CCM, vita ya safari hii itapiganiwa sebuleni kwenu

kwakina itafakari

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2018
Posts
739
Reaction score
1,657
Baadhi yetu tulikuwa tunajua tangu awali kwamba ELITEs wa CCM wengi WALIMCHUKIA Hayati kuliko Wapinzani +Mabeberu walivyomchukia Mwamba kwa pamoja,Hayati mwenyewe alilijua hilo ndio sababu ya kuteua watu aina ya Bashiru kupiga nao kazi.

Kitambo Inafahamika kuwa wengi wapo CCM kwa ajili ya maslahi yao binafsi (kupiga madili) na si vinginevyo, sasa Mwamba kwa kulifahamu hilo, akaamua kuwapeleka kijeshi jeshi, hakuna kucheka na mtu popote panapohusu maslahi ya Taifa hili,

Hili la kustopishwa kupiga madeal kama ilivyo ada yao,iliwauma sana sema hawakuwa na jinsi tu.

Ndio maana leo hii unakutana na story kama hizi za CAG ikiwa kama kulipa kisasi na vile vile kuandaa mazingira ya kupiga madeal yao kama kawa, member maarufu humu MM Mwanakijiji ameshamaliza kila kitu, ikiwa haya yanayosemwa ni kweli, basi tunataka serikali yote (kuanzia Rais wa sasa ambaye alikuwa makamu kipindi hayo yote yakitokea)pamoja na wabunge wote wang'atuke fasta bila kusahau kuvunjilia mbali TISS, utapoitishwa uchaguzi mpya wale wote waliokuwepo kwenye mamlaka kipindi cha Hayati, hawatakiwi kushiriki kwa namna yoyote ile, na kama wapo wa kupelekwa mahakamani basi na wapelekwe.

Haiwezekani, ufanyike ufisadi wa kiwango hiki tunachoambiwa,na watu kibao wapo wanakula mishahara na posho za bure tu kwa kipindi chote hiko, halafu leo hii wanakuja na utetezi wa eti sijui walikuwa wanamuogopa Hayati, tutawezaje kuacha kufikiria kuwa mnayoongea leo hii ni kutokana na kumuogopa yule aliye sasa?

Na ikiwa haya yanayosemwa leo hii si ya kweli,ila yanafanywa ili kutimiza malengo ya baadhi ya watu,tunataka wale waliokuwepo kwenye uongozi wa Hayati na ambapo wengi wao bado wapo kwenye uongozi huu,wasimame kidete kuhakisha huyu CAG anaachia ngazi na hatua za kisheria juu yake zinafuata, msikubali kuburuzwa hata kidogo, acheni mambo ya kuendekeza matumbo, simamieni HAKI safari hii just for once.

Msichokijua ni kwamba, katika kipindi hiki hiki kifupi cha JPM, kuna MBEGU imeshapandwa, na imeshaanza kumea, msifikiri WaTanzania ni wajinga, msipobadilika hii mbegu itawaangamiza.

CCM hii vita mliyoianzisha, mkitegemea itapiganiwa mbali na Himaya yenu,mkae mkijua safari hii itapiganiwa sebuleni kwenu, na haitowaacha salama, it's just a matter of time!
 
'
IMG_20210405_160849.jpg
 
Rip Roho za rai wema na polisi mlio kufa Mkiru. Hamna wa kuwakumba na kuwa semea.
 
Kuna pointi nimeiona hapa, ukiachia mbali lile kundi la "plastic opposition supporters" walioamua kuicheza ngoma ya CAG bila kujua wanalionhezea credit kundi la CCM wapiga dili, kuna hawa CCM soft wapiga dili wenyewe ambao inawezekana kabisa wanashangilia madudu kwenye ripoti ya CAG wakiwa na maana kwamba mbona huyo mliemuona mzalendo nae alikuwa anawapiga tu kama sisi au zaidi yetu, kumbe kimsingi hoja hapa sio nani ni msafi kwa mwenzake, hoja hapa wote ni wachafu sema kinachoangaliwa ni wanagombea nafasi ya nani mchafu zaidi ya mwenzake.

Nimekuja kupata akili nyingine nikajiuliza inawezekana hata hawa marais ambao wako hai nao wana madudu yao zaidi ya tunayoyafahamu, tatizo wenye siri hizo wanaogopa kuyamwaga hadharani kila mtu ajionee wasije kuitwa wasaliti, laiti na hawa wengine wangefia madarakani tungeweza kuyasikia mengi zaidi ya haya tunayosakia kwa mwendazake, kwani hata wale walifanya biashara wakiwa ikulu, sifa yao ni vile tu hawakuwa katili kama mwendazake.
 
Wewe kijana ni mtu mdogo sana nchi hii ,usifikili unauchungu sana na Tanzania kuzidi wengine.

Jpm alikuwa analindwa na katiba ,hagusiki ,unafikili kuna mtu angenyanyau mapembe mbele yake ? Hata kama anauza nchi hakuna mtu ambaye angeweza kunyanyua mdomo mbele yake ,ukijaribu ni kukutundulisu ,so ilibidi wawe wanafiki no way.

Kila siku tunasema KATIBA mpya, kwan huwa hamuelewi? katiba ndio kitu pekee cha kuokoa nchi hii narudia tena KATIBAAA...vinginevyo hata mama Samia hamtaweza kumgusa!

Narudia tena hamtaweza kumgusa mama Samia hata afanye madudu gan.

Labda ni muda mwafaka ccm na wao kudai katiba mpya.
 
Wacha wauane wamefanya madhambi mengi ikiwa ni pamoja na kudhurumu na kuhujumu chaguzi ili watawale peke yao. Baada ya kufanya hivyo sasa wacha wakaangane wao kwa wao. Watakufa tu.
 
Kuna pointi nimeiona hapa, ukiachia mbali lile kundi la "plastic opposition supporters" walioamua kuicheza ngoma ya CAG bila kujua wanalionhezea credit kundi la CCM wapiga dili, kuna hawa CCM soft wapiga dili wenyewe ambao inawezekana kabisa wanashangilia madudu kwenye ripoti ya CAG wakiwa na maana kwamba mbona huyo mliemuona mzalendo nae alikuwa anawapiga tu kama sisi au zaidi yetu, kumbe kimsingi hoja hapa sio nani ni msafi kwa mwenzake, hoja hapa wote ni wachafu sema kinachoangaliwa ni wanagombea nafasi ya nani mchafu zaidi ya mwenzake.

Nimekuja kupata akili nyingine nikajiuliza inawezekana hata hawa marais ambao wako hai nao wana madudu yao zaidi ya tunayoyafahamu, tatizo wenye siri hizo wanaogopa kuyamwaga hadharani kila mtu ajionee wasije kuitwa wasaliti, laiti na hawa wengine wangefia madarakani tungeweza kuyasikia mengi zaidi ya haya tunayosakia kwa mwendazake, kwani hata wale walifanya biashara wakiwa ikulu, sifa yao ni vile tu hawakuwa katili kama mwendazake.
Kama idadi ya like ninazopaswa kukupa ingekuwa zaidi ya moja ningekupa 5likes
 
Baadhi yetu tulikuwa tunajua tangu awali kwamba ELITEs wa CCM wengi WALIMCHUKIA Hayati kuliko Wapinzani +Mabeberu walivyomchukia Mwamba kwa pamoja,Hayati mwenyewe alilijua hilo ndio sababu ya kuteua watu aina ya Bashiru kupiga nao kazi,

Kitambo Inafahamika kuwa wengi wapo CCM kwa ajili ya maslahi yao binafsi (kupiga madili) na si vinginevyo,sasa Mwamba kwa kulifahamu hilo,akaamua kuwapeleka kijeshi jeshi, hakuna kucheka na mtu popote panapohusu maslahi ya Taifa hili,

Hili la kustopishwa kupiga madeal kama ilivyo ada yao,iliwauma sana sema hawakuwa na jinsi tu ,

Ndio maana Leo hii unakutana na story kama hizi za CAG ikiwa kama kulipa kisasi na vile vile kuandaa mazingira ya kupiga madeal yao kama kawa ,member maarufu humu MM Mwanakijiji ameshamaliza kila kitu,ikiwa haya yanayosemwa ni kweli,basi tunataka serikali yote (kuanzia Rais wa sasa ambaye alikuwa makamu kipindi hayo yote yakitokea)pamoja na wabunge wote wang'atuke fasta bila kusahau kuvunjilia mbali TISS,utapoitishwa uchaguzi mpya wale wote waliokuwepo kwenye mamlaka kipindi cha Hayati,hawatakiwi kushiriki kwa namna yoyote ile,na kama wapo wa kupelekwa mahakamani basi na wapelekwe,

Haiwezekani,ufanyike ufisadi wa kiwango hiki tunachoambiwa,na watu kibao wapo wanakula mishahara na posho za bure tu kwa kipindi chote hiko,halafu Leo hii wanakuja na utetezi wa eti sijui walikuwa wanamuogopa Hayati,tutawezaje kuacha kufikiria kuwa mnayoongea Leo hii ni kutokana na kumuogopa Yule aliye sasa?

Na ikiwa haya yanayosemwa Leo hii si ya kweli,ila yanafanywa ili kutimiza malengo ya baadhi ya watu,tunataka wale waliokuwepo kwenye uongozi wa Hayati na ambapo wengi wao bado wapo kwenye uongozi huu,wasimame kidete kuhakisha huyu CAG anaachia ngazi na hatua za kisheria juu yake zinafuata,msikubali kuburuzwa hata kidogo, acheni mambo ya kuendekeza matumbo,simamieni HAKI safari hii just for once,

Msichokijua ni kwamba,katika kipindi hiki hiki kifupi cha JPM, kuna MBEGU imeshapandwa,na imeshaanza kumea,msifikiri WaTanzania ni wajinga, msipobadilika hii mbegu itawaangamiza,

CCM hii vita mliyoianzisha,mkitegemea itapiganiwa mbali na Himaya yenu,mkae mkijua safari hii itapiganiwa sebuleni kwenu, na haitowaacha salama,it's just a matter of time!!!
CAG anamjua marehemu fika alivyokuwa anapiga hela huko tanroad walikuwa wote huko.
 
Wewe kijana ni mtu mdogo sana nchi hii ,usifikili unauchungu sana na Tanzania kuzidi wengine ...

Jpm alikuwa analindwa na katiba ,hagusiki ,unafikili kuna mtu angenyanyau mapembe mbele yake ? Hata kama anauza nchi hakuna mtu ambaye angeweza kunyanyua mdomo mbele yake ,ukijaribu ni kukutundulisu ,so ilibidi wawe wanafiki no way ...

Kila siku tunasema KATIBA mpya ,kwan huwa hamuelewi ? ,katiba ndio kitu pekee cha kuokoa nchi hii narudia tena KATIBAAA...vinginevyo hata mama Samia hamtaweza kumgusa ....!

Narudia tena hamtaweza kumgusa mama Samia hata afanye madudu gan ...

Labda ni muda mwafaka ccm na wao kudai katiba mpya ...

Katiba ile ile iliyomlinda JPM ndio hiyo hiyo inamlinda huyu wa sasa...Sawa?
Nimeuliza tutajuaje kama haya yanayosemwa sasa,yanasemwa kwa kuogopa nguvu ya mwenye mamlaka hii Leo?..
je huoni kwamba hawa wote hawana kabisaa credibility ya kutuambia chochote Leo hii kwa kuzingatia yaliyotokea kipindi cha Hayati?
 
ccm ni ukoo wa panya; baba mwizi, mama mwizi, kaka mwizi, dada mwizi, mjomba mwizi, shangazi mwizi, babu mwizi, bibi mwizi, mkwe mwizi! By mh: Nasari former Arumeru (MP).
 
Baadhi yetu tulikuwa tunajua tangu awali kwamba ELITEs wa CCM wengi WALIMCHUKIA Hayati kuliko Wapinzani +Mabeberu walivyomchukia Mwamba kwa pamoja,Hayati mwenyewe alilijua hilo ndio sababu ya kuteua watu aina ya Bashiru kupiga nao kazi.

Kitambo Inafahamika kuwa wengi wapo CCM kwa ajili ya maslahi yao binafsi (kupiga madili) na si vinginevyo, sasa Mwamba kwa kulifahamu hilo, akaamua kuwapeleka kijeshi jeshi, hakuna kucheka na mtu popote panapohusu maslahi ya Taifa hili,

Hili la kustopishwa kupiga madeal kama ilivyo ada yao,iliwauma sana sema hawakuwa na jinsi tu.

Ndio maana leo hii unakutana na story kama hizi za CAG ikiwa kama kulipa kisasi na vile vile kuandaa mazingira ya kupiga madeal yao kama kawa, member maarufu humu MM Mwanakijiji ameshamaliza kila kitu, ikiwa haya yanayosemwa ni kweli, basi tunataka serikali yote (kuanzia Rais wa sasa ambaye alikuwa makamu kipindi hayo yote yakitokea)pamoja na wabunge wote wang'atuke fasta bila kusahau kuvunjilia mbali TISS, utapoitishwa uchaguzi mpya wale wote waliokuwepo kwenye mamlaka kipindi cha Hayati, hawatakiwi kushiriki kwa namna yoyote ile, na kama wapo wa kupelekwa mahakamani basi na wapelekwe.

Haiwezekani, ufanyike ufisadi wa kiwango hiki tunachoambiwa,na watu kibao wapo wanakula mishahara na posho za bure tu kwa kipindi chote hiko, halafu leo hii wanakuja na utetezi wa eti sijui walikuwa wanamuogopa Hayati, tutawezaje kuacha kufikiria kuwa mnayoongea leo hii ni kutokana na kumuogopa yule aliye sasa?

Na ikiwa haya yanayosemwa leo hii si ya kweli,ila yanafanywa ili kutimiza malengo ya baadhi ya watu,tunataka wale waliokuwepo kwenye uongozi wa Hayati na ambapo wengi wao bado wapo kwenye uongozi huu,wasimame kidete kuhakisha huyu CAG anaachia ngazi na hatua za kisheria juu yake zinafuata, msikubali kuburuzwa hata kidogo, acheni mambo ya kuendekeza matumbo, simamieni HAKI safari hii just for once.

Msichokijua ni kwamba, katika kipindi hiki hiki kifupi cha JPM, kuna MBEGU imeshapandwa, na imeshaanza kumea, msifikiri WaTanzania ni wajinga, msipobadilika hii mbegu itawaangamiza.

CCM hii vita mliyoianzisha, mkitegemea itapiganiwa mbali na Himaya yenu,mkae mkijua safari hii itapiganiwa sebuleni kwenu, na haitowaacha salama, it's just a matter of time!
Napenda kuona ccm ikifa mara moja, la sivyo itachukua muda mrefu mno kwa taifa letu kuendelea.
 
HAKI safari hii just for once.

Msichokijua ni kwamba, katika kipindi hiki hiki kifupi cha JPM, kuna MBEGU imeshapandwa, na imeshaanza kumea, msifikiri WaTanzania ni wajinga, msipobadilika hii mbegu itawaangamiza.

CCM hii vita mliyoianzisha, mkitegemea itapiganiwa mbali na Himaya yenu,mkae mkijua safari hii itapiganiwa sebuleni kwenu, na haitowaacha salama, it's just a matter of time!
Wewe ndiye yule kijana uliye sema safari hii safari hii tuta mchoma Tundu Lissu sindano moja tu ya sumu!
Wenye mamlaka wana kuangalia Tu endelea hivyohivyo!!!!
Hakuna Mtanzania atakaye tekwa tena
 
Wewe kijana ni mtu mdogo sana nchi hii ,usifikili unauchungu sana na Tanzania kuzidi wengine.

Jpm alikuwa analindwa na katiba ,hagusiki ,unafikili kuna mtu angenyanyau mapembe mbele yake ? Hata kama anauza nchi hakuna mtu ambaye angeweza kunyanyua mdomo mbele yake ,ukijaribu ni kukutundulisu ,so ilibidi wawe wanafiki no way.

Kila siku tunasema KATIBA mpya, kwan huwa hamuelewi? katiba ndio kitu pekee cha kuokoa nchi hii narudia tena KATIBAAA...vinginevyo hata mama Samia hamtaweza kumgusa!

Narudia tena hamtaweza kumgusa mama Samia hata afanye madudu gan.

Labda ni muda mwafaka ccm na wao kudai katiba mpya.
Ipo siku maccm yatadai Katiba kuliko wapinzani
 
Baadhi yetu tulikuwa tunajua tangu awali kwamba ELITEs wa CCM wengi WALIMCHUKIA Hayati kuliko Wapinzani +Mabeberu walivyomchukia Mwamba kwa pamoja,Hayati mwenyewe alilijua hilo ndio sababu ya kuteua watu aina ya Bashiru kupiga nao kazi.

Kitambo Inafahamika kuwa wengi wapo CCM kwa ajili ya maslahi yao binafsi (kupiga madili) na si vinginevyo, sasa Mwamba kwa kulifahamu hilo, akaamua kuwapeleka kijeshi jeshi, hakuna kucheka na mtu popote panapohusu maslahi ya Taifa hili,

Hili la kustopishwa kupiga madeal kama ilivyo ada yao,iliwauma sana sema hawakuwa na jinsi tu.

Ndio maana leo hii unakutana na story kama hizi za CAG ikiwa kama kulipa kisasi na vile vile kuandaa mazingira ya kupiga madeal yao kama kawa, member maarufu humu MM Mwanakijiji ameshamaliza kila kitu, ikiwa haya yanayosemwa ni kweli, basi tunataka serikali yote (kuanzia Rais wa sasa ambaye alikuwa makamu kipindi hayo yote yakitokea)pamoja na wabunge wote wang'atuke fasta bila kusahau kuvunjilia mbali TISS, utapoitishwa uchaguzi mpya wale wote waliokuwepo kwenye mamlaka kipindi cha Hayati, hawatakiwi kushiriki kwa namna yoyote ile, na kama wapo wa kupelekwa mahakamani basi na wapelekwe.

Haiwezekani, ufanyike ufisadi wa kiwango hiki tunachoambiwa,na watu kibao wapo wanakula mishahara na posho za bure tu kwa kipindi chote hiko, halafu leo hii wanakuja na utetezi wa eti sijui walikuwa wanamuogopa Hayati, tutawezaje kuacha kufikiria kuwa mnayoongea leo hii ni kutokana na kumuogopa yule aliye sasa?

Na ikiwa haya yanayosemwa leo hii si ya kweli,ila yanafanywa ili kutimiza malengo ya baadhi ya watu,tunataka wale waliokuwepo kwenye uongozi wa Hayati na ambapo wengi wao bado wapo kwenye uongozi huu,wasimame kidete kuhakisha huyu CAG anaachia ngazi na hatua za kisheria juu yake zinafuata, msikubali kuburuzwa hata kidogo, acheni mambo ya kuendekeza matumbo, simamieni HAKI safari hii just for once.

Msichokijua ni kwamba, katika kipindi hiki hiki kifupi cha JPM, kuna MBEGU imeshapandwa, na imeshaanza kumea, msifikiri WaTanzania ni wajinga, msipobadilika hii mbegu itawaangamiza.

CCM hii vita mliyoianzisha, mkitegemea itapiganiwa mbali na Himaya yenu,mkae mkijua safari hii itapiganiwa sebuleni kwenu, na haitowaacha salama, it's just a matter of time!
nyinyi sukuma cartel mlijifanya wajuaji Sasa malaika mkuu hayupo mnatapata Tanzania imepata uhuru kwa Mala ya pili
 
Back
Top Bottom