Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa takribani siku sita,kulikuwa na mjadala juu ya Vifungu vya 37 na 38 vya Kanuni za Kudumu za Bunge la Katiba.Vifungu husika vinahusu namna ya kufikia uamuzi Bungeni kwa njia ya kupiga kura pale ambapo kutakuwa na haja ya kufanya hivyo. Kura zitapigwa hata wakati wa kupitishwa kwa kifungu kwa kifungu cha Rasimu ya Pili ya Katiba itakayojadiliwa na kupitishwa na Bunge.
Mvutano wa wazi na mkali ulikuwa juu ya Kura ya Wazi au Kura ya Siri. CCM katika mjadala mzima ilishindwa kuwashawishi Wajumbe waiunge mkono katika kuipigia upatu kura ya wazi. Mjadala ukawa mgumu na kuahirisha Bunge mara kwa mara. Ndipo ilipoundwa Kamati ya Maridhiano kushughulikia suala hilo.Hata Kamati nayo ikagonga mwamba katika kuamua.
Leo asubuhi,Bunge la Katiba limepitisha Kanuni husika likiviacha vifungu vya 37 na 38 kama vilivyo.Ikatolewa taarifa kuwa Kamati ya Maridhiano itashughulikia suala hilo. Hapo ndipo CCM iliponyakua ushindi. Baada ya kesho kuchaguliwa kwa Mwenyekiti wa kudumu wa Bunge la Katiba na Bunge kuanza kazi yake ipasavyo,maamuzi mengi na mamlaka yatakuwa katika kiti cha Mwenyekiti.
Kamati ya Maridhiano italazimika kumwachia Mwenyekiti aamue kuhusu suala hilo kwa kutumia busara zake. Iko wazi kuwa Mwenyekiti wa Kudumu atatokea CCM.Hii ni kwa kuangalia idadi wa Wajumbe wenye mafungamano na CCM. Hivyobasi,kuna uwezekano mkubwa Mwenyekiti huyo kutoka CCM akasimamia msimamo wa chama chetu wa kura ya wazi wakati wa kupitisha Rasimu ya Katiba. Na hapo ndipo mchezo utakapoishia.....
Mzee Tupatupa wa Lumumba (sasa Dodoma)
Ni wazi kwamba kama katiba mpya itapatikana kwa shinikizo la uwepo wa abunge wengi wa ccm, ni kuwa katiba hiyo haitakuwa na manufaa kwa Watanzania na itaacha kero nyingi katika jamii bila kushughulikiwa.
Kero hizo zitasababisha kuyumba kwa nchi na kulazimu kufanya marekebisho makubwa (amendments) kwenye katiba hiyo. Cha kusikitisha katika muonekano huo ni kwamba pesa za wananchi zitazidi kupotea, lakini hatimaye tutapata katiba ambayo wananchi wameiridhia.
Vile vile upo uwezekano wa ccm kupoteza uelekeo wake kutokana na shinikizo lao hili.
acha kupotosha watuKwa takribani siku sita,kulikuwa na mjadala juu ya Vifungu vya 37 na 38 vya Kanuni za Kudumu za Bunge la Katiba.Vifungu husika vinahusu namna ya kufikia uamuzi Bungeni kwa njia ya kupiga kura pale ambapo kutakuwa na haja ya kufanya hivyo. Kura zitapigwa hata wakati wa kupitishwa kwa kifungu kwa kifungu cha Rasimu ya Pili ya Katiba itakayojadiliwa na kupitishwa na Bunge.
Mvutano wa wazi na mkali ulikuwa juu ya Kura ya Wazi au Kura ya Siri. CCM katika mjadala mzima ilishindwa kuwashawishi Wajumbe waiunge mkono katika kuipigia upatu kura ya wazi. Mjadala ukawa mgumu na kuahirisha Bunge mara kwa mara. Ndipo ilipoundwa Kamati ya Maridhiano kushughulikia suala hilo.Hata Kamati nayo ikagonga mwamba katika kuamua.
Leo asubuhi,Bunge la Katiba limepitisha Kanuni husika likiviacha vifungu vya 37 na 38 kama vilivyo.Ikatolewa taarifa kuwa Kamati ya Maridhiano itashughulikia suala hilo. Hapo ndipo CCM iliponyakua ushindi. Baada ya kesho kuchaguliwa kwa Mwenyekiti wa kudumu wa Bunge la Katiba na Bunge kuanza kazi yake ipasavyo,maamuzi mengi na mamlaka yatakuwa katika kiti cha Mwenyekiti.
Kamati ya Maridhiano italazimika kumwachia Mwenyekiti aamue kuhusu suala hilo kwa kutumia busara zake. Iko wazi kuwa Mwenyekiti wa Kudumu atatokea CCM.Hii ni kwa kuangalia idadi wa Wajumbe wenye mafungamano na CCM. Hivyobasi,kuna uwezekano mkubwa Mwenyekiti huyo kutoka CCM akasimamia msimamo wa chama chetu wa kura ya wazi wakati wa kupitisha Rasimu ya Katiba. Na hapo ndipo mchezo utakapoishia.....
Mzee Tupatupa wa Lumumba (sasa Dodoma)
Ongera sana kwa ushindi huo wa mezaniKwa takribani siku sita,kulikuwa na mjadala juu ya Vifungu vya 37 na 38 vya Kanuni za Kudumu za Bunge la Katiba.Vifungu husika vinahusu namna ya kufikia uamuzi Bungeni kwa njia ya kupiga kura pale ambapo kutakuwa na haja ya kufanya hivyo. Kura zitapigwa hata wakati wa kupitishwa kwa kifungu kwa kifungu cha Rasimu ya Pili ya Katiba itakayojadiliwa na kupitishwa na Bunge.
Mvutano wa wazi na mkali ulikuwa juu ya Kura ya Wazi au Kura ya Siri. CCM katika mjadala mzima ilishindwa kuwashawishi Wajumbe waiunge mkono katika kuipigia upatu kura ya wazi. Mjadala ukawa mgumu na kuahirisha Bunge mara kwa mara. Ndipo ilipoundwa Kamati ya Maridhiano kushughulikia suala hilo.Hata Kamati nayo ikagonga mwamba katika kuamua.
Leo asubuhi,Bunge la Katiba limepitisha Kanuni husika likiviacha vifungu vya 37 na 38 kama vilivyo.Ikatolewa taarifa kuwa Kamati ya Maridhiano itashughulikia suala hilo. Hapo ndipo CCM iliponyakua ushindi. Baada ya kesho kuchaguliwa kwa Mwenyekiti wa kudumu wa Bunge la Katiba na Bunge kuanza kazi yake ipasavyo,maamuzi mengi na mamlaka yatakuwa katika kiti cha Mwenyekiti.
Kamati ya Maridhiano italazimika kumwachia Mwenyekiti aamue kuhusu suala hilo kwa kutumia busara zake. Iko wazi kuwa Mwenyekiti wa Kudumu atatokea CCM.Hii ni kwa kuangalia idadi wa Wajumbe wenye mafungamano na CCM. Hivyobasi,kuna uwezekano mkubwa Mwenyekiti huyo kutoka CCM akasimamia msimamo wa chama chetu wa kura ya wazi wakati wa kupitisha Rasimu ya Katiba. Na hapo ndipo mchezo utakapoishia.....
Mzee Tupatupa wa Lumumba (sasa Dodoma)
Kwa takribani siku sita,kulikuwa na mjadala juu ya Vifungu vya 37 na 38 vya Kanuni za Kudumu za Bunge la Katiba.Vifungu husika vinahusu namna ya kufikia uamuzi Bungeni kwa njia ya kupiga kura pale ambapo kutakuwa na haja ya kufanya hivyo. Kura zitapigwa hata wakati wa kupitishwa kwa kifungu kwa kifungu cha Rasimu ya Pili ya Katiba itakayojadiliwa na kupitishwa na Bunge.
Mvutano wa wazi na mkali ulikuwa juu ya Kura ya Wazi au Kura ya Siri. CCM katika mjadala mzima ilishindwa kuwashawishi Wajumbe waiunge mkono katika kuipigia upatu kura ya wazi. Mjadala ukawa mgumu na kuahirisha Bunge mara kwa mara. Ndipo ilipoundwa Kamati ya Maridhiano kushughulikia suala hilo.Hata Kamati nayo ikagonga mwamba katika kuamua.
Leo asubuhi,Bunge la Katiba limepitisha Kanuni husika likiviacha vifungu vya 37 na 38 kama vilivyo.Ikatolewa taarifa kuwa Kamati ya Maridhiano itashughulikia suala hilo. Hapo ndipo CCM iliponyakua ushindi. Baada ya kesho kuchaguliwa kwa Mwenyekiti wa kudumu wa Bunge la Katiba na Bunge kuanza kazi yake ipasavyo,maamuzi mengi na mamlaka yatakuwa katika kiti cha Mwenyekiti.
Kamati ya Maridhiano italazimika kumwachia Mwenyekiti aamue kuhusu suala hilo kwa kutumia busara zake. Iko wazi kuwa Mwenyekiti wa Kudumu atatokea CCM.Hii ni kwa kuangalia idadi wa Wajumbe wenye mafungamano na CCM. Hivyobasi,kuna uwezekano mkubwa Mwenyekiti huyo kutoka CCM akasimamia msimamo wa chama chetu wa kura ya wazi wakati wa kupitisha Rasimu ya Katiba. Na hapo ndipo mchezo utakapoishia.....
Mzee Tupatupa wa Lumumba (sasa Dodoma)
Ulichoongea hapo ni utumbo kwa asilimia 100, how comes ulinganishe muswada wa kupinga ushoga alioupitisha Museveni na upitishwaji wa kifungu hadi kifungu, kwa kura ya wazi na siri!!CHADEMA na cuf wanataka siri ili ikifikia Yale mambo museveni ameyakataa wawezepiga kura bila kuffahamika hovyo kweli kura iwe ya wazii
Kwa takribani siku sita,kulikuwa na mjadala juu ya Vifungu vya 37 na 38 vya Kanuni za Kudumu za Bunge la Katiba.Vifungu husika vinahusu namna ya kufikia uamuzi Bungeni kwa njia ya kupiga kura pale ambapo kutakuwa na haja ya kufanya hivyo. Kura zitapigwa hata wakati wa kupitishwa kwa kifungu kwa kifungu cha Rasimu ya Pili ya Katiba itakayojadiliwa na kupitishwa na Bunge.
Mvutano wa wazi na mkali ulikuwa juu ya Kura ya Wazi au Kura ya Siri. CCM katika mjadala mzima ilishindwa kuwashawishi Wajumbe waiunge mkono katika kuipigia upatu kura ya wazi. Mjadala ukawa mgumu na kuahirisha Bunge mara kwa mara. Ndipo ilipoundwa Kamati ya Maridhiano kushughulikia suala hilo.Hata Kamati nayo ikagonga mwamba katika kuamua.
Leo asubuhi,Bunge la Katiba limepitisha Kanuni husika likiviacha vifungu vya 37 na 38 kama vilivyo.Ikatolewa taarifa kuwa Kamati ya Maridhiano itashughulikia suala hilo. Hapo ndipo CCM iliponyakua ushindi. Baada ya kesho kuchaguliwa kwa Mwenyekiti wa kudumu wa Bunge la Katiba na Bunge kuanza kazi yake ipasavyo,maamuzi mengi na mamlaka yatakuwa katika kiti cha Mwenyekiti.
Kamati ya Maridhiano italazimika kumwachia Mwenyekiti aamue kuhusu suala hilo kwa kutumia busara zake. Iko wazi kuwa Mwenyekiti wa Kudumu atatokea CCM.Hii ni kwa kuangalia idadi wa Wajumbe wenye mafungamano na CCM. Hivyobasi,kuna uwezekano mkubwa Mwenyekiti huyo kutoka CCM akasimamia msimamo wa chama chetu wa kura ya wazi wakati wa kupitisha Rasimu ya Katiba. Na hapo ndipo mchezo utakapoishia.....
Mzee Tupatupa wa Lumumba (sasa Dodoma)
Wapinzani wa nchi hii ni "legelege" na kwangu sitoshangaa hilo likitokea.

Kwa kweli mimi nilikuwa na nia ya kujiunga na CCM lakini nimehairisha maamuzi hayo baada ya kuona ubeberu unaoendelea kule Dodoma. Unapitisha kanuni za kuendesha bunge la katiba bila kupitisha kanuni ya jinsi ya kufanya maamuzi! Sijawahi kuona watu wenye akili za wendawazimu namna hiyo. Natamani jambo ili liingie kwenye kitabu cha kumbukumbu cha Dunia.
CHADEMA na cuf wanataka siri ili ikifikia Yale mambo museveni ameyakataa wawezepiga kura bila kuffahamika hovyo kweli kura iwe ya wazii
Halafu unaona wajumbe wanaotetea ukiwaangalia.vizuri nafsi zao zinawasuta