mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,514
- 4,042
Habari Wana JF na Makada wote Mliopo humu.Huu mwaka 2020 Ni mwaka wa Uchaguzi Ila Kuna Mambo nimeona na Kujifunza nikiwa Kama Mwana CCM.
1.Watu Wengi Waliopo ndani ya CCM hawakipendi Chama kwa Maslahi mapana au Lah.Wengi Wapo Kwa ajili ya Maslahi yao Binafsi tu.
2.Mpaka dakiki hii Chama chetu Kimegawanyika Sana.Wale CCM kindakindaki na CCM maslahi ambao Wengi wao Awamu hii Maslahi kwenye Chama hayapo Chama kimekuwa Cha Kujitolea Wengi wao wana Chuki na Hiii Awamu na Hapa Kama Chama kinahtaji kufanya Utafiti Mkubwa kuwabaini watu wa aina hii na Kama CHama hakitafanga hivi Basi tutegemee Kura Kugawanyika Sana mwaka huu.
Kwa Awali ngoja nianzie hapa nitarudi Tena na Utafiti Wangu.