CCM "wakome" kutumia Magari ya Wafadhili kwenye Mikutano Yao!

CCM "wakome" kutumia Magari ya Wafadhili kwenye Mikutano Yao!

Jana nilipiga Maeneo ya Lusahunga, Nyakahura na Nyakanazi kwenye kutafuta mkate wa Kila SIKU.

Kwa bahati mbaya sana nimekutana na "Ujinga" wa Karne wa CCM kutumia Magari yalitoyotelewa Kwa msaada Kwa miradi mahususi (DFPA) kwenye mkutano wao.

This is unacceptable na ujinga wa hali ya juu, gari Mojawapo ilikua imefutwa maandishi ila wakasahau kubadilisha namba.

Natoa rai wahusika wachukuliwe hatua Ili kuandoa dhana potofu Kwa Wafadhili na Kwa Watanzania Kwa ujumla. View attachment 2770483View attachment 2770483
View attachment 2770486
KUNA BALOZI WA CHINA ALIWAHI KUVALISHWA TSHIRT NA KOFIA YA CCM
 
KUNA BALOZI WA CHINA ALIWAHI KUVALISHWA TSHIRT NA KOFIA YA CCM
20230801_155642.jpg
 
Back
Top Bottom