M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Unaumia nn?Matokeo wanayo mfukoni tayari
Ova
Wewe kidampa nawe unajiita ccm! Wewe ni mfuasi na chawa wa viongozi wa ccm kina Samia,Kikwete, Makamba,Kinana na wenzao.1. Chama Cha Mapinduzi tuna Sera za maana.
2. Wapiga Kura wanatukubali Sana. Hivyo tegemeeni ushindi mkubwa Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025.
NB: ushindi si chini 90% Kwa Sera tulizonazo
Tuliza shobo. Ushindi ni lazimaWewe kidampa nawe unajiita ccm! Wewe ni mfuasi na chawa wa viongozi wa ccm kina Samia,Kikwete, Makamba,Kinana na wenzao.
Umemaliza hicho cha kimejaa viongozi wasiomiliki akili kabisaMTAIBA KWA KISHINDO KAMA MNAVYOFANYA MIAKA YOTE.
Na vile sasa hivi mko chini mbumbumbu asieelewa chochote, mtaiba mpaka mpitilize.
Kama idadi ya wapiga kura ni milioni 10, sitostaajabu mkishinda kwa kura milioni 30.
1. Chama Cha Mapinduzi tuna Sera za maana.
2. Wapiga Kura wanatukubali Sana. Hivyo tegemeeni ushindi mkubwa Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025.
NB: ushindi si chini 90% Kwa Sera tulizonazo
Ofcourse hata ingekuwa wewe, you have vyombo vyote, viko upande wako.1. Chama Cha Mapinduzi tuna Sera za maana.
2. Wapiga Kura wanatukubali Sana. Hivyo tegemeeni ushindi mkubwa Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025.
NB: ushindi si chini 90% Kwa Sera tulizonazo
Anaionea huruna t.go yako!Unaumia nn?
Mauaji na majiziTuliza shobo. Ushindi ni lazima
Kuna mdau nimeona anawaita mbogamboga sijamuelewa kabisa yaan kwa hio ndio mbogamboga?Unaumia nn?
Ni kwasababu tu uwezo wako ni mdogo, kila mwenye akili anajua CCM itashinda.MTAIBA KWA KISHINDO KAMA MNAVYOFANYA MIAKA YOTE.
Na vile sasa hivi mko chini mbumbumbu asieelewa chochote, mtaiba mpaka mpitilize.
Kama idadi ya wapiga kura ni milioni 10, sitostaajabu mkishinda kwa kura milioni 30.
Watashinda wakati wanagombea wenyewe kwa wenyewe🤣1. Chama Cha Mapinduzi tuna Sera za maana.
2. Wapiga Kura wanatukubali Sana. Hivyo tegemeeni ushindi mkubwa Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025.
NB: ushindi si chini 90% Kwa Sera tulizonazo
Usimpangie cha kuandika. We umechukua hatua gani kuwasaidia. Acha unafiki bwanamdogo. Ulitaka nch isimameKuna Mdau alisema nivigumu sana kuwatofautisha Wasomi wa Tanz wa Vyuo Vikuu na wale wa Elimu ya Msingi. Hebu jitafakari tena na tena. Wako Binadamu wenzetu waliofunikwa kwa kuangukiwa na ghorofa Kariakoo. Mpaka muda huu wanahangaika kupambania uhai wao. Wewe kwako hilo siyo ishu. Ishu kwako ni namna gani utapata mamlaka kwa njia haramu ya wizi wa kura.
Kama siyo laana ni nini??