Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukushangae wewe unayeamini kwamba tupo serious,Hii serikali nzima ni ubatili mtupu,kuanzia wabunge wenyewe walivyopatika,madiwani,wenyeviti wa mitaa mpaka Raisi mwenyewe? Hao wote ni watuhumiwa wa dhuluma.Kuna minong'ono kwenye jukwaa letu kuwa jina Mtemi Chenge ndilo liko likely kupendekezwa na chama. Kama hii itatokea kwa kweli nitaamini kuwa kama Taifa hatuko serious. Change ana tuhuma kadhaa huko nyuma za ubadhirifu na ufisadi. Ilifikia mpaka kwa kiburi najeuri kudai wazi wazi kuwa zile pesa zinazosemekana kuwa kwenye account yake huko visiwa vya Jersey kuwa ni visenti tu.
Ingawa hajawahi kuchunguzwa au kuwa convicted kwa tuhuma lakini kitendo cha yeye kusema hivyo ni dhahiri kuwa alikubaliana kuwa ana pesa huko nje lakini hakuja wazi clean kuwa alizipataje. Hakuwahi kutuonyesha kama Taifa yeye kama mtumishi wa serikali tena wakati ule wa mishahara njiwa, yeye alizipataje pesa zote hizo mpaka za kufungua account kwenye bank za Matajiri nje ya nchi!?
Kana kwmba haitoshi, huyu Mtemi Chenge alikuwa involvolved kwenye kesi ya Capable homicide ambapo alipata ajali usiku wa manane akitoka ulevini na mtu akafa. Ingawa alishinda kesi, bado wenye akili zetu hii kesi ilituachia maswali mengi. Ukichukulia kwamba huko nyuma yeye alishawahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa serikali kwa miaka 10. Hivyo kuna possibility kubwa kuwa inawezekana alitumia connections zake kujisafisha.
Binafsi simchukii Chenge kama watu wanavyoweza kutafsiri na inawezekana pia Chenge anatafuta nafasi ya kujisafisha lakini kama Taifa ni wakati wa kutumia akili mpya na kuachana na hawa walioshindwa kutufanyia lolote kama taifa walipopata nafasi na badala yake wamekuwa ni mifano mibaya kwa kizazi chetu. Kama Rais kawaondoa akina Kabudi na Lukuvi kwa kudai ni Wazee, why bring Chenge back wakati yeye ni mzee zaidi ya hao aliowaondoa kwenye Uwaziri.
Wanasilisha
Kuna minong'ono kwenye jukwaa letu kuwa jina Mtemi Chenge ndilo liko likely kupendekezwa na chama. Kama hii itatokea kwa kweli nitaamini kuwa kama Taifa hatuko serious. Change ana tuhuma kadhaa huko nyuma za ubadhirifu na ufisadi. Ilifikia mpaka kwa kiburi najeuri kudai wazi wazi kuwa zile pesa zinazosemekana kuwa kwenye account yake huko visiwa vya Jersey kuwa ni visenti tu.

Binafsi simchukii Chenge kama watu wanavyoweza kutafsiri na inawezekana pia Chenge anatafuta nafasi ya kujisafisha lakini kama Taifa ni wakati wa kutumia akili mpya na kuachana na hawa walioshindwa kutufanyia lolote kama taifa walipopata nafasi na badala yake wamekuwa ni mifano mibaya kwa kizazi chetu. Kama Rais kawaondoa akina Kabudi na Lukuvi kwa kudai ni Wazee, why bring Chenge back wakati yeye ni mzee zaidi ya hao aliowaondoa kwe
Hago ni majungu ni chombo kipi kimemtia Change hatiani. Mambo engine tumieni akili spika hajawekwa na WA Tanzania Bali ni CCM labda ungesema kuwa CCM hawana akili. Kama una ushahidi nenda mahakamani. Acha majunguKuna minong'ono kwenye jukwaa letu kuwa jina Mtemi Chenge ndilo liko likely kupendekezwa na chama. Kama hii itatokea kwa kweli nitaamini kuwa kama Taifa hatuko serious. Change ana tuhuma kadhaa huko nyuma za ubadhirifu na ufisadi. Ilifikia mpaka kwa kiburi najeuri kudai wazi wazi kuwa zile pesa zinazosemekana kuwa kwenye account yake huko visiwa vya Jersey kuwa ni visenti tu.
Ingawa hajawahi kuchunguzwa au kuwa convicted kwa tuhuma lakini kitendo cha yeye kusema hivyo ni dhahiri kuwa alikubaliana kuwa ana pesa huko nje lakini hakuja wazi clean kuwa alizipataje. Hakuwahi kutuonyesha kama Taifa yeye kama mtumishi wa serikali tena wakati ule wa mishahara njiwa, yeye alizipataje pesa zote hizo mpaka za kufungua account kwenye bank za Matajiri nje ya nchi!?
Kana kwmba haitoshi, huyu Mtemi Chenge alikuwa involvolved kwenye kesi ya Capable homicide ambapo alipata ajali usiku wa manane akitoka ulevini na mtu akafa. Ingawa alishinda kesi, bado wenye akili zetu hii kesi ilituachia maswali mengi. Ukichukulia kwamba huko nyuma yeye alishawahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa serikali kwa miaka 10. Hivyo kuna possibility kubwa kuwa inawezekana alitumia connections zake kujisafisha.
Binafsi simchukii Chenge kama watu wanavyoweza kutafsiri na inawezekana pia Chenge anatafuta nafasi ya kujisafisha lakini kama Taifa ni wakati wa kutumia akili mpya na kuachana na hawa walioshindwa kutufanyia lolote kama taifa walipopata nafasi na badala yake wamekuwa ni mifano mibaya kwa kizazi chetu. Kama Rais kawaondoa akina Kabudi na Lukuvi kwa kudai ni Wazee, why bring Chenge back wakati yeye ni mzee zaidi ya hao aliowaondoa kwenye Uwaziri.
Wanasilisha
Huko ni kujaribu kuhalalisha wizi wa kalamu.Hago ni majungu ni chombo kipi kimemtia Change hatiani. Mambo engine tumieni akili spika hajawekwa na WA Tanzania Bali ni CCM labda ungesema kuwa CCM hawana akili. Kama una ushahidi nenda mahakamani. Acha majungu
Kumpa Usipika Tulia si bora apewe Mwijaku?Sasa kwenye yale matakataka yaliyochukua fomu wakimwacha Mtemi Chenge watampa nani? Tulia au Msama?
Sasa wewe unasema nini,wakati wabunge wote kwenye magurupu yao washaamua kumpa chengeKuna minong'ono kwenye jukwaa letu kuwa jina Mtemi Chenge ndilo liko likely kupendekezwa na chama. Kama hii itatokea kwa kweli nitaamini kuwa kama Taifa hatuko serious. Change ana tuhuma kadhaa huko nyuma za ubadhirifu na ufisadi. Ilifikia mpaka kwa kiburi najeuri kudai wazi wazi kuwa zile pesa zinazosemekana kuwa kwenye account yake huko visiwa vya Jersey kuwa ni visenti tu.
Ingawa hajawahi kuchunguzwa au kuwa convicted kwa tuhuma lakini kitendo cha yeye kusema hivyo ni dhahiri kuwa alikubaliana kuwa ana pesa huko nje lakini hakuja wazi clean kuwa alizipataje. Hakuwahi kutuonyesha kama Taifa yeye kama mtumishi wa serikali tena wakati ule wa mishahara njiwa, yeye alizipataje pesa zote hizo mpaka za kufungua account kwenye bank za Matajiri nje ya nchi!?
Kana kwmba haitoshi, huyu Mtemi Chenge alikuwa involvolved kwenye kesi ya Capable homicide ambapo alipata ajali usiku wa manane akitoka ulevini na mtu akafa. Ingawa alishinda kesi, bado wenye akili zetu hii kesi ilituachia maswali mengi. Ukichukulia kwamba huko nyuma yeye alishawahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa serikali kwa miaka 10. Hivyo kuna possibility kubwa kuwa inawezekana alitumia connections zake kujisafisha.
Binafsi simchukii Chenge kama watu wanavyoweza kutafsiri na inawezekana pia Chenge anatafuta nafasi ya kujisafisha lakini kama Taifa ni wakati wa kutumia akili mpya na kuachana na hawa walioshindwa kutufanyia lolote kama taifa walipopata nafasi na badala yake wamekuwa ni mifano mibaya kwa kizazi chetu. Kama Rais kawaondoa akina Kabudi na Lukuvi kwa kudai ni Wazee, why bring Chenge back wakati yeye ni mzee zaidi ya hao aliowaondoa kwenye Uwaziri.
Wanasilisha
Hatujawahi kuwa serious lakiniKuna minong'ono kwenye jukwaa letu kuwa jina Mtemi Chenge ndilo liko likely kupendekezwa na chama. Kama hii itatokea kwa kweli nitaamini kuwa kama Taifa hatuko serious. Change ana tuhuma kadhaa huko nyuma za ubadhirifu na ufisadi. Ilifikia mpaka kwa kiburi najeuri kudai wazi wazi kuwa zile pesa zinazosemekana kuwa kwenye account yake huko visiwa vya Jersey kuwa ni visenti tu.
Ingawa hajawahi kuchunguzwa au kuwa convicted kwa tuhuma lakini kitendo cha yeye kusema hivyo ni dhahiri kuwa alikubaliana kuwa ana pesa huko nje lakini hakuja wazi clean kuwa alizipataje. Hakuwahi kutuonyesha kama Taifa yeye kama mtumishi wa serikali tena wakati ule wa mishahara njiwa, yeye alizipataje pesa zote hizo mpaka za kufungua account kwenye bank za Matajiri nje ya nchi!?
Kana kwmba haitoshi, huyu Mtemi Chenge alikuwa involvolved kwenye kesi ya Capable homicide ambapo alipata ajali usiku wa manane akitoka ulevini na mtu akafa. Ingawa alishinda kesi, bado wenye akili zetu hii kesi ilituachia maswali mengi. Ukichukulia kwamba huko nyuma yeye alishawahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa serikali kwa miaka 10. Hivyo kuna possibility kubwa kuwa inawezekana alitumia connections zake kujisafisha.
Binafsi simchukii Chenge kama watu wanavyoweza kutafsiri na inawezekana pia Chenge anatafuta nafasi ya kujisafisha lakini kama Taifa ni wakati wa kutumia akili mpya na kuachana na hawa walioshindwa kutufanyia lolote kama taifa walipopata nafasi na badala yake wamekuwa ni mifano mibaya kwa kizazi chetu. Kama Rais kawaondoa akina Kabudi na Lukuvi kwa kudai ni Wazee, why bring Chenge back wakati yeye ni mzee zaidi ya hao aliowaondoa kwenye Uwaziri.
Wanasilisha
Iyo mashine, na kichwa Kama hupiga pesa ila KWa kutumia akili kubwa, binafsi SIO CCM , na siwezi kuwa CCM maisha yangu tote ya hapa Duniani ila anafaaKuna minong'ono kwenye jukwaa letu kuwa jina Mtemi Chenge ndilo liko likely kupendekezwa na chama. Kama hii itatokea kwa kweli nitaamini kuwa kama Taifa hatuko serious. Change ana tuhuma kadhaa huko nyuma za ubadhirifu na ufisadi. Ilifikia mpaka kwa kiburi najeuri kudai wazi wazi kuwa zile pesa zinazosemekana kuwa kwenye account yake huko visiwa vya Jersey kuwa ni visenti tu.
Ingawa hajawahi kuchunguzwa au kuwa convicted kwa tuhuma lakini kitendo cha yeye kusema hivyo ni dhahiri kuwa alikubaliana kuwa ana pesa huko nje lakini hakuja wazi clean kuwa alizipataje. Hakuwahi kutuonyesha kama Taifa yeye kama mtumishi wa serikali tena wakati ule wa mishahara njiwa, yeye alizipataje pesa zote hizo mpaka za kufungua account kwenye bank za Matajiri nje ya nchi!?
Kana kwmba haitoshi, huyu Mtemi Chenge alikuwa involvolved kwenye kesi ya Capable homicide ambapo alipata ajali usiku wa manane akitoka ulevini na mtu akafa. Ingawa alishinda kesi, bado wenye akili zetu hii kesi ilituachia maswali mengi. Ukichukulia kwamba huko nyuma yeye alishawahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa serikali kwa miaka 10. Hivyo kuna possibility kubwa kuwa inawezekana alitumia connections zake kujisafisha.
Binafsi simchukii Chenge kama watu wanavyoweza kutafsiri na inawezekana pia Chenge anatafuta nafasi ya kujisafisha lakini kama Taifa ni wakati wa kutumia akili mpya na kuachana na hawa walioshindwa kutufanyia lolote kama taifa walipopata nafasi na badala yake wamekuwa ni mifano mibaya kwa kizazi chetu. Kama Rais kawaondoa akina Kabudi na Lukuvi kwa kudai ni Wazee, why bring Chenge back wakati yeye ni mzee zaidi ya hao aliowaondoa kwenye Uwaziri.
Wanasilisha
Kwani ni kosa kuwa na vijisentiHuko ni kujaribu kuhalalisha wizi wa kalamu.
Kitendo cha kukubali kuwa na Visenti tari ni ushahidi tosha ..... hayo ya kuwa convicted mahakamani ni ya system . Kama wote ni ukoo wa PANYA hapo unategemeea nini....!!?
Kuna minong'ono kwenye jukwaa letu kuwa jina Mtemi Chenge ndilo liko likely kupendekezwa na chama. Kama hii itatokea kwa kweli nitaamini kuwa kama Taifa hatuko serious. Change ana tuhuma kadhaa huko nyuma za ubadhirifu na ufisadi. Ilifikia mpaka kwa kiburi najeuri kudai wazi wazi kuwa zile pesa zinazosemekana kuwa kwenye account yake huko visiwa vya Jersey kuwa ni visenti tu.
Ingawa hajawahi kuchunguzwa au kuwa convicted kwa tuhuma lakini kitendo cha yeye kusema hivyo ni dhahiri kuwa alikubaliana kuwa ana pesa huko nje lakini hakuja wazi clean kuwa alizipataje. Hakuwahi kutuonyesha kama Taifa yeye kama mtumishi wa serikali tena wakati ule wa mishahara njiwa, yeye alizipataje pesa zote hizo mpaka za kufungua account kwenye bank za Matajiri nje ya nchi!?
Kana kwmba haitoshi, huyu Mtemi Chenge alikuwa involvolved kwenye kesi ya Capable homicide ambapo alipata ajali usiku wa manane akitoka ulevini na mtu akafa. Ingawa alishinda kesi, bado wenye akili zetu hii kesi ilituachia maswali mengi. Ukichukulia kwamba huko nyuma yeye alishawahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa serikali kwa miaka 10. Hivyo kuna possibility kubwa kuwa inawezekana alitumia connections zake kujisafisha.
Binafsi simchukii Chenge kama watu wanavyoweza kutafsiri na inawezekana pia Chenge anatafuta nafasi ya kujisafisha lakini kama Taifa ni wakati wa kutumia akili mpya na kuachana na hawa walioshindwa kutufanyia lolote kama taifa walipopata nafasi na badala yake wamekuwa ni mifano mibaya kwa kizazi chetu. Kama Rais kawaondoa akina Kabudi na Lukuvi kwa kudai ni Wazee, why bring Chenge back wakati yeye ni mzee zaidi ya hao aliowaondoa kwenye Uwaziri.
Wanasilisha
Hata mkuu kashatoa angalizo: Kuleni kwa akili siyo mnakula mpaka mnavimbiwa.Iyo mashine, na kichwa Kama hupiga pesa ila KWa kutumia akili kubwa, binafsi SIO CCM , na siwezi kuwa CCM maisha yangu tote ya hapa Duniani ila anafaa
Huyu joka la makengeza aliua kwa kuwagonga na gari wanawake Wawili na siyo mtu moja., na hiyo Gari haikua na insurance. Alipigwa faini ya laki 8 na alijitolea kuwazika marehemu nafikiri mwanzaKuna minong'ono kwenye jukwaa letu kuwa jina Mtemi Chenge ndilo liko likely kupendekezwa na chama. Kama hii itatokea kwa kweli nitaamini kuwa kama Taifa hatuko serious. Change ana tuhuma kadhaa huko nyuma za ubadhirifu na ufisadi. Ilifikia mpaka kwa kiburi najeuri kudai wazi wazi kuwa zile pesa zinazosemekana kuwa kwenye account yake huko visiwa vya Jersey kuwa ni visenti tu.
Ingawa hajawahi kuchunguzwa au kuwa convicted kwa tuhuma lakini kitendo cha yeye kusema hivyo ni dhahiri kuwa alikubaliana kuwa ana pesa huko nje lakini hakuja wazi clean kuwa alizipataje. Hakuwahi kutuonyesha kama Taifa yeye kama mtumishi wa serikali tena wakati ule wa mishahara njiwa, yeye alizipataje pesa zote hizo mpaka za kufungua account kwenye bank za Matajiri nje ya nchi!?
Kana kwmba haitoshi, huyu Mtemi Chenge alikuwa involvolved kwenye kesi ya Capable homicide ambapo alipata ajali usiku wa manane akitoka ulevini na mtu akafa. Ingawa alishinda kesi, bado wenye akili zetu hii kesi ilituachia maswali mengi. Ukichukulia kwamba huko nyuma yeye alishawahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa serikali kwa miaka 10. Hivyo kuna possibility kubwa kuwa inawezekana alitumia connections zake kujisafisha.
Binafsi simchukii Chenge kama watu wanavyoweza kutafsiri na inawezekana pia Chenge anatafuta nafasi ya kujisafisha lakini kama Taifa ni wakati wa kutumia akili mpya na kuachana na hawa walioshindwa kutufanyia lolote kama taifa walipopata nafasi na badala yake wamekuwa ni mifano mibaya kwa kizazi chetu. Kama Rais kawaondoa akina Kabudi na Lukuvi kwa kudai ni Wazee, why bring Chenge back wakati yeye ni mzee zaidi ya hao aliowaondoa kwenye Uwaziri.
Wanasilisha
Change mwizi mkubwa uingereza alipelekwa na pingu mikononi kwa mipesa ya cha juu aliyoenda kuficha nchini kwaoHata mimi nashangaa, mtu ana matuhuma lukuki za ufisadi lakini bado watu wanampendekeza. Tz is going down b'coz of ccm
Chenge hana shida zile zilikua siasa chafu tu kama alizofanyiwa Edward lowasa na kina dr slaa..Kuna minong'ono kwenye jukwaa letu kuwa jina Mtemi Chenge ndilo liko likely kupendekezwa na chama. Kama hii itatokea kwa kweli nitaamini kuwa kama Taifa hatuko serious. Change ana tuhuma kadhaa huko nyuma za ubadhirifu na ufisadi. Ilifikia mpaka kwa kiburi najeuri kudai wazi wazi kuwa zile pesa zinazosemekana kuwa kwenye account yake huko visiwa vya Jersey kuwa ni visenti tu.
Ingawa hajawahi kuchunguzwa au kuwa convicted kwa tuhuma lakini kitendo cha yeye kusema hivyo ni dhahiri kuwa alikubaliana kuwa ana pesa huko nje lakini hakuja wazi clean kuwa alizipataje. Hakuwahi kutuonyesha kama Taifa yeye kama mtumishi wa serikali tena wakati ule wa mishahara njiwa, yeye alizipataje pesa zote hizo mpaka za kufungua account kwenye bank za Matajiri nje ya nchi!?
Kana kwmba haitoshi, huyu Mtemi Chenge alikuwa involvolved kwenye kesi ya Capable homicide ambapo alipata ajali usiku wa manane akitoka ulevini na mtu akafa. Ingawa alishinda kesi, bado wenye akili zetu hii kesi ilituachia maswali mengi. Ukichukulia kwamba huko nyuma yeye alishawahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa serikali kwa miaka 10. Hivyo kuna possibility kubwa kuwa inawezekana alitumia connections zake kujisafisha.
Binafsi simchukii Chenge kama watu wanavyoweza kutafsiri na inawezekana pia Chenge anatafuta nafasi ya kujisafisha lakini kama Taifa ni wakati wa kutumia akili mpya na kuachana na hawa walioshindwa kutufanyia lolote kama taifa walipopata nafasi na badala yake wamekuwa ni mifano mibaya kwa kizazi chetu. Kama Rais kawaondoa akina Kabudi na Lukuvi kwa kudai ni Wazee, why bring Chenge back wakati yeye ni mzee zaidi ya hao aliowaondoa kwenye Uwaziri.
Wanasilisha
Kwa kifupi kati ya waliogombea hakuna anayefaa hata mmoja.Sasa kwenye yale matakataka yaliyochukua fomu wakimwacha Mtemi Chenge watampa nani? Tulia au Msama?
Anamaanisha ulikua brainwashed na shutuma fake za chadema enzi zile,,Kwa maana hiyo unataka kutuambia kuwa Chadema ndiyo yard stick ya siasa za Tanzania au unamaanisha nini ...!!?
Chenge kama lowasa tu ni tajiri kabla hata hajafanya kazi serikslini..Huko ni kujaribu kuhalalisha wizi wa kalamu.
Kitendo cha kukubali kuwa na Visenti tari ni ushahidi tosha ..... hayo ya kuwa convicted mahakamani ni ya system . Kama wote ni ukoo wa PANYA hapo unategemeea nini....!!?
I second this... [emoji3571][emoji3571][emoji3571]Wewe ndio haupo serious. Kumbe MTU mwenyewe unae mnyanyapaa ana tuhuma Tu. Tuhuma ambazo hazija thibitishwa na mahakama yoyote. Please be serious mkuu just for a second.
Hata wewe huko mtaani kwenu unaweza kuwa una tuhuma.
Nyerere, Sokoine,Mandela, YESU, Mtume, Ibrahim, Daudi,Mussa etc walikuwa Na tuhuma sembuse Chenge..
Na asie Na tuhuma awe WA Kwanza kumrushia jiwe Mh. Chenge