CCM tutashinda Kwa kishindo Chaguzi zote 2024&2025

CCM tutashinda Kwa kishindo Chaguzi zote 2024&2025

1. Chama Cha Mapinduzi tuna Sera za maana.

2. Wapiga Kura wanatukubali Sana. Hivyo tegemeeni ushindi mkubwa Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025.

NB: ushindi si chini 90% Kwa Sera tulizonazo
Ungesema tunaiba kwa kishindo na tutaiba kwa kishondo ujumbe ungeeleweka.
 
Yes, kwa katiba na ubabe wa ccm, na uzoefu, na ukongwe, na mawazo duni ya wananchi walio wengi....hakika mtashinda hata kwa 100%
 
Kwani mnashindana na nani?
Wagombea wote wa upinzani mmewaemgia mmebaki peke yenu.
 
Back
Top Bottom