johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Niseme tu,Mchangiaji wa kwanza wa hotuba muhimu ya ofisi ya waziri mkuu mh Lusinde aliyepewa dakika za kipekee (15) kutumia muda mwingi kuwasimanga wasomi na wapinzani hasa Chadema halina afya kabisa kwa sasa.
Ofisi ya waziri mkuu ndio mlezi wa vyama vya siasa sasa kuipandikiza mbegu za chuki na husuda siyo jambo jema.
Kadhalika kuwashambulia wasomi kupitia ofisi ya waziri mkuu haikubaliki kama wewe ni kidume ungemsubiri Prof Ndalichako katika hotuba yake ndio uwanange maprofesa.
CCM tujiangalie huu msafara wa mamba nawaona kenge wengi.
Ramadhan Kareem!
Ngoja Nijikite ktk Kuwatafasilia "Kibajaji na Musukuma," Kwani Kwao Hii NGENGE ni Mtihani Mkubwa wanadhani umewasifia... "Tusidharau Wajinga Wana Nguvu Kubwa Hasa Wawapo ndani ya Kundi Kubwa".Never underestimate the power of stupid people in a large group....
Wakati mwingine unakuwa Kama unarejewa na fahamu zako kwa dakika chache, Kisha unakata Tena motoMchangiaji wa kwanza wa hotuba muhimu ya ofisi ya waziri mkuu mh Lusinde aliyepewa dakika za kipekee (15) kutumia muda mwingi kuwasimanga wasomi na wapinzani hasa Chadema halina afya kabisa kwa sasa.
Ofisi ya waziri mkuu ndio mlezi wa vyama vya siasa sasa kuipandikiza mbegu za chuki na husuda siyo jambo jema.
Kadhalika kuwashambulia wasomi kupitia ofisi ya waziri mkuu haikubaliki kama wewe ni kidume ungemsubiri Prof Ndalichako katika hotuba yake ndio uwanange maprofesa.
CCM tujiangalie huu msafara wa mamba nawaona kenge wengi.
Ramadhan Kareem!
Never underestimate the power of stupid people in a large group....
Bunge halina mwekelekeo utadhani ni gulio la washenzi.....
Disgusting....
Ka WizardMsitupigie kelele...
Mlisema wapinzani waliwachelewesha sana...
Mara hamtaki kuchanganyiwa ....
Haya pigeni nyungu na kula malimao kwa utulivu....
Mnao akina msukuma watachangia tu na kuonyesha upigaji nyungu ni bora kuliko chanjo...
View attachment 1752897
Kumbe unakuwaga smart ee?Mchangiaji wa kwanza wa hotuba muhimu ya ofisi ya waziri mkuu mh Lusinde aliyepewa dakika za kipekee (15) kutumia muda mwingi kuwasimanga wasomi na wapinzani hasa CHADEMA halina afya kabisa kwa sasa.
Ofisi ya Waziri Mkuu ndio mlezi wa vyama vya siasa sasa kuipandikiza mbegu za chuki na husuda siyo jambo jema.
Kadhalika kuwashambulia wasomi kupitia ofisi ya Waziri Mkuu haikubaliki kama wewe ni kidume ungemsubiri Profesa Ndalichako katika hotuba yake ndio uwanange maprofesa.
CCM tujiangalie huu msafara wa mamba nawaona kenge wengi.
Ramadhan Kareem!
Hili linachangizwa na ndungai mi ningeshauri wabunge wasomi wasichangie wawaachie hao std7 walioandaliwa na spika waongoze nchi kupitia bunge.Mchangiaji wa kwanza wa hotuba muhimu ya ofisi ya waziri mkuu mh Lusinde aliyepewa dakika za kipekee (15) kutumia muda mwingi kuwasimanga wasomi na wapinzani hasa CHADEMA halina afya kabisa kwa sasa.
Ofisi ya Waziri Mkuu ndio mlezi wa vyama vya siasa sasa kuipandikiza mbegu za chuki na husuda siyo jambo jema.
Kadhalika kuwashambulia wasomi kupitia ofisi ya Waziri Mkuu haikubaliki kama wewe ni kidume ungemsubiri Profesa Ndalichako katika hotuba yake ndio uwanange maprofesa.
CCM tujiangalie huu msafara wa mamba nawaona kenge wengi.
Ramadhan Kareem!
Halafu anawashabikia hadharani as if they are doing any good for this nation! Ilihali wanatetea matumbo yao tu!Musukuma, Kibajaji, Milinga ni mitambo ya maangamizi inayotumiwa na Spika Ndugai and he is proud of them.
none-directionMchangiaji wa kwanza wa hotuba muhimu ya ofisi ya waziri mkuu mh Lusinde aliyepewa dakika za kipekee (15) kutumia muda mwingi kuwasimanga wasomi na wapinzani hasa CHADEMA halina afya kabisa kwa sasa.
Ofisi ya Waziri Mkuu ndio mlezi wa vyama vya siasa sasa kuipandikiza mbegu za chuki na husuda siyo jambo jema.
Kadhalika kuwashambulia wasomi kupitia ofisi ya Waziri Mkuu haikubaliki kama wewe ni kidume ungemsubiri Profesa Ndalichako katika hotuba yake ndio uwanange maprofesa.
CCM tujiangalie huu msafara wa mamba nawaona kenge wengi.
Ramadhan Kareem!
Baada ya kuhakikisha kuwa harudi baadhi ya MATAGA wameanza kuchukua ubongo waoWakati mwingine unakuwa Kama unarejewa na fahamu zako kwa dakika chache, Kisha unakata Tena moto