eliasmisinzo
JF-Expert Member
- Aug 13, 2021
- 1,259
- 1,321
CCM sanduku lao la kura ni TISS na Polisi, bila hao, kesho tu asubuhi hawapo.mbona mna chama chetu na hamshindagi? Achana na CCM, CCM chama dume bado sana kuiondoa madarakani. Watu mmeshimndwa hata kujenga kibanda cha ofisi utashindana vipi ni dume km CCM