CCM wakimpitisha Chenge kuwania Uspika, nitaamini kuwa Watanzania hatuko serious

CCM wakimpitisha Chenge kuwania Uspika, nitaamini kuwa Watanzania hatuko serious

Kuna minong'ono kwenye jukwaa letu kuwa jina Mtemi Chenge ndilo liko likely kupendekezwa na chama. Kama hii itatokea kwa kweli nitaamini kuwa kama Taifa hatuko serious. Change ana tuhuma kadhaa huko nyuma za ubadhirifu na ufisadi. Ilifikia mpaka kwa kiburi najeuri kudai wazi wazi kuwa zile pesa zinazosemekana kuwa kwenye account yake huko visiwa vya Jersey kuwa ni visenti tu.

Ingawa hajawahi kuchunguzwa au kuwa convicted kwa tuhuma lakini kitendo cha yeye kusema hivyo ni dhahiri kuwa alikubaliana kuwa ana pesa huko nje lakini hakuja wazi clean kuwa alizipataje. Hakuwahi kutuonyesha kama Taifa yeye kama mtumishi wa serikali tena wakati ule wa mishahara njiwa, yeye alizipataje pesa zote hizo mpaka za kufungua account kwenye bank za Matajiri nje ya nchi!?

Kana kwmba haitoshi, huyu Mtemi Chenge alikuwa involvolved kwenye kesi ya Capable homicide ambapo alipata ajali usiku wa manane akitoka ulevini na mtu akafa. Ingawa alishinda kesi, bado wenye akili zetu hii kesi ilituachia maswali mengi. Ukichukulia kwamba huko nyuma yeye alishawahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa serikali kwa miaka 10. Hivyo kuna possibility kubwa kuwa inawezekana alitumia connections zake kujisafisha.

Binafsi simchukii Chenge kama watu wanavyoweza kutafsiri na inawezekana pia Chenge anatafuta nafasi ya kujisafisha lakini kama Taifa ni wakati wa kutumia akili mpya na kuachana na hawa walioshindwa kutufanyia lolote kama taifa walipopata nafasi na badala yake wamekuwa ni mifano mibaya kwa kizazi chetu. Kama Rais kawaondoa akina Kabudi na Lukuvi kwa kudai ni Wazee, why bring Chenge back wakati yeye ni mzee zaidi ya hao aliowaondoa kwenye Uwaziri.

Wanasilisha
CCM ni ile ile, watampitisha chenge na hakuna kitu mtawafanya
 
M

Mh Raisi anapotoshwa na baadhi ya watu kwa personal interest zao ngoja wamzunge waje wampindue subili amuweke chenge

Amemuweka Tulia Akson Mwansasu...

Nafasi ya unaibu tena inakuwa Wazi.
 
Amemuweka Tulia Akson Mwansasu...

Nafasi ya unaibu tena inakuwa Wazi.


Amekosea angemuweka mwanaume kijana kama akizingua wana mndugai , Masele alifaa hapo angeweka Mwanaume kuepusha malalamiko yanayoendelea kwenye serikali yake kwamba hili upate teuzi kwa asilimia kubwa ni lazima uwe mzanzibar, au Mwanamke au Msoga gang
 
Back
Top Bottom