CCM walishindwaje kumtibia Jecha nje ya nchi licha ya kuwabeba kwenye Uchaguzi Mkuu 2015?

Mwanadiplomasia Mahiri

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
491
Reaction score
1,907
Nimekaa nikatafakari inakuaje mwandamizi kama Jecha Salum Jecha ndani ya CCM asipelekwe kutibiwa nje ya nchi licha ya mchango wake uliotukuka katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 kule Visiwani.

Ikumbukwe, Jecha ndio aliyekuwa mwenyekiti wa tume visiwani humo na alifuta uchaguzi baada ya kuona hali ya sintofahamu.

Sasa CCM walishindwaje kumpeleka Jecha hapo Apollo India akapate matibabu ya daraja la juu? Ama kweli tenda wema nenda zako.

Pia soma - TANZIA - Jecha Salim Jecha afariki dunia akipatiwa matibabu hospitali ya Jeshi Lugalo
 
Kama wanasiasa wanavyodai ukiwa na mapenzi hayo, utafute kuzikwa nae.
 
Nimekaa nikatafakari inakuaje mwandamizi kama Jecha Salum Jecha ndani ya CCM asipelekwe kutibiwa nje ya nchi licha ya mchango wake uliotukuka katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 kule Visiwani.

Ikumbukwe, Jecha ndio aliyekuwa mwenyekiti wa tume visiwani humo na alifuta uchaguzi baada ya kuona hali ya sintofahamu.

Sasa CCM walishindwaje kumpeleka Jecha hapo Apollo India akapate matibabu ya daraja la juu? Ama kweli tenda wema nenda zako
Kwani walitangaza lini anaumwa humu jamvin au kwenye vyombo vya HABARI!!?

Ameenda kimya kimya ghafula tu Tanzia!!

Tuyaache hayo ni ya Mungu na mja wake!!
 
Nimekaa nikatafakari inakuaje mwandamizi kama Jecha Salum Jecha ndani ya CCM asipelekwe kutibiwa nje ya nchi licha ya mchango wake uliotukuka katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 kule Visiwani.

Ikumbukwe, Jecha ndio aliyekuwa mwenyekiti wa tume visiwani humo na alifuta uchaguzi baada ya kuona hali ya sintofahamu.

Sasa CCM walishindwaje kumpeleka Jecha hapo Apollo India akapate matibabu ya daraja la juu? Ama kweli tenda wema nenda zako
Kwani alitibiwa ndani ya Zanzibar?
 
Ni pale ambapo Boss anaona ni sawa anaowalipa mshahara kwamba wanastahili huduma bora kuliko yeye....

Kama Hospitali za Bongo hazifai kwanini wote tusiende India ?
 
Na wa India waje huku???😀😛😛
 
Nimekaa nikatafakari inakuaje mwandamizi kama Jecha Salum Jecha ndani ya CCM asipelekwe kutibiwa nje ya nchi licha ya mchango wake uliotukuka katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 kule Visiwani.

Ikumbukwe, Jecha ndio aliyekuwa mwenyekiti wa tume visiwani humo na alifuta uchaguzi baada ya kuona hali ya sintofahamu.

Sasa CCM walishindwaje kumpeleka Jecha hapo Apollo India akapate matibabu ya daraja la juu? Ama kweli tenda wema nenda zako
Huyu mzee alikuwa kajificha Morogoro tangu afanye ujinga kule Zenji. Ccm wameshindwaje kuimuiba asife?
 
"Tissue" za maliwato hutumika mara moja tu, baada ya hapo kwisha kazi yake. Alikubali kutumika, akatumika, akajidharaulisha, na hatimaye akabaki peke yake kachanganyikiwa katika kitanda cha mauti.
Nimekaa nikatafakari inakuaje mwandamizi kama Jecha Salum Jecha ndani ya CCM asipelekwe kutibiwa nje ya nchi licha ya mchango wake uliotukuka katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 kule Visiwani.

Ikumbukwe, Jecha ndio aliyekuwa mwenyekiti wa tume visiwani humo na alifuta uchaguzi baada ya kuona hali ya sintofahamu.

Sasa CCM walishindwaje kumpeleka Jecha hapo Apollo India akapate matibabu ya daraja la juu? Ama kweli tenda wema nenda zako
Devilish principles.
1. Used
2. Misused
3. Abused
4. Confused.

He wanted some, he got some.
 
Huyu mzee kuna cheo alikitaka (kumbuka alichukua fomu ya urais 2020) alikataliwa ndipo akawaambia kindakindaki kuwa anahamia chama cha zambarau kwa AYATOLLAH KHAMMENEI ndipo ccm wakakumbuka jamaa alivyopindua meza 2015 kule zenji moja kwa moja wakaona jamaa atawapindua 2025 na hata hivyo zipo taarifa kuwa jamaa atafufuka wakati wowote kuanzia sasa kwani amefuta kifo kisimfatefate kama alivyofuta matokeo 2015
 
Nimekaa nikatafakari inakuaje mwandamizi kama Jecha Salum Jecha ndani ya CCM asipelekwe kutibiwa nje ya nchi licha ya mchango wake uliotukuka katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 kule Visiwani.

Ikumbukwe, Jecha ndio aliyekuwa mwenyekiti wa tume visiwani humo na alifuta uchaguzi baada ya kuona hali ya sintofahamu.

Sasa CCM walishindwaje kumpeleka Jecha hapo Apollo India akapate matibabu ya daraja la juu? Ama kweli tenda wema nenda zako
Ccm ina yenyewe,hao wengine wanatumika tu kama kula Big G,ikiisha utamu,unatema.
 
Yawezekana wamemuondoa wao kimya kimya asije pasua jipu kama balozi Karume.
 
Nimekaa nikatafakari inakuaje mwandamizi kama Jecha Salum Jecha ndani ya CCM asipelekwe kutibiwa nje ya nchi licha ya mchango wake uliotukuka katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 kule Visiwani.

Ikumbukwe, Jecha ndio aliyekuwa mwenyekiti wa tume visiwani humo na alifuta uchaguzi baada ya kuona hali ya sintofahamu.

Sasa CCM walishindwaje kumpeleka Jecha hapo Apollo India akapate matibabu ya daraja la juu? Ama kweli tenda wema nenda zako
Alitumika wakamalizana aye hawamuhitaji Tena🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom