Wildchild JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 19,411 Reaction score 21,938 Nov 17, 2024 #41 blessings said: 1. Chama Cha Mapinduzi tuna Sera za maana. 2. Wapiga Kura wanatukubali Sana. Hivyo tegemeeni ushindi mkubwa Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025. NB: ushindi si chini 90% Kwa Sera tulizonazo Click to expand... Ungesema tunaiba kwa kishindo na tutaiba kwa kishondo ujumbe ungeeleweka.
blessings said: 1. Chama Cha Mapinduzi tuna Sera za maana. 2. Wapiga Kura wanatukubali Sana. Hivyo tegemeeni ushindi mkubwa Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025. NB: ushindi si chini 90% Kwa Sera tulizonazo Click to expand... Ungesema tunaiba kwa kishindo na tutaiba kwa kishondo ujumbe ungeeleweka.
M24 Headquarters-Kigali JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 8,199 Reaction score 8,186 Nov 17, 2024 Thread starter #42 Uchaguzi wa Serikali za mitaa
Ngurukia JF-Expert Member Joined Feb 25, 2023 Posts 4,407 Reaction score 16,942 Nov 17, 2024 #43 saigilomagema said: Ni kwasababu tu uwezo wako ni mdogo, kila mwenye akili anajua CCM itashinda. Click to expand... Heri yako wewe mwenye uwezo mkubwa.
saigilomagema said: Ni kwasababu tu uwezo wako ni mdogo, kila mwenye akili anajua CCM itashinda. Click to expand... Heri yako wewe mwenye uwezo mkubwa.
T The BornAgain JF-Expert Member Joined Jun 23, 2024 Posts 428 Reaction score 582 Nov 17, 2024 #44 Yes, kwa katiba na ubabe wa ccm, na uzoefu, na ukongwe, na mawazo duni ya wananchi walio wengi....hakika mtashinda hata kwa 100%
Yes, kwa katiba na ubabe wa ccm, na uzoefu, na ukongwe, na mawazo duni ya wananchi walio wengi....hakika mtashinda hata kwa 100%
mdudu JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 7,013 Reaction score 10,000 Nov 17, 2024 #45 Kwani mnashindana na nani? Wagombea wote wa upinzani mmewaemgia mmebaki peke yenu.
M24 Headquarters-Kigali JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 8,199 Reaction score 8,186 Jan 10, 2025 Thread starter #46 Ushindi mapema asubuhi