CCM versus Opposition: Political Lessons to Learn

It is your own opinion. I see every party- the opposition and the now ruling party, have launched their campaign manifestos pretty well. It is too early to judge where the population stands in regard to how well each party communicates its manifesto. After all, no independent institution is allowed to conduct opinion polls. It is only through opinion polls that your conclusion can be valid. Otherwise, I merely take it as untested and fabricated opinion.
 
the ruling party in Tanzania ccm is trying to use dubious means to win the election before going to the polls.
 
Pack of lies! Refer to the World Human Rights report (Africa) released this afternoon on how Tanzanian government is poorly doing on human rights issues. The truth is: CCM and its NEC are in a terrible mission for bloodshed.
 
Ila ukwt unabaki kuwa ukweli. Wapinzani hawakujiandaa kabisa na ni wazi wemeshashindwa
Wangejiandaa namna gani , wakati jamaa yako alihakikisha hata vikao vya ndani hawafanyi ?!. Kujikomba kunawafanya kuwa vipofu .
 
A democratic state with no civil liberties, where others are gunned down in the broad daylight and no investigation is carried out also others are going missing for years when the regime remains totally indifferent.

The freedom of expression and freedom of the media are all curtailed and the media are only required to sing praises to the regime to guarantee their existence.
 
Ukweli upi? Wa kuzuia Uhuru wa kutoa maoni? Wa kuikanyaga katiba waziwazi? Wa kutoshughulikia watu wasiojulikana?
Mnataka uhuru wa kutukana watu? Uhuru wa kupotosha? Hapana huo sio uhuru bali ni uvunjifu wa amani. Hiyo hairuhusiwi
 
Ccm Zanzibar inatia huruma .
Mgombea Urais Wanapewa
Wabunge wanapewa
Hata wawakilishi wanapewa kutoka Dodoma.

Tukumbuke ASP+TANU =CCM
Lakini Zanzibar hawezi kutoa M/Kiti wala SG

Kuna Makamu Wenyeviti 2

Akifa M/Kiti wao wa taifa anachukua nafasia Makamu wa Bara Ccm
Kwa ufupi Ccm Zanzibar Kama Tawi la Ccm Mtwara.

Wanzazibar hamkeni.
 
Unachofanya ni uchonganishi kutaka kuondoa umoja wetu. Hiyo ni dhambi kubwa na nafikiri unajua Hilo.

Mwenyekiti wa CCM hachaguliwi kwa kuangalia anatokea upande gani wa muungano. Mwenyekiti wa CCM huwa ndie Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Dodoma Ni makao makuu ya chama na serikali. Vikao vya chama hufanyika huko. Kwa taarifa yako ni kuwa mgombea urais wa Zanzibar ni lazima apate kura za kutosha kutoka kwa wanaCCM wa Zanzibar,kinyume na hapo, hata alipata kura zote za bara hawezi kupitishwa
 
Odhiambo sisi tunakubali ushindani na ndio maana tuko kwenye kampeni
Inashangaza wabunge wazoefu tena majina makubwa yanalilia kupita bila kupigwa . UnapangaJe kuengua kina Kishoa, Kiwanga , Minja nk . Kwa mambo ya hovyo , huko ni kuogopa ushindani.
 
No bwana Mashamba. The sky is clear green for the greeners
 
Inashangaza wabunge wazoefu tena majina makubwa yanalilia kupita bila kupigwa . UnapangaJe kuengua kina Kishoa, Kiwanga , Minja nk . Kwa mambo ya hovyo , huko ni kuogopa ushindani.
Nenda uliza kwanini wameenguliwa. Zipo sababu

Kama ni kuogopa ushindani basi angeenguliwa Lema, Sugu na Mdee

Think
 
Nenda uliza kwanini wameenguliwa. Zipo sababu

Kama ni kuogopa ushindani basi angeenguliwa Lema, Sugu na Mdee

Think
Tunatafuta viongozi siyo kutafuta visingizio za kuenguana.

Katiba yetu ina mapungufu sana. Si shangai kwanini tupo tulipo
 
Coz they lack seriousness and their parties are not there to help
Lack of seriousness for the opposition candidates only! Your answer lacks reasonable credibility it largely shows partisanship.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…