Haina madhara kwa sababu tutaiba kura kama siku zote. Kwa nini hamtuelewi?ukisoma komenti zinazotolewa kwenye nyuzi zinazohusu mikutano ya chadema utaona kuna wanaccm sijui akili zimekuwaje. badala ya kufikiri tufanyeje ili kuiponya Ccm na anguko kubwa tunabaki tunajifariji.kwamba Ccm wote tumeishia la saba ya vijini au?
dada yake polepole kafika EU hatuj
Sasa kama kwenye chama wenye akili wanaoigwa vita , na machawa ndio wamekuwa wasemaji unafikiria nini kinaendelea?ukisoma komenti zinazotolewa kwenye nyuzi zinazohusu mikutano ya chadema utaona kuna wanaccm sijui akili zimekuwaje. badala ya kufikiri tufanyeje ili kuiponya Ccm na anguko kubwa tunabaki tunajifariji.kwamba Ccm wote tumeishia la saba ya vijini au?
dada yake polep
Ushauri wa bure undeni kamati huru sii ya mchongo kama tume zenu za mchongo za siku zote wachunguzeni chawa wenu kama Mushamba,Tilatlah,Fanuel Funika,akina wamiliki wa mbwa mwitu na akina chadema hawakubaliki ama akina bibi asemewe,kwani taifa linaangamizwa kila kona,linawaka moto kisa chawa laaminiwa,almuradi njia yake yakwenda toi haioti nyasi.ukisoma komenti zinazotolewa kwenye nyuzi zinazohusu mikutano ya chadema utaona kuna wanaccm sijui akili zimekuwaje. badala ya kufikiri tufanyeje ili kuiponya Ccm na anguko kubwa tunabaki tunajifariji.kwamba Ccm wote tumeishia la saba ya vijini au?
dada yake polepole kafika EU hatujiulizi kafikaje kule hatakautoa matusi tu .
aisee nasikia kulia kwa kweli
Wewe ni CCM kweli? Labda CCM wa aina ya kina Judge Warioba. Otherwise, a typical CCM member is myopic!ukisoma komenti zinazotolewa kwenye nyuzi zinazohusu mikutano ya chadema utaona kuna wanaccm sijui akili zimekuwaje. badala ya kufikiri tufanyeje ili kuiponya Ccm na anguko kubwa tunabaki tunajifariji.kwamba Ccm wote tumeishia la saba ya vijini au?
na fomu za UN zinajazwa na wapinzani wetu,na bado tunaingia Jf Kutoa matusi tu .
aisee nasikia kulia kwa kweli
Kuna wakati naona afadhali Tundu Lissu kuliko Heche, huyu muraa ni balaa ni kisiki cha mpingo, kumfunga Lissu kumemfanya Heche kuwa maarufu na nembo kuu kama alivyo Lissu.CCM mmeyataka wenyewe, yaani kama sahivi eti uchaguzi unafanyika then Chadema wanapata mmbunge mmoja, Kwa upumbavu wenu mkadhani mnakijenga chama, kumbe ndo mnajizika,
CCM imemtengeneza mpinzani mwingine (Heche) bila kujua, Kwa kumfunga Lissu, Heche ameibuka na kuwa hatari haijapata kutokea
Hadi tuliokuwa hatumfahamu, tumemfahamu sasa. Wamekifanya chadema kuimarika zaidi.Kuna wakati naona afadhali Tundu Lissu kuliko Heche, huyu muraa ni balaa ni kisiki cha mpingo, kumfunga Lissu kumemfanya Heche kuwa maarufu na nembo kuu kama alivyo Lissu.
Ndugu shituka.Ukisoma komenti zinazotolewa kwenye nyuzi zinazohusu mikutano ya chadema utaona kuna wanaccm sijui akili zimekuwaje. badala ya kufikiri tufanyeje ili kuiponya Ccm na anguko kubwa tunabaki tunajifariji.kwamba Ccm wote tumeishia la saba ya vijini au?
Dada yake polep
Aisee nasikia kulia kwa kweli
Kabla nilikuwa simtilii maanani HecheKuna wakati naona afadhali Tundu Lissu kuliko Heche, huyu muraa ni balaa ni kisiki cha mpingo, kumfunga Lissu kumemfanya Heche kuwa maarufu na nembo kuu kama alivyo Lissu.
Watawala ni wavivu tu wa kufikiria, but there’s no way you can cripple a viable political party by just taking out its top leader. Leo hii hata Heche naye wakimkamata, utashangaa nguvu ya mtu atakayevivaa viatu vya Heche. Anaweza kuwa balaa kuliko balaa lililotangulia.Kuna wakati naona afadhali Tundu Lissu kuliko Heche, huyu muraa ni balaa ni kisiki cha mpingo, kumfunga Lissu kumemfanya Heche kuwa maarufu na nembo kuu kama alivyo Lissu.
Hapo kwa mke wa Lissu kwenda EU kutoa malalamiko ya kuhusu kushikiliwa kwa mume wake, imekuwaje umechanganya na kusema "mume wa TL amefika EU amesema....."Ukisoma komenti zinazotolewa kwenye nyuzi zinazohusu mikutano ya chadema utaona kuna wanaccm sijui akili zimekuwaje. badala ya kufikiri tufanyeje ili kuiponya Ccm na anguko kubwa tunabaki tunajifariji.kwamba Ccm wote tumeishia la saba ya vijini au?
Dada yake polepole kafika EU hatujiulizi kafiki tu .
Aisee nasikia kulia kwa kweli
Na sasa CHADEMA wapo na kumsifia Magufuli ili kupata public attention wakati CCM wao hawamuongelei kwa chochote.Ukisoma komenti zinazotolewa kwenye nyuzi zinazohusu mikutano ya chadema utaona kuna wanaccm sijui akili zimekuwaje. badala ya kufikiri tufanyeje ili kuiponya Ccm na anguko kubwa tunabaki tunajifariji.kwamba Ccm wote tumeishia la saba ya vijini au?
Dada matusi tu .
Aisee nasikia kulia kwa kweli