YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Chadema wewe mumehongwa pesa na chenge kama Lowasa alivyowahonga vibaka nyieChenge hakupelekwa ulaya kwa pingu, hizo ni siasa zako chafu , waingereza ndo walituuzia rada kwa bei kubwa kuliko na ilipigundulika wakajikosha kwa kurudisha hela,,,
Chenge si fundi makanika wa rada , eti ajue rada fulani ndo inafaaa, hela zilizorudishwa hazikutoka account ya chenge
Usalama wa taifa na uingereza ndio wanajua vizuri wizi qa change alikuwa hawezi saini mkataba wowote wa mwekezaji wa kimataifa hadi apewe dola laki mbili
Suti zake zote zilikuwa zinaenda kufuliwa dry cleaner Ufaransa DHL ndio walikuwa wasafirishaji
Huyo fisadi kawahonga chadema kama Lowasa alivyowahonga
Ushahidi Upo DHL pia lifisadi hilo