CCM walishindwaje kumtibia Jecha nje ya nchi licha ya kuwabeba kwenye Uchaguzi Mkuu 2015?

Mbwaa koko huwa athaminiki,laana hukupata hapahapa duniani
 
Huko nje ya nchi,pia watu wanafariki.
 
Wanaopelekwa India hawafi? Au naye ni mwema?
 
Hakjwabeba , alitumia mamlaka aliyonayo kikatiba..
Jecha hata ukimtazama unaona kuna mamlaka yenye nguvu ilimuelemea
 
Hata mimi Ningekuwa Jecha ningeufuta tu...

Mamlaka ya serikali yetu ninkubwa sana.

Rais kamng'oa Spika sembuse Jecha
 
Shetani hana rafiki
 
Dawa ndiyo hiyohiyo ili na wengine wajifunze.
 
Kutibiwa nje siyo tatizo; tatizo ni huduma za kitabibu anazopata. Hata Magufuli alitibiwa Mzena mpaka umauti unamkuta. Juzikati tu Sudan imesema hospitali nzuri ya kufundishia madaktari wao Muhimbili.
 
Ulidanganywa. Alifia Nairobi au njiani kwenda India.
 
Hakupelekwa Pombe nje ya nchi itakuwa jecha?

Hapelekwi mtu kwa watu kupenda tu, anatizamwa kama ana uwezekano wa kupona akipelekwa nje. Madaktari ndiyo wanaamua.

Walishaona hakuna sababu ya kupelekwa nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…