CCM walishindwaje kumtibia Jecha nje ya nchi licha ya kuwabeba kwenye Uchaguzi Mkuu 2015?

Nimekaa nikatafakari inakuaje mwandamizi kama Jecha Salum Jecha ndani ya CCM asipelekwe kutibiwa nje ya nchi licha ya mchango wake uliotukuka katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 kule Visiwani.

Ikumbukwe, Jecha ndio aliyekuwa mwenyekiti wa tume visiwani humo na alifuta uchaguzi baada ya kuona hali ya sintofahamu.

Sasa CCM walishindwaje kumpeleka Jecha hapo Apollo India akapate matibabu ya daraja la juu? Ama kweli tenda wema nenda zako
Mbwaa koko huwa athaminiki,laana hukupata hapahapa duniani
 
Nimekaa nikatafakari inakuaje mwandamizi kama Jecha Salum Jecha ndani ya CCM asipelekwe kutibiwa nje ya nchi licha ya mchango wake uliotukuka katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 kule Visiwani.

Ikumbukwe, Jecha ndio aliyekuwa mwenyekiti wa tume visiwani humo na alifuta uchaguzi baada ya kuona hali ya sintofahamu.

Sasa CCM walishindwaje kumpeleka Jecha hapo Apollo India akapate matibabu ya daraja la juu? Ama kweli tenda wema nenda zako
Huko nje ya nchi,pia watu wanafariki.
 
Wanaopelekwa India hawafi? Au naye ni mwema?
 
Hakjwabeba , alitumia mamlaka aliyonayo kikatiba..
Jecha hata ukimtazama unaona kuna mamlaka yenye nguvu ilimuelemea
 
Hata mimi Ningekuwa Jecha ningeufuta tu...

Mamlaka ya serikali yetu ninkubwa sana.

Rais kamng'oa Spika sembuse Jecha
 
Nimekaa nikatafakari inakuaje mwandamizi kama Jecha Salum Jecha ndani ya CCM asipelekwe kutibiwa nje ya nchi licha ya mchango wake uliotukuka katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 kule Visiwani.

Ikumbukwe, Jecha ndio aliyekuwa mwenyekiti wa tume visiwani humo na alifuta uchaguzi baada ya kuona hali ya sintofahamu.

Sasa CCM walishindwaje kumpeleka Jecha hapo Apollo India akapate matibabu ya daraja la juu? Ama kweli tenda wema nenda zako
Shetani hana rafiki
 
Dawa ndiyo hiyohiyo ili na wengine wajifunze.
 
Nimekaa nikatafakari inakuaje mwandamizi kama Jecha Salum Jecha ndani ya CCM asipelekwe kutibiwa nje ya nchi licha ya mchango wake uliotukuka katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 kule Visiwani.

Ikumbukwe, Jecha ndio aliyekuwa mwenyekiti wa tume visiwani humo na alifuta uchaguzi baada ya kuona hali ya sintofahamu.

Sasa CCM walishindwaje kumpeleka Jecha hapo Apollo India akapate matibabu ya daraja la juu? Ama kweli tenda wema nenda zako
Kutibiwa nje siyo tatizo; tatizo ni huduma za kitabibu anazopata. Hata Magufuli alitibiwa Mzena mpaka umauti unamkuta. Juzikati tu Sudan imesema hospitali nzuri ya kufundishia madaktari wao Muhimbili.
 
Ulidanganywa. Alifia Nairobi au njiani kwenda India.
 
Nimekaa nikatafakari inakuaje mwandamizi kama Jecha Salum Jecha ndani ya CCM asipelekwe kutibiwa nje ya nchi licha ya mchango wake uliotukuka katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 kule Visiwani.

Ikumbukwe, Jecha ndio aliyekuwa mwenyekiti wa tume visiwani humo na alifuta uchaguzi baada ya kuona hali ya sintofahamu.

Sasa CCM walishindwaje kumpeleka Jecha hapo Apollo India akapate matibabu ya daraja la juu? Ama kweli tenda wema nenda zako
Hakupelekwa Pombe nje ya nchi itakuwa jecha?

Hapelekwi mtu kwa watu kupenda tu, anatizamwa kama ana uwezekano wa kupona akipelekwa nje. Madaktari ndiyo wanaamua.

Walishaona hakuna sababu ya kupelekwa nje.
 
Back
Top Bottom