E eliasmisinzo JF-Expert Member Joined Aug 13, 2021 Posts 1,259 Reaction score 1,321 Jul 30, 2023 #41 saigilomagema said: mbona mna chama chetu na hamshindagi? Achana na CCM, CCM chama dume bado sana kuiondoa madarakani. Watu mmeshimndwa hata kujenga kibanda cha ofisi utashindana vipi ni dume km CCM Click to expand... CCM sanduku lao la kura ni TISS na Polisi, bila hao, kesho tu asubuhi hawapo.
saigilomagema said: mbona mna chama chetu na hamshindagi? Achana na CCM, CCM chama dume bado sana kuiondoa madarakani. Watu mmeshimndwa hata kujenga kibanda cha ofisi utashindana vipi ni dume km CCM Click to expand... CCM sanduku lao la kura ni TISS na Polisi, bila hao, kesho tu asubuhi hawapo.
E eliasmisinzo JF-Expert Member Joined Aug 13, 2021 Posts 1,259 Reaction score 1,321 Jul 30, 2023 #42 saigilomagema said: CCM leo iko Mwanza huoni hiyo nyomi, wale watu ni laki ngapi. We hangaika na maisha yako CCM hamuiwezi kile ni chama dola Click to expand... Nyomi ya kusombwa na maroli, kwa hiari ni sifuri.
saigilomagema said: CCM leo iko Mwanza huoni hiyo nyomi, wale watu ni laki ngapi. We hangaika na maisha yako CCM hamuiwezi kile ni chama dola Click to expand... Nyomi ya kusombwa na maroli, kwa hiari ni sifuri.