CCM "wakome" kutumia Magari ya Wafadhili kwenye Mikutano Yao!

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Jana nilipiga Maeneo ya Lusahunga, Nyakahura na Nyakanazi kwenye kutafuta mkate wa Kila SIKU.

Kwa bahati mbaya sana nimekutana na "Ujinga" wa Karne wa CCM kutumia Magari yalitoyotelewa Kwa msaada Kwa miradi mahususi (DFPA) kwenye mkutano wao.

This is unacceptable na ujinga wa hali ya juu, gari Mojawapo ilikua imefutwa maandishi ila wakasahau kubadilisha namba.

Natoa rai wahusika wachukuliwe hatua Ili kuandoa dhana potofu Kwa Wafadhili na Kwa Watanzania Kwa ujumla.
Your browser is not able to display this video.
 
Hata Chongolo anatumia ndege za ATCL bila kulipa chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…