CCM: Tutamjadili kwanza Benard Membe

CCM: Tutamjadili kwanza Benard Membe

Mkuu membe anakutesa sana!!zile zilikuwa chuki binafsi za jiwe, sasa hayupo na jamaa anarudi kwa kishindo, mwendazake masalia mtapiga kelele sana lakini ni machozi ya samaki!!unadhania jana kwenye mkutano wa PM, alijipeleka tu, hukumuona nape alivyokuwa anatabasamu kwa pembeni!!jamaa lilikuwa na siasa za kishamba sana toka tumepata uhuru.MUNGU FUNDI
Watauwana na nape kwenye nafasi ya ubunge, maana uraisi hapati
 
Sungura baada ya kushindwa kupata zile zabibu alisema "sizitaki, kwanza ni mbichi, hazijaiva"!
Mbona mnajibu vitu visivyoeleka kwenye facts?
oday2.png
 
Sababu kubwa ya kumrejesha Membe ccm ni kwamba alifikuzwa bila kufuata utaratibu!
 
CCM inalindwa na Mapolisi fact, CCM inaiba Kura Fact, CCM iko nyuma ya mauaji na Utekaji wa Wapinzani Fact.

Unataka nini la zaidi ndugu Taga?
Nyie ni mazuzu ya kuibiwa kila wakati
 
Mkuu membe anakutesa sana!!zile zilikuwa chuki binafsi za jiwe, sasa hayupo na jamaa anarudi kwa kishindo, mwendazake masalia mtapiga kelele sana lakini ni machozi ya samaki!!unadhania jana kwenye mkutano wa PM, alijipeleka tu, hukumuona nape alivyokuwa anatabasamu kwa pembeni!!jamaa lilikuwa na siasa za kishamba sana toka tumepata uhuru.MUNGU FUNDI
Chuki binafsi!? Chuki gani? Kwani kwa mawazo yako unajiaminisha kuwa Jasusi alizaliwa kuwa kwenye kila Cabinet ya kila Rais? Wangapi waliachwa kwenye Cabinet mbalimbali, hizo ni chuki binafsi? Tuache CHEAP POLITICS. Kuachwa kwa wailokuwa kwenye Cabinet za JPM na Rais SSH ni chuki binafsi au ni nini? Tuache sisasa uchwara jamani.

Halafu uwepo wa Jasusi kwenye mikutano ya hadhara huko kwao ni jambo la kawaida tu, kwani hiyo ni haki yake ya kikatiba na hakuna mwaliko wowote aliopewa kuhudhuria huo mkutano, vinginevyo ni uzushi usio na maana yoyote. Jasussi atarudishwa CCM kama wanavyo rudi wengine na baada ya kurudi wao, that is the end of it. Tumewaona wengi wanarudi kama Jasusi kwa hiyo hakuna jipya in his come back!
 
Tuanzie hapa kwanza, ungekuwa ni mkutano wa hadhara wa JPM, jasusi huyo angetia mguu wake pale?
 
Wa kujibu swali hilo kwa usahihi kabisa ni Jasusi mwenyewe na kwa vile anatarajiwa kurudi kwenye public politics, basi ni matarajio yangu kuwa hilo swali anaweza kuklijibu siku moja akiulizwa!
 
Back
Top Bottom