Uchaguzi 2020 CCM wako tayari kwa lolote, hawako tayari kukikabidhi nchi kwa Upinzani. Mnalijua hilo?

Acha kujifariji mpuuzi wewe, Nyamongo walikimbia yale mabomu ya mapolisi? Safari ndio mtajua hamjui.
 
Wataachia tu Mkuu hawana namna hakuna kitu kitakachoshinda nguvu ya umma.....
Nguvu ya umma ipi kwa mfano?. Hii ya genge la wahuni wa saccos ya Mbowe.?. Ninyi kwanza hamwaminiani mtatawanyika nyote ninyi mkifinywa kidogo tu.
Kama kweli mpo na nguvu ya umma, mbona juzi kwenye adhabu ya tume mliufyata mkia na kutepeta kuanzia mwenyekiti wenu marienge.
 
Mkuu jipangeni kuachia nchi.....
 
siku Lissu anatagazwa mshindi tukiwa tunasheherekea ushindi tutayauwa kwa kuyakata shingo ma CCM si chini ya buku hivi, najua yatakayo baki yatatimua mBio mithili ya farasi adi ukimbizini………………….hili halina ubishi kabisaaa ni swala la muda tuu
 
Kwani hii nchi ni mali ya Ccm??? Hii nchi ni mali ya watanzania na wakiamua lolote lile hakuna yeyote yule atakayeweza kufanya lolote lile??? Yaani wapuuzi wa Ccm mmekaa mnajimilikisha hii nchi kama yenu vile alafu mnasema wazi wazi. Mwaka huu ndo mtajua kuwa hamjui
 
Hakuna chama, narudia tena hakuna chama cha kuishinda ccm. Hivyo kukabidhi nchi kwa mabwabwa wenzetu,pamoja na kina Amsterdam watanzania hawako tayari. Njooni na nguvu ya uma, visu, vijiko, misumeno vyote vitatulizwa. Chadema hii ya vibaraka na wakala wa mabeberu ni nyepesi kama unyoya.
 
Huo utakuwa mwisho wa hilo genge la wahuni wa saccos ya Mbowe. Ni suala la muda tu. Amani ya nchi hii, inalindwa kama mboni ya jicho na watanzania wazalendo.
 
Mwana CCM wenyewe hawaitaki CCM
 
Walipofanya hayo mabavu mmechukua hatua gani ?

Mtaacha kulialia hadi lini?
 
Wameahaona nyie marofa. Mnafanyiwa rough zote mnakimbilia nyuma ya keyboard
 
The point is that, Meko fool lacks the mental capacity to serve this country as a local government chairman, sorry I mean a president.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi vyama vya upinzani (CHADEMA kwa bara na ACT kwa Zanzibar), wanasubiri maajabu gani kwenye wao kupenya kwenye uchaguzi huu? Tetesi za Zanzibar tu kwa mfano mpaka sasa -ACT hawana chao! Mara tunaambiwa simu haziruhusiwi vituo vya kupigia kura. Wale mawakala wa vyama watafanyaje kazi? Na je usalama wao ukoje? Rushwa nayo itawaacha salama?

Kwenye huo wizi unaosemwa ambao utafanywa/ unafanywa tayari, mbona hatuoni strategies zozote za hivi vyama kwenye kukabili haya? Zaidi ya kuhoji kwa mabarua ambayo wala hayajibiwi hivi vyama vimejipangaje kwenye wizi huo wa kura? Najua hawawezi kuweka wazi kabisa strategies ila walau watutoe hofu. Bila ya kuwahakikishia wananchi eneo hili, aisee watu hawatatoka kwenda kupiga kura. Mpaka sasa hali ya Zanzibar tu imeanza kutukatisha tamaa.
 
Wewe mwananchi upo tayari kuruka siku Mbowe akisema sasa tunaingia road kudai haki yetu na yeyote hasiyeshiriki maandamano atandikwe bakora ?
Umeshaagana na nyonga ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao si wachungaji wa kondoo bali wanachunga nguruwe pori,na kama ni mashehe basi ni mashehe ubwabwa
 
Peter Mutharika hakutaka kuachia kwa hiyari, akalazimishwa kuachia

Ghadafi hivo hivo

Compaore pia

Mugabe

Mobutu


Kifupi ni kwamba Madikteta hulazimishwa kuachia madaraka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…