Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 491
- 1,907
Labda waliona watapata shida tu kusafirisha mwiliNimekaa nikatafakari inakuaje mwandamizi kama Jecha Salum Jecha ndani ya CCM asipelekwe kutibiwa nje ya nchi licha ya mchango wake uliotukuka katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 kule Visiwani....
Kwani walitangaza lini anaumwa humu jamvin au kwenye vyombo vya HABARI!!?Nimekaa nikatafakari inakuaje mwandamizi kama Jecha Salum Jecha ndani ya CCM asipelekwe kutibiwa nje ya nchi licha ya mchango wake uliotukuka katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 kule Visiwani.
Ikumbukwe, Jecha ndio aliyekuwa mwenyekiti wa tume visiwani humo na alifuta uchaguzi baada ya kuona hali ya sintofahamu.
Sasa CCM walishindwaje kumpeleka Jecha hapo Apollo India akapate matibabu ya daraja la juu? Ama kweli tenda wema nenda zako
Kwani alitibiwa ndani ya Zanzibar?Nimekaa nikatafakari inakuaje mwandamizi kama Jecha Salum Jecha ndani ya CCM asipelekwe kutibiwa nje ya nchi licha ya mchango wake uliotukuka katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 kule Visiwani.
Ikumbukwe, Jecha ndio aliyekuwa mwenyekiti wa tume visiwani humo na alifuta uchaguzi baada ya kuona hali ya sintofahamu.
Sasa CCM walishindwaje kumpeleka Jecha hapo Apollo India akapate matibabu ya daraja la juu? Ama kweli tenda wema nenda zako
Alitibiwa GiningiKwani alitibiwa ndani ya Zanzibar?
Na wa India waje huku???😀😛😛Ni pale ambapo Boss anaona ni sawa anaowalipa mshahara kwamba wanastahili huduma bora kuliko yeye....
Kama Hospitali za Bongo hazifai kwanini wote tusiende India ?
Huyu mzee alikuwa kajificha Morogoro tangu afanye ujinga kule Zenji. Ccm wameshindwaje kuimuiba asife?Nimekaa nikatafakari inakuaje mwandamizi kama Jecha Salum Jecha ndani ya CCM asipelekwe kutibiwa nje ya nchi licha ya mchango wake uliotukuka katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 kule Visiwani.
Ikumbukwe, Jecha ndio aliyekuwa mwenyekiti wa tume visiwani humo na alifuta uchaguzi baada ya kuona hali ya sintofahamu.
Sasa CCM walishindwaje kumpeleka Jecha hapo Apollo India akapate matibabu ya daraja la juu? Ama kweli tenda wema nenda zako
Devilish principles.Nimekaa nikatafakari inakuaje mwandamizi kama Jecha Salum Jecha ndani ya CCM asipelekwe kutibiwa nje ya nchi licha ya mchango wake uliotukuka katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 kule Visiwani.
Ikumbukwe, Jecha ndio aliyekuwa mwenyekiti wa tume visiwani humo na alifuta uchaguzi baada ya kuona hali ya sintofahamu.
Sasa CCM walishindwaje kumpeleka Jecha hapo Apollo India akapate matibabu ya daraja la juu? Ama kweli tenda wema nenda zako
Amefia TanganyikaHata hivi amefia nje ya nchi yake
Kwa mabwana zake aliokuwa akiwatumikiaAmefia Tanganyika
Ccm ina yenyewe,hao wengine wanatumika tu kama kula Big G,ikiisha utamu,unatema.Nimekaa nikatafakari inakuaje mwandamizi kama Jecha Salum Jecha ndani ya CCM asipelekwe kutibiwa nje ya nchi licha ya mchango wake uliotukuka katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 kule Visiwani.
Ikumbukwe, Jecha ndio aliyekuwa mwenyekiti wa tume visiwani humo na alifuta uchaguzi baada ya kuona hali ya sintofahamu.
Sasa CCM walishindwaje kumpeleka Jecha hapo Apollo India akapate matibabu ya daraja la juu? Ama kweli tenda wema nenda zako
Alitumika wakamalizana aye hawamuhitaji Tena🤣🤣🤣Nimekaa nikatafakari inakuaje mwandamizi kama Jecha Salum Jecha ndani ya CCM asipelekwe kutibiwa nje ya nchi licha ya mchango wake uliotukuka katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 kule Visiwani.