CCM tukiacha mkatapa wa DP world tunapungukiwa nini? 2025 tutatumia mtutu kurudi ikulu?

Swala la mkatapa Kati ya Tanzania na DP world limeleta mgawanyiko Kati ya jamii,Dini,siasa na hata kutishia uhai wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar .

Niwambie kwamba wananchi hawajamsahau Hayati JPM ,slogun zake,uzalendo wake kwa taifa .ushaidi tumeona .waliyosema watenda kunyea kaburi la JPM Leo wanataka kwenda kumwamsha Ili wamwambie namna CCM ikivyomsaliti.Hata waliyosema aliamru wapigwe lisasi Leo wanamsifia..sijajua CCM tunawaza nini.kusema ukweli tuache kujidanganya mkataba huu umelikoroga .labda kama tunajidai kutumia katiba chakavu,tume isiyokuwa huru,au mtutu wa bunduki!! Hivi mnaamini kanisa liko upande wetu? Mnaamini wananchi wako upande wetu?Kauli ya kusema CCM Ina wenyewe itasaidia 2025? Common guys.Tutafute namna ya kutoka hapa.Hatujachelewa kabisa hata kidogo.
Magufuli ana lawama kubwa sana katika mkataba huu kupita.

Yeye ndiye aliyeua upinzani, alinunua wabunge, na hata wabunge wa CCM aliwakata wengi waliopendwa.

Akafanya tuwe na bunge dhaifu lililoupitisha mkataba wa IGA kwa style ya rubber stamp na kura za sauti tu.

Usitake kumnasua Magufuli kutoka kwenye lawama za IGA hii kupita.

Anahusika sana.
 
Huuhuu utajitambua tu nadhani wakishahakikishuwa kuwa kutakuwa na free and fair grounds kwa yeyote, muhimu tu waweke watu wasio na mihemko ya kiuongozi yaani vetting ya nafasi ya urais ifanywe na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kwa kuangalia maslahi mapana ya taifa maano lolote laweza kutokea. Sasa kama watakuwa hawajatupia jicho lao kule tunaweza kupata mtu wa hovyo
Hapo naweza kuelewa kiasi Fulani
 
Uo mkataba unaenda kuwafanya mafisadi waliopo nyuma ya huo mkataba kuwa matilionea
Wanagawana na mwarabu
 
Magufuli ana lawama kubwa sana katika mkataba huu kupita.

Yeye ndiye aliyeua upinzani, alinunua wabunge, na hata wabunge wa CCM aliwakata wengi waliopendwa.

Akafanya tuwe na bunge dhaifu lililoupitisha mkataba wa IGA kwa style ya rubber stamp na kura za sauti tu.

Usitake kumnasua Magufuli kutoka kwenye lawama za IGA hii kupita.

Anahusika sana.
Toa ujinga hapa, hata upinzani ungekuwa na wabunge 75 kama 2016 Bado wasingezuia CCM kupitisha jambo lake!!!

Walaumiwe waliozima kifaa Cha kupumulia Cha mchongo!!
 
Swala la mkatapa Kati ya Tanzania na DP world limeleta mgawanyiko Kati ya jamii,Dini,siasa na hata kutishia uhai wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar .

Niwambie kwamba wananchi hawajamsahau Hayati JPM ,slogun zake,uzalendo wake kwa taifa .ushaidi tumeona .waliyosema watenda kunyea kaburi la JPM Leo wanataka kwenda kumwamsha Ili wamwambie namna CCM ikivyomsaliti.Hata waliyosema aliamru wapigwe lisasi Leo wanamsifia..sijajua CCM tunawaza nini.kusema ukweli tuache kujidanganya mkataba huu umelikoroga .labda kama tunajidai kutumia katiba chakavu,tume isiyokuwa huru,au mtutu wa bunduki!! Hivi mnaamini kanisa liko upande wetu? Mnaamini wananchi wako upande wetu?Kauli ya kusema CCM Ina wenyewe itasaidia 2025? Common guys.Tutafute namna ya kutoka hapa.Hatujachelewa kabisa hata kidogo.
Tuliza hilo tako lako mkataba umeshapita. Kwani ukitekelezwa we unakosa nini. Acha unafiki kujifanya unaijua sana bandari ya Dar Es Salaam. Iache serikali ifanye maendeleo we kahangaike na umaskini wa ukoo wenu
 
Swala la mkatapa Kati ya Tanzania na DP world limeleta mgawanyiko Kati ya jamii,Dini,siasa na hata kutishia uhai wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar .

Niwambie kwamba wananchi hawajamsahau Hayati JPM ,slogun zake,uzalendo wake kwa taifa .ushaidi tumeona .waliyosema watenda kunyea kaburi la JPM Leo wanataka kwenda kumwamsha Ili wamwambie namna CCM ikivyomsaliti.Hata waliyosema aliamru wapigwe lisasi Leo wanamsifia..sijajua CCM tunawaza nini.kusema ukweli tuache kujidanganya mkataba huu umelikoroga .labda kama tunajidai kutumia katiba chakavu,tume isiyokuwa huru,au mtutu wa bunduki!! Hivi mnaamini kanisa liko upande wetu? Mnaamini wananchi wako upande wetu?Kauli ya kusema CCM Ina wenyewe itasaidia 2025? Common guys.Tutafute namna ya kutoka hapa.Hatujachelewa kabisa hata kidogo.
Magufuli ndio alikuwa mwizi hakuwa na uzalendo wowote. Mahela mengi yako nje ya nchi. Na alikuwa mbaguzi sana aliigawa nchi msitake kutukumbusha habari za yule shetani wenu.
 
Swala la mkatapa Kati ya Tanzania na DP world limeleta mgawanyiko Kati ya jamii,Dini,siasa na hata kutishia uhai wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar .

Niwambie kwamba wananchi hawajamsahau Hayati JPM ,slogun zake,uzalendo wake kwa taifa .ushaidi tumeona .waliyosema watenda kunyea kaburi la JPM Leo wanataka kwenda kumwamsha Ili wamwambie namna CCM ikivyomsaliti.Hata waliyosema aliamru wapigwe lisasi Leo wanamsifia..sijajua CCM tunawaza nini.kusema ukweli tuache kujidanganya mkataba huu umelikoroga .labda kama tunajidai kutumia katiba chakavu,tume isiyokuwa huru,au mtutu wa bunduki!! Hivi mnaamini kanisa liko upande wetu? Mnaamini wananchi wako upande wetu?Kauli ya kusema CCM Ina wenyewe itasaidia 2025? Common guys.Tutafute namna ya kutoka hapa.Hatujachelewa kabisa hata kidogo.
Magufuli hana hati miliki ya nchi hii, Nyerere alikaa ikulu miaka 24 hamumtaji nyie manyau mtu amekaa miaka 5 tu eti wanaenda kumwamsha? Acheni ushamba wenu wa sukuma gang hii nchi ni ya watanzania yeye si lolote na ameshakufa mfuateni km mnaopna VIPI
 
Sikio la kufa halisikii dawa. CCM ya asili ilikufa rasmi na hayati Mwl. Nyerere. Toka miaka ya 2000 tumeshuhudia chama tawala kukiendeshwa na wahuni, makanjanja na matapeli wa kisiasa, na tena wasiokuwa na maono wala uzalendo kwa taifa letu.

Hiki tunachokishuhudia kupitia sintofahamu inayoendelea hivi leo katika mkataba wa DPW ni kilele cha kuwa "dysfunctional" ya madhaifu yao. Ondoa CCM madarakani ili kuliponya taifa la Tanganyika na Tanzania.
mbona mna chama chetu na hamshindagi? Achana na CCM, CCM chama dume bado sana kuiondoa madarakani. Watu mmeshimndwa hata kujenga kibanda cha ofisi utashindana vipi ni dume km CCM
 
Swala la mkatapa Kati ya Tanzania na DP world limeleta mgawanyiko Kati ya jamii,Dini,siasa na hata kutishia uhai wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar .

Niwambie kwamba wananchi hawajamsahau Hayati JPM ,slogun zake,uzalendo wake kwa taifa .ushaidi tumeona .waliyosema watenda kunyea kaburi la JPM Leo wanataka kwenda kumwamsha Ili wamwambie namna CCM ikivyomsaliti.Hata waliyosema aliamru wapigwe lisasi Leo wanamsifia..sijajua CCM tunawaza nini.kusema ukweli tuache kujidanganya mkataba huu umelikoroga .labda kama tunajidai kutumia katiba chakavu,tume isiyokuwa huru,au mtutu wa bunduki!! Hivi mnaamini kanisa liko upande wetu? Mnaamini wananchi wako upande wetu?Kauli ya kusema CCM Ina wenyewe itasaidia 2025? Common guys.Tutafute namna ya kutoka hapa.Hatujachelewa kabisa hata kidogo.
kwa nini tuachane nao?

Nchi itakosa uwekezaji makini kutoka kwa watu makini na itakosa mapato mengi sana yanayoweza kuitransform nchi yetu kiuchumi na kimaendeleo

Una swali lingine?
 
CCM leo iko Mwanza huoni hiyo nyomi, wale watu ni laki ngapi. We hangaika na maisha yako CCM hamuiwezi kile ni chama dola
 
Ni ngumu kutoboa 2025...

Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
 
kwa nini tuachane nao?

Nchi itakosa uwekezaji makini kutoka kwa watu makini na itakosa mapato mengi sana yanayoweza kuitransform nchi yetu kiuchumi na kimaendeleo

Una swali lingine?
Kwanini?

Hakuna hoja hapo. Ni hofu na speculations tu
 
mbona mna chama chetu na hamshindagi? Achana na CCM, CCM chama dume bado sana kuiondoa madarakani. Watu mmeshimndwa hata kujenga kibanda cha ofisi utashindana vipi ni dume km CCM
Tatizo liananzia pale akili ndogo ilipopewa dhamana ya kuongoza akili kubwa. Huo ni mkwamo mkubwa ambao njia mbadala zinapaswa kuchukuliwa na vyombo vya ulinzi na usalama.

Katika nchi hii kuwa chini ya utawala wa CCM kwa hakika ni laana, tumo ndani ya "vicious cycle" suala ambalo kwa vyovyote vile linahitaji "paradigm shift" ili kuweka mfumo sahihi wa uongozi. Suala hili ndilo sasa linapiganiwa kupitia hitaji la katiba mpya na muundo mpya wa tume ya taifa ya uchaguzi.

CCM ni sawa na mvinyo wa kale, kwa vyovyote vile huwezi kuuweka tena katika kiriba kipya. Mvinyo mpya huitaji kuwekwa katika kiriba kipya. Kiriba ni sawa na mfumo wa vyombo vya dola nchini na taasisi nyeti ya urais.
 
kwa nini tuachane nao?

Nchi itakosa uwekezaji makini kutoka kwa watu makini na itakosa mapato mengi sana yanayoweza kuitransform nchi yetu kiuchumi na kimaendeleo

Una swali lingine?
Wewe ni mtu makini? au wewe siyo mtu makini?
Ikiwa wewe ni mtu makini umeshindwa kuishawishi serikali yako kukupa wewe na wenzako walio makini bandari walau moja mkaiendesha?
Kama wewe si mtu makini usinijibu
 
CCM hata wakiamua kugawa mbuga zote za wanyama pamoja na mlima Kilimanjaro bado wataendelea kubakishwa kutawala

CCM haigusiki kirahisi kwa sababu ina mtaji mkubwa wa wajinga wasioelewa jambo lolote lile.
 
Toa ujinga hapa, hata upinzani ungekuwa na wabunge 75 kama 2016 Bado wasingezuia CCM kupitisha jambo lake!!!

Walaumiwe waliozima kifaa Cha kupumulia Cha mchongo!!
Magufuli alisababisha bunge kibogoyo la Ndiyooooo...pia alipanga kuwa Rais wa maisha, Mola kaamua ugomvi.
 
Back
Top Bottom