CCM vyeo wanagawiana familia zao na uongozi wanapeana wao kwa wao; je wanachama wengine ni wapagazi wa kubeba nyundo na majembe?

Hayakuhusu
 
Chadema wabunge wa viti maalumu ni Mahawala na wake za viongozi,
Huko chadema pia inabidi uwe mkubwa ili kupata fame, ukweli, kupanda ngazi ni rahisi CCM kuliko upinzani
 
Kuna mambo tunapaswa kuelewa vizuri kabisa CCM inawenyewe, sasa wewe umetoka kusiko jurikana ukoo wenu wote hakuna hata aliwahi kuwa diwani, jamani bado tuwalaumu hawa chama cha jembe na nyundo, binafsi sipo chadema wala ccm ila kuwa upande wa ccm bora niwe upande wa shetani tu
 
Hoja kama hizi ndo zilipaswa kuwemo jf kuliko watu kuwa wanasifia mashuzi tu kama sio wasomi huwa naboeka sana Taifa la ''wapelekwapelekwa''
 
Ndiyooo tena inatakiwa uwe na uwezo wa kuahirisha kufikiri kwa nafsi, a.k.a kujizima data, (chawa), yaani inatakiwa uwe mpumbavu
 
Hopeless hungry monkey
 
Hata sisi huku chini ya Mbowe
 
Chadema wabunge wa viti maalumu ni Mahawala na wake za viongozi,
Huko chadema pia inabidi uwe mkubwa ili kupata fame, ukweli, kupanda ngazi ni rahisi CCM kuliko upinzani
Mimi ni mwana CCM mwenye kadi ya electronic, sijui chochotee kuhusu CHADEMA.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Chadema wabunge wa viti maalumu ni Mahawala na wake za viongozi,
Huko chadema pia inabidi uwe mkubwa ili kupata fame, ukweli, kupanda ngazi ni rahisi CCM kuliko upinzani
Lissu atatatua hili suala ni msafi
 
Halafu hao "Wapagazi" walivyokuwa hawana akili wao wanashangilia tu!
 
MaDAS maDC na MaDED ni wale wale tu tangu tupate uhuru.

Wengine wavaa kofia tu na Tshirt
 
Tunaposema ccm ni kampuni ya familia zisizozidi 1000 muwe mnaelewa! Yani hao watu na koo zao ziishe ndio wamkumbuke mwashambwa atakua keshachakaa kwa kusifia wanaume mitandaoni na kazeeka kawa mstaafu!
 
Lugha ya picha hiyo, simaanishi mwanae ila ni kwamba watapeana wao kwa wao.
Ni kweli, usitegemee wakatoa vyeo kwa CUF watapeana wao kwa wao huko ccm.

Kumbuka hao walioko juu wana ndugu zao nao ccm, na ndio unao waita "wao kwa wao".
 
Lucas mwashambwa leo alikutwa vyoo cha jk convention analia very sad sijui alipatwa na nn huyu kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…