Washabiki wa CCM na CDM karibia wote Ni Mental victims.
Hawana uwezo wa kutofautisha jema Wala baya.
Wapo tayari kuchagua hata vichaa waongoze jamii kisa tu wanatoka katika chama Chao.
Wengi wao Ni Wanafiki Wanasapoti za kinafiki na wakipinga wanapinga kinafiki hata Kama ukweli wanaujua.
Hawa watu Ni wabishi kuliko mtu yoyote yule Wanaweza bisha kuwa serikali haijafanya lolote lile kwa wananchi wake hata Kama imefanya au serikali imefanya Mambo haya na Yale kwa wananchi wake hata Kama haijafanya.
Ogopa sana Hawa watu wanaojiita wanachama wa vyama vya ki Afrika.