Zanzibar 2020 CCM waanza kufunga virago Zanzibar, waihofia ACT-Wazalendo

Zanzibar 2020 CCM waanza kufunga virago Zanzibar, waihofia ACT-Wazalendo

Jee mwinyi Zanzibar kasoma skuli gani au madrasa gani au kwao nikijiji kipi kwa hapa Zanzibar na jee tangu alipo kua bungeini amewahi kuitetea Zanzibar na jee yy ndie waziri wa wizara ya mambo ya ndani jee wale mashekhe mpaka Leo mbona anawatesa huu ni mwaka wa 8

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Kifungu gani cha sheria au katiba gani inasema uraia wa mtu unakuwa determined na shule au madrasa aliyosomea? Kuwa waziri haimaanishi yuko juu ya sheria wacha mahaka iwatendee haki mashekh wako unaowataka uraiani kwa makosa ya ugaidi. Ndo maana nilikuambia hoja zenu ni utopolo na upumbavu kuzijibu .
 
Achana na Masheikh...lakini inafikirisha kuwa unataka kuwa Rais kwenye nchi ambayo huna mizizi pale. .hujàakulia hapo,hukusoma pàle...kuishi huko!
Namhurumia Sana Mwinyi..Siasa za Zanzibar Ni ngumu!
 
wanaondoka siri siri kama mkiangalia jukwaa la Husein silo jukwaa la CCM Zanzibar tulilolizoea.Limesheheni waunga juhudi waliobaki ni Babu Ali na Mpiga mabodi.
 
Back
Top Bottom