CCM ubinafsi, wajumbe wao wamelalamika kidogo, wamekubali kubadili kanuni, ila NRNE wagoma

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
1,364
Reaction score
2,396
Yule Kiongozi msemaji wa Dolla Chama , CPA Makala aka Kipara ,ametoa Rai ya kikao Cha wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM kitakachofanyika online kuhusu marekebisho madogo ya Katiba ya CCM kutokana na Malalamiko ya rafu na Rushwa katika kuteua wagombea alizoziweka Samia (kanuni zinazolalamikiwa lilikuwa wazo la Samia).

Kilichonishangaza ,kwangu Mimi kelele hizo sikuona ni kubwa kuzidi zile za wananchi na viongozi wa upinzani kuhusu utekaji wa kanuni nzuri za uchaguzi Ili Uwe wa huru na WA haki.

CCM na Dolla Sasa nimegundua ni kuwa Haitaki Kwa makusudi kurekebisha kanuni za uchaguzi Mkuu Ili Uwe fair, na hii inaonesha ubinafsi na kutaka Kuiba mchakato mzima wa uchaguzi.

Kilichofanyika CCM ndo haswa kilitakiwa kufanyika katika tume ya Samia ya Uchaguzi INEC yaani kusogeza uchaguzi mbele na kubadili kanuni kama waliyofanya wezi wa kura CCM.

Sasa CC wananchi tunajiuliza , kwanini haya yanatokea, kwahiyo tuseme Kikwete na Samia na CCM Yao wamedhamiria Kuiba uchaguzi, kwakweli mtapigiwa kura na hao wajumbe wenu ila sisi raia wa kawaida hamtatuona, huku kutawala kibabe Kuna mwisho wake, mana Watu tutaanza kuvaa mabomu tujilipue kama palestina
 
Hapa nimejifunza kitu, hata Kanuni mbovu za INEC uchaguzi Mkuu kumbe inawezekana kubadili
 
😁 hii vita ya wenye mamlaka kupambania uhalali wa mamlaka.

Kama kuna wanaccm watasikitika ni jambo jema sana,

Maana sisi tusio wanaccm tumelalamikia sana mambo hayo na muda huo wanaccm wanatuona kama wendazimu.

Hii ni hatua nzuri wote tuumie 😁
 
Huyo Makalla a.k.a sura-mviringo, kamdomo kadoogo, amechemka sana yeye na wenzake.
 
Tatizo wananchi ni waoga mpaka aibu maccm yanatufanya yanayotaka tunacheza tu
 
Back
Top Bottom