Pre GE2025 CCM Tumeamua Kumpa Mitano Tena Rais Samia

Pre GE2025 CCM Tumeamua Kumpa Mitano Tena Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Silipwi hata mia .ni uzalendo na kuunga mkono kazi nzuri na njema zinazofanywa na Mama huyu aliye chaguo la Mungu na aliyeinuliwa na Mungu Mwenyewe
MUNGU yupi anayeweza kumuinua mtu anayeamini katika miungu mingine??..Walio wake Anawajua.
 
CCM ni Chama kongwe cha kidemokrasia, itatoa fomu za ugombea Urais kwa wana CCM wote wenye sifa washindanishwe. Pia muda wa wagombea Urais kujitangaza haujafika hado oktoba 2025.
 
CCM ni Chama kongwe cha kidemokrasia, itatoa fomu za ugombea Urais kwa wana CCM wote wenye sifa washindanishwe. Pia muda wa wagombea Urais kujitangaza haujafika hado oktoba 2025.
Fomu ni moja tu ya Urais kwa ajili ya Rais Samia.sisi ndio CCM na wana CCM ndio tumeamua hivyo.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Huo ndio uamuzi kutoka katika mioyo ya mamilioni ya wafuasi, wakereketwa,mashabiki na wanachama wa CCM Nchini kwote.kuwa ni lazima tumpe Miaka mitano Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na
Kuna mambo ya kukubaliana katika hili
1.Mkopo ya nje isiwe chaka la kufidia upungufu katika bajeti isipokuwa Mauzo ya nje.
2.Hatutaki kufunga watu midomo tunataka uhuru kama 4R zinanavyo taka.
3.Serikali iwe wazi kwanini imeua mashirika kwa kunyayang'anya mapato nakuacha kila kitu grounded.
4.Bandari mkataba uvunjwe apewe mtu kwa short term na sio life time contract.
5.Watalii wanakimbizwa kama mwenge huku mbugani,hawapewi muda kupata huduma wanaenda kulala kama Bata visiwani
6.Tunaomba mikopo iwekwe wazi na sio kukopa kwa.siri na hatimae deni la sasa ni trillion 133
7.Tunaka Barabara nane mpaka msamvu na mpaka Dodoma kupunguza ajari.
8.Magari ya umeme isiwe janja janja kwa umeme huu wa Mkulu ni wazi tusikimbie kivuli chetu magari umeme hayakwepeki,hivyo anataka kuongoza afuate hiyo.manifestation
 
Ndugu zangu Watanzania,

Huo ndio uamuzi kutoka katika mioyo ya mamilioni ya wafuasi, wakereketwa,mashabiki na wanachama wa CCM Nchini k

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwa jinsi alivyoonyesha umahiri wa kuteka na kuua wapinzani ni kwanini msimpe hiyo mitano tena?
 
Back
Top Bottom