Uchaguzi 2020 CCM tuwe makini na wanachama wetu

You nailed it hasa CCM
 
Wewe kweli mwanaccm au bavicha agent
Ndugu Mimi Ni CCM nje ndani.Huo Ni mtazamo wangu unaweza ukanipinga au usinipinge Ila nakupenda Sana Chama changu.Tulifanyie utafiti hili.WanaCCM wengi wapo kinafiki tu na ndio Maana hata Siku ya kupiga Kura huwa hawaendi.Hujifunzi Serikali za mitaa hata kujiandikisha tu nguvu kubwa ilitumika kuhamasisha hata walio Wana CCM.
 
Basi sawa.
 
Hayo ni mawazo yako nenda huko Chauma au TADEA.
 
Asante hiyo analysis naisubiri sana. Nimekuwa nikuuliza wajumbe watokao kwenye majimbo ya CCM kipi wamefanyiwa?? Sipati majibu. Utawaikia tu eti hospitali zimejengwa, barabara, viwanda. Ukiwauliza nitajie barabara iliyojengwa jimboni kwako hawajibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…