Uchaguzi 2020 CCM tuwe makini na wanachama wetu

mazaga one

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
2,514
Reaction score
4,042
Habari Wana JF na Makada wote Mliopo humu.Huu mwaka 2020 Ni mwaka wa Uchaguzi Ila Kuna Mambo nimeona na Kujifunza nikiwa Kama Mwana CCM.

1.Watu Wengi Waliopo ndani ya CCM hawakipendi Chama kwa Maslahi mapana au Lah.Wengi Wapo Kwa ajili ya Maslahi yao Binafsi tu.

2.Mpaka dakiki hii Chama chetu Kimegawanyika Sana.Wale CCM kindakindaki na CCM maslahi ambao Wengi wao Awamu hii Maslahi kwenye Chama hayapo Chama kimekuwa Cha Kujitolea Wengi wao wana Chuki na Hiii Awamu na Hapa Kama Chama kinahtaji kufanya Utafiti Mkubwa kuwabaini watu wa aina hii na Kama CHama hakitafanga hivi Basi tutegemee Kura Kugawanyika Sana mwaka huu.

Kwa Awali ngoja nianzie hapa nitarudi Tena na Utafiti Wangu.
 
Tundu Lissu kesho anakabidhiwa analysis inayoonyesha Hata hayo majimbo yaliyochagua wabunge wa ccm hakuna la maana limefanyika kama ambavyo hakuna kilichofanyika kwenye majimbo yaliyochagua ccm, sijui magufuri atatishia wananchi kwa siasa za uongo upi miezi hii miwili.
 
Washabiki wa CCM na CDM karibia wote Ni Mental victims.

Hawana uwezo wa kutofautisha jema Wala baya.
Wapo tayari kuchagua hata vichaa waongoze jamii kisa tu wanatoka katika chama Chao.

Wengi wao Ni Wanafiki Wanasapoti za kinafiki na wakipinga wanapinga kinafiki hata Kama ukweli wanaujua.

Hawa watu Ni wabishi kuliko mtu yoyote yule Wanaweza bisha kuwa serikali haijafanya lolote lile kwa wananchi wake hata Kama imefanya au serikali imefanya Mambo haya na Yale kwa wananchi wake hata Kama haijafanya.
Ogopa sana Hawa watu wanaojiita wanachama wa vyama vya ki Afrika.
 
Mbona unapayuka, usitufokee!
 
Tundu lissu kesho anakabidhiwa analysis inayoonyesha Hata hayo majimbo yaliyochagua wabunge wa ccm hakuna la maana limefanyika kama ambavyo hakuna kilichofanyika kwenye majimbo yaliyochagua ccm, sijui magufuri atatishia wananchi kwa siasa za uongo upi miezi hii miwili.
Eti ataenda mpui kuwaambia amenunua Ndege na kujenga SGR wakati hivyo vitu hata hawavijui
 
Yaani mtu haujaulizwa swali japo useme umedanganya sababu hukuwa na majibu, lakini unaamua kuita watu uongee nao alafu unaanza kuwadanganya. Bora ya mtu mchawi kuliko mtu mwenye uongo wa namna hii. alafu ni Rais sasa.
 
Eti ataenda mpui kuwaambia amenunua Ndege na kujenga SGR wakati hivyo vitu hata hawavijui
zaidi ya hivi vinne hana vya kuwaambia watz,mabeberu,ndege,sgr na stiglers sasa sijui mtu wa handeni,pangani vinamsaidia nn,
hali wapinzani wanayo mengi ya kuwaambia wananchi.tuliwaonya ccm msizue shughuli za siasa ili wapinzani wasiwe na mapya ya kuongea yasiyozoeleka kwa wanachi
 
Eti unaenda kumwimbi Flyover ya tazara Mwamanchi wa Manyoni😅😅
 
Washabiki wa CCM na CDM karibia wote Ni Mental victims.

Hawana uwezo wa kutofautisha jema Wala baya.
Wapo tayari kuchagua hata vichaa waongoze jamii kisa tu wanatoka katika chama Chao.

Wengi wao Ni Wanafiki Wanasapoti za kinafiki na wakipinga wanapinga kinafiki hata Kama ukweli wanaujua.

Hawa watu Ni wabishi kuliko mtu yoyote yule Wanaweza bisha kuwa serikali haijafanya lolote lile kwa wananchi wake hata Kama imefanya au serikali imefanya Mambo haya na Yale kwa wananchi wake hata Kama haijafanya.
Ogopa sana Hawa watu wanaojiita wanachama wa vyama vya ki Afrika.
Wewe upo upande gani mbna waonekana ndyo mnafiki no 1!
 
Hakuna CCM mwenye akili mwaka huu atampigia kura au kampeni Magufuli.
Kwa alivyowafanya Nape, Kinana, Makamba seniour na Junior na Membe ??? Hapo hujaweka aliyowafanya Lissu na viongozi wa Chadema(kuwafunga jela) Amini maneno yangu , hakuna Mwenye akili timamu mwaka huu atampigia kampeni au kura Magufuli mwaka huu!!!

This guy is a sadist!!
 
Mtaji ni watu na sio dola,anayemiliki watu ndie anaemiliki dola,pili dola ipi hio hawa watendaji walionyimwa haki zao za utumishi mfano nyongeza za mishahara.
 
Back
Top Bottom