Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 15,328
- 11,192
🤣 🤣 🤣 🤣 balaa na roboUnaweza kunitajia shule aliyosoma mwinyi hapa Zanzibar au ukatuma clip moja tu mwinyi akiwa bungeni kuitetea Zanzibar
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 🤣 🤣 🤣 balaa na roboUnaweza kunitajia shule aliyosoma mwinyi hapa Zanzibar au ukatuma clip moja tu mwinyi akiwa bungeni kuitetea Zanzibar
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Hizo ndio hoja mnazompa Maalim azitoe mbele ya Wazanzibar wakati huu wa kampeni!? Mmeishiwa hoja tayari? Poleni sana.Kama mwinyi ni mzanzibar huu ni mwaka wa 20 yuko bungeni niliwahi kumsikia lini akaitetea Zanzibar au nyengine yy ni waziri wa vyombo vya ulinzi mbona mpaka Leo ushahidi hauja kamilika kuhusu mashehe wale wala yy kuwatetea mashehe wale
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
hii habari ya shamsi ina ukweli wowote au ni redio kifua?habari zilizopo shamsi vua nahodha amechukuliwa tangu juzi yuko Dodoma huko anahojiwa kisa anawambia watu wa Zanzibar wasimchague mwinyi kwani mwinyi akichagulia ndio Zanzibar kashaifanya wilaya
👏 👏 👏 👏Tushindaneni kwa hoja tusishindane kwa kutekana jengeni hoja tuwajibu na sisi tujenge hoja mutujibu hiyo ndio demo crasia
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Inaonekana hufuatilii kampeni za ACT, jana kibanda maiti Maalim wala hakuwa na muda kabisa na huyo jamaa wa MKURANGA.Hizo ndio hoja mnazompa Maalim azitoe mbele ya Wazanzibar wakati huu wa kampeni!? Mmeishiwa hoja tayari? Poleni sana.
Tusubiri sanduku la kura na kulaCCM wameanza kuondoka Zanzibar kimyakimya, wanasema mziki wa ACT Wazalendo sio wakawaida, baadhi ya kauli ni kukifananisha Chama cha ACT Wazalendo na ng'ombe maarufu anaejulikana kwa Jina la kipole, hana msalie mtume.
Wengine wakisema hawatokubali kufanywa kuni ndani ya Zanzibar kwani kuwalinda wahafidhina wa CCM ni kuyatafuta mauti kwa hiari yako sababu ACT hawazuiliki hapa Zanzibar na wanaonekana wazi wana nguvu na kila sababu ya kushinda.
Kama Iddi Amini alipoivamia Tanzania tunajua kilichomtokea mjeshi wa Uganda sasa chukulia sisi CCM ndio kama Iddi Amin na ACT ndio majeshi ya Tanzania unafikiri tutapona.
Sababu ipo ndiyobmaana wako ndani na ndiyo maana ccm itashindaPigo lakwanza la ccm kuanguka Zanzibar nilile la kuwakamata mashehe na kuwaweka ndani miaka 8 bila ya sababu yoyote
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Labda ishinde kwa kuleta wasanii lkn siyo kwa kura maana marahii musizanie tutasubiri tume itangaaze tutajitangaazaa wenyewe bara baraniSababu ipo ndiyobmaana wako ndani na ndiyo maana ccm itashinda
Ni kawaida, mgombea wenu ambaye hajawahi kuwa na chama hujitangaza kuwa ameshinda, mara hii pia atajitangazaLabda ishinde kwa kuleta wasanii lkn siyo kwa kura maana marahii musizanie tutasubiri tume itangaaze tutajitangaazaa wenyewe bara barani
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Hakuna mpambano, ccm haina mpinzani zanzibarhuu mpambano utakuwa wa kukata na shoka, nadhani utavuta hisia za watu wengi kuufuatilia
Wewe uko upande upiTushindaneni kwa hoja tusishindane kwa kutekana jengeni hoja tuwajibu na sisi tujenge hoja mutujibu hiyo ndio demo crasia
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Mm Niko upande wa wananchi wanao pigwa risasi na kutekwa na kunyanganywa malizanao na wale wanao bambikiziwa kesi za kutunga kama wale uamsho wanao teswa huu ni mwaka wa 8Wewe uko upande upi