CCM tutaendelea kujidanganya kwamba mikutano ya sasa ya CHADEMA haina madhara kwa CCM? Kweli?

CCM tutaendelea kujidanganya kwamba mikutano ya sasa ya CHADEMA haina madhara kwa CCM? Kweli?

badirika

Senior Member
Joined
Apr 25, 2026
Posts
153
Reaction score
162
Ukisoma komenti zinazotolewa kwenye nyuzi zinazohusu mikutano ya chadema utaona kuna wanaccm sijui akili zimekuwaje. badala ya kufikiri tufanyeje ili kuiponya CCM na anguko kubwa tunabaki tunajifariji.kwamba Ccm wote tumeishia la saba ya vijini au?

Dada yake Polepole kafika EU hatujiulizi kafikaje kule hata kama hatuhusiki na utekwaji wa kaka yake ,mke wa TL amefika EU amesema aliyoyasema.

Kwenye mkutano wa CHADEMA pale Tunduma mama mmoja mfiwa kasimama jukwani kaongea vile ,na kumbe kuna fomu za UN zinajazwa na wapinzani wetu, na bado tunaingia Jf Kutoa matusi tu .

Aisee nasikia kulia kwa kweli
 
CCM mmeyataka wenyewe, yaani kama sahivi eti uchaguzi unafanyika then Chadema wanapata mmbunge mmoja, Kwa upumbavu wenu mkadhani mnakijenga chama, kumbe ndo mnajizika,

CCM imemtengeneza mpinzani mwingine (Heche) bila kujua, Kwa kumfunga Lissu, Heche ameibuka na kuwa hatari haijapata kutokea
 
ukisoma komenti zinazotolewa kwenye nyuzi zinazohusu mikutano ya chadema utaona kuna wanaccm sijui akili zimekuwaje. badala ya kufikiri tufanyeje ili kuiponya Ccm na anguko kubwa tunabaki tunajifariji.kwamba Ccm wote tumeishia la saba ya vijini au?

dada yake polepole kafika EU hatuj
Haina madhara kwa sababu tutaiba kura kama siku zote. Kwa nini hamtuelewi?
 
ukisoma komenti zinazotolewa kwenye nyuzi zinazohusu mikutano ya chadema utaona kuna wanaccm sijui akili zimekuwaje. badala ya kufikiri tufanyeje ili kuiponya Ccm na anguko kubwa tunabaki tunajifariji.kwamba Ccm wote tumeishia la saba ya vijini au?

dada yake polep
Sasa kama kwenye chama wenye akili wanaoigwa vita , na machawa ndio wamekuwa wasemaji unafikiria nini kinaendelea?

Smart guys wamekaa nyuma wameacha waone chama kinaelekea wapi
 
ukisoma komenti zinazotolewa kwenye nyuzi zinazohusu mikutano ya chadema utaona kuna wanaccm sijui akili zimekuwaje. badala ya kufikiri tufanyeje ili kuiponya Ccm na anguko kubwa tunabaki tunajifariji.kwamba Ccm wote tumeishia la saba ya vijini au?

dada yake polepole kafika EU hatujiulizi kafikaje kule hatakautoa matusi tu .
aisee nasikia kulia kwa kweli
Ushauri wa bure undeni kamati huru sii ya mchongo kama tume zenu za mchongo za siku zote wachunguzeni chawa wenu kama Mushamba,Tilatlah,Fanuel Funika,akina wamiliki wa mbwa mwitu na akina chadema hawakubaliki ama akina bibi asemewe,kwani taifa linaangamizwa kila kona,linawaka moto kisa chawa laaminiwa,almuradi njia yake yakwenda toi haioti nyasi.

AKILI kumkichwa taifa linanauhitaji ukombozi kuliko wakati wowote,walio na macho waone,wenye masikio,wasikoa,hata watembea na fimbo za usaidizi kuona watembee na fimbo tano badala ya moja.Mungu ingilia kati taifa liamke kutoka usingizi hatari wenye kupumbaza na kubembeleza katikati ya hatari kubwa.
 
ukisoma komenti zinazotolewa kwenye nyuzi zinazohusu mikutano ya chadema utaona kuna wanaccm sijui akili zimekuwaje. badala ya kufikiri tufanyeje ili kuiponya Ccm na anguko kubwa tunabaki tunajifariji.kwamba Ccm wote tumeishia la saba ya vijini au?
na fomu za UN zinajazwa na wapinzani wetu,na bado tunaingia Jf Kutoa matusi tu .
aisee nasikia kulia kwa kweli
Wewe ni CCM kweli? Labda CCM wa aina ya kina Judge Warioba. Otherwise, a typical CCM member is myopic!
 
CCM mmeyataka wenyewe, yaani kama sahivi eti uchaguzi unafanyika then Chadema wanapata mmbunge mmoja, Kwa upumbavu wenu mkadhani mnakijenga chama, kumbe ndo mnajizika,

CCM imemtengeneza mpinzani mwingine (Heche) bila kujua, Kwa kumfunga Lissu, Heche ameibuka na kuwa hatari haijapata kutokea
Kuna wakati naona afadhali Tundu Lissu kuliko Heche, huyu muraa ni balaa ni kisiki cha mpingo, kumfunga Lissu kumemfanya Heche kuwa maarufu na nembo kuu kama alivyo Lissu.
 
Ukisoma komenti zinazotolewa kwenye nyuzi zinazohusu mikutano ya chadema utaona kuna wanaccm sijui akili zimekuwaje. badala ya kufikiri tufanyeje ili kuiponya Ccm na anguko kubwa tunabaki tunajifariji.kwamba Ccm wote tumeishia la saba ya vijini au?

Dada yake polep

Aisee nasikia kulia kwa kweli
Ndugu shituka.
CCM hii siyo tena chama cha siasa, wala sio chama cha wakulima na wafanyakazi tena, ni genge la watu wachache wanyonyaji wakishetani.
 
Kuna wakati naona afadhali Tundu Lissu kuliko Heche, huyu muraa ni balaa ni kisiki cha mpingo, kumfunga Lissu kumemfanya Heche kuwa maarufu na nembo kuu kama alivyo Lissu.
Watawala ni wavivu tu wa kufikiria, but there’s no way you can cripple a viable political party by just taking out its top leader. Leo hii hata Heche naye wakimkamata, utashangaa nguvu ya mtu atakayevivaa viatu vya Heche. Anaweza kuwa balaa kuliko balaa lililotangulia.

Wapiganaji wapo wengi sana. A political party just needs one leader at a time!
 
Screenshot_20260616-173300~2.png
 
Ukisoma komenti zinazotolewa kwenye nyuzi zinazohusu mikutano ya chadema utaona kuna wanaccm sijui akili zimekuwaje. badala ya kufikiri tufanyeje ili kuiponya Ccm na anguko kubwa tunabaki tunajifariji.kwamba Ccm wote tumeishia la saba ya vijini au?

Dada yake polepole kafika EU hatujiulizi kafiki tu .

Aisee nasikia kulia kwa kweli
Hapo kwa mke wa Lissu kwenda EU kutoa malalamiko ya kuhusu kushikiliwa kwa mume wake, imekuwaje umechanganya na kusema "mume wa TL amefika EU amesema....."
Au ndiyo mawenge ya kuvurugwa na ushawishi wa CHADEMA kwa wananchi? Halafu unaililia ccm ipi kwa mfano? Hii iliyotekwa na wahuni, au kuna ccm nyingine?
 
Ukisoma komenti zinazotolewa kwenye nyuzi zinazohusu mikutano ya chadema utaona kuna wanaccm sijui akili zimekuwaje. badala ya kufikiri tufanyeje ili kuiponya Ccm na anguko kubwa tunabaki tunajifariji.kwamba Ccm wote tumeishia la saba ya vijini au?

Dada matusi tu .

Aisee nasikia kulia kwa kweli
Na sasa CHADEMA wapo na kumsifia Magufuli ili kupata public attention wakati CCM wao hawamuongelei kwa chochote.
 
Back
Top Bottom