Uchaguzi 2020 CCM tuwe makini na wanachama wetu

Washabiki wa CCM na CDM karibia wote Ni Mental victims.

Hawana uwezo wa kutofautisha jema Wala baya.
Wapo tayari kuchagua hata vichaa waongoze jamii kisa tu wanatoka katika chama Chao.

Wengi wao Ni Wanafiki Wanasapoti za kinafiki na wakipinga wanapinga kinafiki hata Kama ukweli wanaujua.

Hawa watu Ni wabishi kuliko mtu yoyote yule Wanaweza bisha kuwa serikali haijafanya lolote lile kwa wananchi wake hata Kama imefanya au serikali imefanya Mambo haya na Yale kwa wananchi wake hata Kama haijafanya.
Ogopa sana Hawa watu wanaojiita wanachama wa vyama vya ki Afrika.
You nailed it hasa CCM
 
Wewe kweli mwanaccm au bavicha agent
Ndugu Mimi Ni CCM nje ndani.Huo Ni mtazamo wangu unaweza ukanipinga au usinipinge Ila nakupenda Sana Chama changu.Tulifanyie utafiti hili.WanaCCM wengi wapo kinafiki tu na ndio Maana hata Siku ya kupiga Kura huwa hawaendi.Hujifunzi Serikali za mitaa hata kujiandikisha tu nguvu kubwa ilitumika kuhamasisha hata walio Wana CCM.
 
Basi sawa.
 
Washabiki wa CCM na CDM karibia wote Ni Mental victims.

Hawana uwezo wa kutofautisha jema Wala baya.
Wapo tayari kuchagua hata vichaa waongoze jamii kisa tu wanatoka katika chama Chao.

Wengi wao Ni Wanafiki Wanasapoti za kinafiki na wakipinga wanapinga kinafiki hata Kama ukweli wanaujua.

Hawa watu Ni wabishi kuliko mtu yoyote yule Wanaweza bisha kuwa serikali haijafanya lolote lile kwa wananchi wake hata Kama imefanya au serikali imefanya Mambo haya na Yale kwa wananchi wake hata Kama haijafanya.
Ogopa sana Hawa watu wanaojiita wanachama wa vyama vya ki Afrika.
Hayo ni mawazo yako nenda huko Chauma au TADEA.
 
Tundu Lissu kesho anakabidhiwa analysis inayoonyesha Hata hayo majimbo yaliyochagua wabunge wa ccm hakuna la maana limefanyika kama ambavyo hakuna kilichofanyika kwenye majimbo yaliyochagua ccm, sijui magufuri atatishia wananchi kwa siasa za uongo upi miezi hii miwili.
Asante hiyo analysis naisubiri sana. Nimekuwa nikuuliza wajumbe watokao kwenye majimbo ya CCM kipi wamefanyiwa?? Sipati majibu. Utawaikia tu eti hospitali zimejengwa, barabara, viwanda. Ukiwauliza nitajie barabara iliyojengwa jimboni kwako hawajibu.
 
Back
Top Bottom