Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Wanasiasa wanapenda kuchafuana.Chenge kama lowasa tu ni tajiri kabla hata hajafanya kazi serikslini..
Hata hicho cheo cha mwanasheria mkuu amekitumikia mda mfupi tu enzi za mkapa, na hakuna shutuma zilikua proved.
Tatizo bongo tuna mentality ya kijamaa ambayo inafanya tuwa regard watu wenye fedha zao kama mafisadi,,
Huo ni utindiga[emoji851][emoji851]
Nakumbuka aliyekuwa spika awamu ya 4 alimchafua kwa kitu cha ajabu sana eti ameonekana kwenye kamwra akimwagamwaga unga unga bungeni, Jambo ambalo haliiupaswa kuletwa public.
Nchi hii tumejijengea misingi ya chuki, uzandiki na fitina.
Mzee wa watu Chenge ana machungu makubwa sana moyoni.
Hata kauli ya vijicent ni ule unyantunzu wake ulimpoonza, alimaanisha kama ni pesa nje ya nchi mbona za kwake ambazo ni kidogo (vijisenti) ndivyo vinapigiwa kelele kuliko wenye mkwanja mrefu?