CCM vyeo wanagawiana familia zao na uongozi wanapeana wao kwa wao; je wanachama wengine ni wapagazi wa kubeba nyundo na majembe?

CCM vyeo wanagawiana familia zao na uongozi wanapeana wao kwa wao; je wanachama wengine ni wapagazi wa kubeba nyundo na majembe?

Nina mshikaji wangu huyu bwana
1. Ni HR wa Halmashauri X
2. Ana Masters ya MBA in HR
3. Mpiga kazi balaa

Sasa bwana kwenye chama cha CCM ...
1. Yeye kila mwaka ana jezi mpya
2. Hakuna event ya CCM ya mkoa au wilaya asihudhurie
3. Kaenda mara kibaoo kwenye mikutano ya Chama Dodoma

Ila sasa ....
Sio kiongozi yoyote, huwa namwambjaga kuwa "braza huko unapotea na kupoteza muda, CCM ina wenyewe na walio wenyewe ni hawa wenye koo za VIP au wanaojuana na hizo koo"" ila Haelwagi

Namuoneaga huruma sanaa huyu kijana wangu.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
huyo ni Tlaahtlaah mwashambwa au
 
Akina Mwashambwa wataendelea kuwa vidampa Lumumba uongozi CCM ni kwa kujuana .
 
Back
Top Bottom