johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mchangiaji wa kwanza wa hotuba muhimu ya ofisi ya waziri mkuu mh Lusinde aliyepewa dakika za kipekee (15) kutumia muda mwingi kuwasimanga wasomi na wapinzani hasa CHADEMA halina afya kabisa kwa sasa.
Ofisi ya Waziri Mkuu ndio mlezi wa vyama vya siasa sasa kuipandikiza mbegu za chuki na husuda siyo jambo jema.
Kadhalika kuwashambulia wasomi kupitia ofisi ya Waziri Mkuu haikubaliki kama wewe ni kidume ungemsubiri Profesa Ndalichako katika hotuba yake ndio uwanange maprofesa.
CCM tujiangalie huu msafara wa mamba nawaona kenge wengi.
Ramadhan Kareem!