kwakina itafakari
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 739
- 1,657
Akili za kindege kabisa...nyie ndio wakufungwa jiwe shingoni na kutupiwa baharini.RIP azory
RIP Ben saanane
Rip John pombe Magufuli
Kama idadi ya like ninazopaswa kukupa ingekuwa zaidi ya moja ningekupa 5likesKuna pointi nimeiona hapa, ukiachia mbali lile kundi la "plastic opposition supporters" walioamua kuicheza ngoma ya CAG bila kujua wanalionhezea credit kundi la CCM wapiga dili, kuna hawa CCM soft wapiga dili wenyewe ambao inawezekana kabisa wanashangilia madudu kwenye ripoti ya CAG wakiwa na maana kwamba mbona huyo mliemuona mzalendo nae alikuwa anawapiga tu kama sisi au zaidi yetu, kumbe kimsingi hoja hapa sio nani ni msafi kwa mwenzake, hoja hapa wote ni wachafu sema kinachoangaliwa ni wanagombea nafasi ya nani mchafu zaidi ya mwenzake.
Nimekuja kupata akili nyingine nikajiuliza inawezekana hata hawa marais ambao wako hai nao wana madudu yao zaidi ya tunayoyafahamu, tatizo wenye siri hizo wanaogopa kuyamwaga hadharani kila mtu ajionee wasije kuitwa wasaliti, laiti na hawa wengine wangefia madarakani tungeweza kuyasikia mengi zaidi ya haya tunayosakia kwa mwendazake, kwani hata wale walifanya biashara wakiwa ikulu, sifa yao ni vile tu hawakuwa katili kama mwendazake.
Mbona unalia Lia Sana kulikoni?
Amekosa alicho kitegemea kwa muda mrefu teuzi zimempa kisogo anamsongo wa mawaaaMbona unalia Lia Sana kulikoni?
CAG anamjua marehemu fika alivyokuwa anapiga hela huko tanroad walikuwa wote huko.Baadhi yetu tulikuwa tunajua tangu awali kwamba ELITEs wa CCM wengi WALIMCHUKIA Hayati kuliko Wapinzani +Mabeberu walivyomchukia Mwamba kwa pamoja,Hayati mwenyewe alilijua hilo ndio sababu ya kuteua watu aina ya Bashiru kupiga nao kazi,
Kitambo Inafahamika kuwa wengi wapo CCM kwa ajili ya maslahi yao binafsi (kupiga madili) na si vinginevyo,sasa Mwamba kwa kulifahamu hilo,akaamua kuwapeleka kijeshi jeshi, hakuna kucheka na mtu popote panapohusu maslahi ya Taifa hili,
Hili la kustopishwa kupiga madeal kama ilivyo ada yao,iliwauma sana sema hawakuwa na jinsi tu ,
Ndio maana Leo hii unakutana na story kama hizi za CAG ikiwa kama kulipa kisasi na vile vile kuandaa mazingira ya kupiga madeal yao kama kawa ,member maarufu humu MM Mwanakijiji ameshamaliza kila kitu,ikiwa haya yanayosemwa ni kweli,basi tunataka serikali yote (kuanzia Rais wa sasa ambaye alikuwa makamu kipindi hayo yote yakitokea)pamoja na wabunge wote wang'atuke fasta bila kusahau kuvunjilia mbali TISS,utapoitishwa uchaguzi mpya wale wote waliokuwepo kwenye mamlaka kipindi cha Hayati,hawatakiwi kushiriki kwa namna yoyote ile,na kama wapo wa kupelekwa mahakamani basi na wapelekwe,
Haiwezekani,ufanyike ufisadi wa kiwango hiki tunachoambiwa,na watu kibao wapo wanakula mishahara na posho za bure tu kwa kipindi chote hiko,halafu Leo hii wanakuja na utetezi wa eti sijui walikuwa wanamuogopa Hayati,tutawezaje kuacha kufikiria kuwa mnayoongea Leo hii ni kutokana na kumuogopa Yule aliye sasa?
Na ikiwa haya yanayosemwa Leo hii si ya kweli,ila yanafanywa ili kutimiza malengo ya baadhi ya watu,tunataka wale waliokuwepo kwenye uongozi wa Hayati na ambapo wengi wao bado wapo kwenye uongozi huu,wasimame kidete kuhakisha huyu CAG anaachia ngazi na hatua za kisheria juu yake zinafuata,msikubali kuburuzwa hata kidogo, acheni mambo ya kuendekeza matumbo,simamieni HAKI safari hii just for once,
Msichokijua ni kwamba,katika kipindi hiki hiki kifupi cha JPM, kuna MBEGU imeshapandwa,na imeshaanza kumea,msifikiri WaTanzania ni wajinga, msipobadilika hii mbegu itawaangamiza,
CCM hii vita mliyoianzisha,mkitegemea itapiganiwa mbali na Himaya yenu,mkae mkijua safari hii itapiganiwa sebuleni kwenu, na haitowaacha salama,it's just a matter of time!!!
Wewe kijana ni mtu mdogo sana nchi hii ,usifikili unauchungu sana na Tanzania kuzidi wengine ...
Jpm alikuwa analindwa na katiba ,hagusiki ,unafikili kuna mtu angenyanyau mapembe mbele yake ? Hata kama anauza nchi hakuna mtu ambaye angeweza kunyanyua mdomo mbele yake ,ukijaribu ni kukutundulisu ,so ilibidi wawe wanafiki no way ...
Kila siku tunasema KATIBA mpya ,kwan huwa hamuelewi ? ,katiba ndio kitu pekee cha kuokoa nchi hii narudia tena KATIBAAA...vinginevyo hata mama Samia hamtaweza kumgusa ....!
Narudia tena hamtaweza kumgusa mama Samia hata afanye madudu gan ...
Labda ni muda mwafaka ccm na wao kudai katiba mpya ...
Napenda kuona ccm ikifa mara moja, la sivyo itachukua muda mrefu mno kwa taifa letu kuendelea.Baadhi yetu tulikuwa tunajua tangu awali kwamba ELITEs wa CCM wengi WALIMCHUKIA Hayati kuliko Wapinzani +Mabeberu walivyomchukia Mwamba kwa pamoja,Hayati mwenyewe alilijua hilo ndio sababu ya kuteua watu aina ya Bashiru kupiga nao kazi.
Kitambo Inafahamika kuwa wengi wapo CCM kwa ajili ya maslahi yao binafsi (kupiga madili) na si vinginevyo, sasa Mwamba kwa kulifahamu hilo, akaamua kuwapeleka kijeshi jeshi, hakuna kucheka na mtu popote panapohusu maslahi ya Taifa hili,
Hili la kustopishwa kupiga madeal kama ilivyo ada yao,iliwauma sana sema hawakuwa na jinsi tu.
Ndio maana leo hii unakutana na story kama hizi za CAG ikiwa kama kulipa kisasi na vile vile kuandaa mazingira ya kupiga madeal yao kama kawa, member maarufu humu MM Mwanakijiji ameshamaliza kila kitu, ikiwa haya yanayosemwa ni kweli, basi tunataka serikali yote (kuanzia Rais wa sasa ambaye alikuwa makamu kipindi hayo yote yakitokea)pamoja na wabunge wote wang'atuke fasta bila kusahau kuvunjilia mbali TISS, utapoitishwa uchaguzi mpya wale wote waliokuwepo kwenye mamlaka kipindi cha Hayati, hawatakiwi kushiriki kwa namna yoyote ile, na kama wapo wa kupelekwa mahakamani basi na wapelekwe.
Haiwezekani, ufanyike ufisadi wa kiwango hiki tunachoambiwa,na watu kibao wapo wanakula mishahara na posho za bure tu kwa kipindi chote hiko, halafu leo hii wanakuja na utetezi wa eti sijui walikuwa wanamuogopa Hayati, tutawezaje kuacha kufikiria kuwa mnayoongea leo hii ni kutokana na kumuogopa yule aliye sasa?
Na ikiwa haya yanayosemwa leo hii si ya kweli,ila yanafanywa ili kutimiza malengo ya baadhi ya watu,tunataka wale waliokuwepo kwenye uongozi wa Hayati na ambapo wengi wao bado wapo kwenye uongozi huu,wasimame kidete kuhakisha huyu CAG anaachia ngazi na hatua za kisheria juu yake zinafuata, msikubali kuburuzwa hata kidogo, acheni mambo ya kuendekeza matumbo, simamieni HAKI safari hii just for once.
Msichokijua ni kwamba, katika kipindi hiki hiki kifupi cha JPM, kuna MBEGU imeshapandwa, na imeshaanza kumea, msifikiri WaTanzania ni wajinga, msipobadilika hii mbegu itawaangamiza.
CCM hii vita mliyoianzisha, mkitegemea itapiganiwa mbali na Himaya yenu,mkae mkijua safari hii itapiganiwa sebuleni kwenu, na haitowaacha salama, it's just a matter of time!
Wewe ndiye yule kijana uliye sema safari hii safari hii tuta mchoma Tundu Lissu sindano moja tu ya sumu!HAKI safari hii just for once.
Msichokijua ni kwamba, katika kipindi hiki hiki kifupi cha JPM, kuna MBEGU imeshapandwa, na imeshaanza kumea, msifikiri WaTanzania ni wajinga, msipobadilika hii mbegu itawaangamiza.
CCM hii vita mliyoianzisha, mkitegemea itapiganiwa mbali na Himaya yenu,mkae mkijua safari hii itapiganiwa sebuleni kwenu, na haitowaacha salama, it's just a matter of time!
Ipo siku maccm yatadai Katiba kuliko wapinzaniWewe kijana ni mtu mdogo sana nchi hii ,usifikili unauchungu sana na Tanzania kuzidi wengine.
Jpm alikuwa analindwa na katiba ,hagusiki ,unafikili kuna mtu angenyanyau mapembe mbele yake ? Hata kama anauza nchi hakuna mtu ambaye angeweza kunyanyua mdomo mbele yake ,ukijaribu ni kukutundulisu ,so ilibidi wawe wanafiki no way.
Kila siku tunasema KATIBA mpya, kwan huwa hamuelewi? katiba ndio kitu pekee cha kuokoa nchi hii narudia tena KATIBAAA...vinginevyo hata mama Samia hamtaweza kumgusa!
Narudia tena hamtaweza kumgusa mama Samia hata afanye madudu gan.
Labda ni muda mwafaka ccm na wao kudai katiba mpya.
nyinyi sukuma cartel mlijifanya wajuaji Sasa malaika mkuu hayupo mnatapata Tanzania imepata uhuru kwa Mala ya piliBaadhi yetu tulikuwa tunajua tangu awali kwamba ELITEs wa CCM wengi WALIMCHUKIA Hayati kuliko Wapinzani +Mabeberu walivyomchukia Mwamba kwa pamoja,Hayati mwenyewe alilijua hilo ndio sababu ya kuteua watu aina ya Bashiru kupiga nao kazi.