kusema ukweli tuache kujidanganya mkataba huu umelikoroga .labda kama tunajidai kutumia katiba chakavu,tume isiyokuwa huru,au mtutu wa bunduki!! Hivi mnaamini kanisa liko upande wetu? Mnaamini wananchi wako upande wetu?Kauli ya kusema CCM Ina wenyewe itasaidia 2025? Common guys.Tutafute namna ya kutoka hapa.Hatujachelewa kabisa hata kidogo.