Zanzibar 2020 CCM waanza kufunga virago Zanzibar, waihofia ACT-Wazalendo

Kifungu gani cha sheria au katiba gani inasema uraia wa mtu unakuwa determined na shule au madrasa aliyosomea? Kuwa waziri haimaanishi yuko juu ya sheria wacha mahaka iwatendee haki mashekh wako unaowataka uraiani kwa makosa ya ugaidi. Ndo maana nilikuambia hoja zenu ni utopolo na upumbavu kuzijibu .
 
Achana na Masheikh...lakini inafikirisha kuwa unataka kuwa Rais kwenye nchi ambayo huna mizizi pale. .hujàakulia hapo,hukusoma pàle...kuishi huko!
Namhurumia Sana Mwinyi..Siasa za Zanzibar Ni ngumu!
 
wanaondoka siri siri kama mkiangalia jukwaa la Husein silo jukwaa la CCM Zanzibar tulilolizoea.Limesheheni waunga juhudi waliobaki ni Babu Ali na Mpiga mabodi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…