CCM versus Opposition: Political Lessons to Learn

Hatutaruhusu watu waliopewa uraia ughaibuni huko watuchafulie nchi. Sisi hatuna nchi nyingine ya kukimbilia
Hivi tume na uroho wake wa kula Rushwa ili wenye fedha wapite bila kupingwa ingeacha kumuengua mtu Mgombea Urais mwenye Uraia Pacha kinyume na Katiba na sheria zetu??

Hebu acheni Uhuni na Chuki.

Hata hivyo acheni kuvuruga uchaguzi nyie watoto wa Wezi walioiibia nchi hii kwa kujiuzia Mali zote za umma mpaka nyumba za umma sasa mnakamua wafanyabiashara ili kuficha uovu wenu.

Mkifanya dhulma mjitegemee wenyewe sio kutegemea Mapolisi na wanajeshi ambao ni watoto wa maskini wawatetee nyie watoto wa mafisadi na wezi mnaonufaika na dhulma kwenye nchi.
Mnataka watoto wa maskini walioajiriwa kulinda mipaka ya nchi na kulinda watu na Mali zao watoe uhai wao kwa kumlinda Mtoto wa Bilionea Mwinyi ambaye pia amekaa kwenye uwaziri kama zawadi kwa miaka 25??
Muwatangulize watoto wa maskini wakawaue maskini wenzao kwa sababu nyie matajiri mliofilisi Mali za umma mnataka kuendelea kukalia utajiri wa nchi hii .
Tendeni haki ili amani iendelee.
Mkishinda kwa haki hakuna MTU atahangaika na nyie.
Kushinda kwa dhulma awamu hii mtaisoma namba wenyewe kabla ya wengine.
Unakuta watoto wa maskini wanaolipwa vimishahara vidogo wanatumika kuhalalisha uovu wenu wakati huo huo nyie mnagawiana mapesa ya kushinda uchaguzi badala ya kuwajali hao wanaotumia risasi na mabomu kulinda uharamia wenu.

Dunia nzima Wabash an gas siasa za Tanzania mana ni siasa za kihuni na rushwa za wazi kupitiliza
 
If true why wasanii in payroll to attract voters?

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Spot on!

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…