Zanzibar 2020 CCM waanza kufunga virago Zanzibar, waihofia ACT-Wazalendo

Zanzibar 2020 CCM waanza kufunga virago Zanzibar, waihofia ACT-Wazalendo

Sasa huo ubaguzi sisi ni watanzania nchi moja tujadili kuwa na uchaguzi huru na haki ukabila na udini iwe mwiko kwetu

Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
 
Zanzibar ikichukuliwa na ACT-W basi hapo ndipo muungano utakuwa wa kweli sio huu wa sasa ambao ni wa kitapeli.
 
Zanzibar ikichukuliwa na ACT-W basi hapo ndipo muungano utakuwa wa kweli sio huu wa sasa ambao ni wa kitapeli.
Vyote ni vyama vyetu iwe ccm.cdm.chauma nk chochote kitawale ila kisitutenge kwa udini au ukabila tubaki na tanzania yetu sawa tu zec isimamie haki kuzaliwa tabora au unguja visiwe sababu ya kutawala huku au kule tubaki ni mtanzania popote anaishi ndani ya Tanzania

Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
 
CCM wameanza kuondoka Zanzibar kimyakimya, wanasema mziki wa ACT Wazalendo sio wakawaida, baadhi ya kauli ni kukifananisha Chama cha ACT Wazalendo na ng'ombe maarufu anaejulikana kwa Jina la kipole, hana msalie mtume.

Wengine wakisema hawatokubali kufanywa kuni ndani ya Zanzibar kwani kuwalinda wahafidhina wa CCM ni kuyatafuta mauti kwa hiari yako sababu ACT hawazuiliki hapa Zanzibar na wanaonekana wazi wana nguvu na kila sababu ya kushinda.

Kama Iddi Amini alipoivamia Tanzania tunajua kilichomtokea mjeshi wa Uganda sasa chukulia sisi CCM ndio kama Iddi Amin na ACT ndio majeshi ya Tanzania unafikiri tutapona.
Kwahiyo hata Lissu hapati kura?
 
Nadhani sasa hivi kwa sababu ya umri, hii itakua awamu ya mwisho kwa maalimu kugombea na kwa sasa hatakua na lolote lile la kupoteza na ameshesema hatawazuia vijana kuingia barabarani huku yeye mwenyewe akiwa frontline,akitekeleza hayo then Zanzibar ni pa kupaangalia kwa jicho la umakini sana.
Yes, Maalim huu ndio mwaka wake mwisho na ndio maana kuliko miaka ya nyuma yote, mara hii huenda akaisimamia kauli yake ya liwalo na liwe. Maana kama hajaingia mwaka huu, haingii tena na umri unamtupa mkono. Pia watu wamechoka na figisu za CCM, mwaka ule 2010, watu waliizingira Bwawani, walikuwa wanasubiri Maalim atoe kauli tu pale pale lianzishwe. Maalim mwenyewe aliona joto alipokwenda kuwatuliza.

CCM Zanzibar wanajisifia nchi wameipindua, hawaitoi hawaitoi hawaitoi kwa karatasi, yalisemwa Bungeni haya. Maana yake ili waitoe, damu imwagike.
 
Hussein mwinyi siyo mzanzibar Bali huku hakuzaliwa wala hakusoma shule wala madrasa na wala hakuna hata MTU mmoja kama aliwahi kucheza nae ktk udogo wake na baba ake alipo kua Rais mwaka 1984- 1985 yani aliteuliwa Dodoma nakuja kukaa tu Zanzibar wala hakupigiwa kura kwahiyo na habari zilizopo shamsi vua nahodha amechukuliwa tangu juzi yuko Dodoma huko anahojiwa kisa anawambia watu wa Zanzibar wasimchague mwinyi kwani mwinyi akichagulia ndio Zanzibar kashaifanya wilaya

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Nilipewa habari siku alokuja Zanzibar wakafanya mkutano wao na vijana wa chuo CCM pale SUZA ziliruka ngumi kwa sababu kuna CCM alimhoji uhalali wa kugombea urais Zanzibar wakati hakufikia masharti. Wakuletwa wakanuna na kuanza kuzichapa 😀
 
CCM wameanza kuondoka Zanzibar kimyakimya, wanasema mziki wa ACT-Wazalendo sio wakawaida, baadhi ya kauli ni kukifananisha Chama cha ACT-Wazalendo na ng'ombe maarufu anaejulikana kwa Jina la kipole, hana msalie mtume.

Wengine wakisema hawatokubali kufanywa kuni ndani ya Zanzibar kwani kuwalinda wahafidhina wa CCM ni kuyatafuta mauti kwa hiari yako sababu ACT-Wazalendo hawazuiliki hapa Zanzibar na wanaonekana wazi wana nguvu na kila sababu ya kushinda.

Kama Iddi Amini alipoivamia Tanzania tunajua kilichomtokea mjeshi wa Uganda sasa chukulia sisi CCM ndio kama Iddi Amin na ACT-Wazalenda ndio majeshi ya Tanzania unafikiri tutapona.
ccm hawamwezi seif kwa namna yoyote ile
 
ccm wana mbinu nyingi katika kushinda/kushindwa. 2015 walifuta matokeo na uchaguzi wote wa znz kwa ujumla. 2020 wamepima upepo wameona hakuna namna zaidi yakuweka mzanzibara badala ya mzanzibari kupeperusha bendera ya chama chao, ili maalim atakapo chukua nchi waje na kisingizio kwamba wamesalitiana wenyewe kwa wenyewe.
 
Kama mwinyi ni mzanzibar kasoma shule gani au madrasa gani kwa hapa Zanzibar na jee kwao nikijiji gani kwa hapa Zanzibar

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Kama mwinyi ni mzanzibar kasoma shule gani au madrasa gani kwa hapa Zanzibar na jee kwao nikijiji gani kwa hapa Zanzibar

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app

Naona kama umekurupuka kujibu bila kuelewa kilicho andikwa. Kuna mahali pameandikwa "mzanzibara badala ya mzanzibari".
Kiongozi utanisamee kama neno kukurupuka litakukera, ila soma tena kwa umakini utaelewa kilicho kusudiwa .
 
Kuna hoja gani ya kujibu hapo?zaidi ya utopolo.
Jee mwinyi Zanzibar kasoma skuli gani au madrasa gani au kwao nikijiji kipi kwa hapa Zanzibar na jee tangu alipo kua bungeini amewahi kuitetea Zanzibar na jee yy ndie waziri wa wizara ya mambo ya ndani jee wale mashekhe mpaka Leo mbona anawatesa huu ni mwaka wa 8

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom