CCM tutashinda Kwa kishindo Chaguzi zote 2024&2025

M24 Headquarters-Kigali

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
8,199
Reaction score
8,186
1. Chama Cha Mapinduzi tuna Sera za maana.

2. Wapiga Kura wanatukubali Sana. Hivyo tegemeeni ushindi mkubwa Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025.

NB: ushindi si chini 90% Kwa Sera tulizonazo
 
Wewe kidampa nawe unajiita ccm! Wewe ni mfuasi na chawa wa viongozi wa ccm kina Samia,Kikwete, Makamba,Kinana na wenzao.
 
MTAIBA KWA KISHINDO KAMA MNAVYOFANYA MIAKA YOTE.

Na vile sasa hivi mko chini mbumbumbu asieelewa chochote, mtaiba mpaka mpitilize.

Kama idadi ya wapiga kura ni milioni 10, sitostaajabu mkishinda kwa kura milioni 30.
Umemaliza hicho cha kimejaa viongozi wasiomiliki akili kabisa
 
1. Chama Cha Mapinduzi tuna Sera za maana.

2. Wapiga Kura wanatukubali Sana. Hivyo tegemeeni ushindi mkubwa Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025.

NB: ushindi si chini 90% Kwa Sera tulizonazo
 
Attachments

  • Screenshot_2024-07-16-21-00-20-1.png
    Screenshot_2024-07-16-21-00-20-1.png
    420.8 KB · Views: 2
  • 20240907_095744 (1).jpg
    20240907_095744 (1).jpg
    116.1 KB · Views: 3
  • IMG-20200726-WA0000.jpg
    IMG-20200726-WA0000.jpg
    43.7 KB · Views: 4
  • 5810871-156c33252d331784831e630b50148deb.mp4
    2 MB
  • 5811523-6041f5af6e2b5c7600d07027005d6658.mp4
    3.7 MB
  • 5808629-57f86e47f2e7305376bcccf74fb56df4.mp4
    2.1 MB
1. Chama Cha Mapinduzi tuna Sera za maana.

2. Wapiga Kura wanatukubali Sana. Hivyo tegemeeni ushindi mkubwa Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025.

NB: ushindi si chini 90% Kwa Sera tulizonazo
Ofcourse hata ingekuwa wewe, you have vyombo vyote, viko upande wako.
Why ushindwe?
 
Kuna Mdau alisema nivigumu sana kuwatofautisha Wasomi wa Tanz wa Vyuo Vikuu na wale wa Elimu ya Msingi. Hebu jitafakari tena na tena. Wako Binadamu wenzetu waliofunikwa kwa kuangukiwa na ghorofa Kariakoo. Mpaka muda huu wanahangaika kupambania uhai wao. Wewe kwako hilo siyo ishu. Ishu kwako ni namna gani utapata mamlaka kwa njia haramu ya wizi wa kura.
Kama siyo laana ni nini??
 
MTAIBA KWA KISHINDO KAMA MNAVYOFANYA MIAKA YOTE.

Na vile sasa hivi mko chini mbumbumbu asieelewa chochote, mtaiba mpaka mpitilize.

Kama idadi ya wapiga kura ni milioni 10, sitostaajabu mkishinda kwa kura milioni 30.
Ni kwasababu tu uwezo wako ni mdogo, kila mwenye akili anajua CCM itashinda.
 
1. Chama Cha Mapinduzi tuna Sera za maana.

2. Wapiga Kura wanatukubali Sana. Hivyo tegemeeni ushindi mkubwa Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025.

NB: ushindi si chini 90% Kwa Sera tulizonazo
Watashinda wakati wanagombea wenyewe kwa wenyewe🤣
 
Kuna Mdau alisema nivigumu sana kuwatofautisha Wasomi wa Tanz wa Vyuo Vikuu na wale wa Elimu ya Msingi. Hebu jitafakari tena na tena. Wako Binadamu wenzetu waliofunikwa kwa kuangukiwa na ghorofa Kariakoo. Mpaka muda huu wanahangaika kupambania uhai wao. Wewe kwako hilo siyo ishu. Ishu kwako ni namna gani utapata mamlaka kwa njia haramu ya wizi wa kura.
Kama siyo laana ni nini??
Usimpangie cha kuandika. We umechukua hatua gani kuwasaidia. Acha unafiki bwanamdogo. Ulitaka nch isimame
 
Back
Top Bottom