CCM walishindwaje kumtibia Jecha nje ya nchi licha ya kuwabeba kwenye Uchaguzi Mkuu 2015?

Never make a deal with a DEVIL!
 
Kwani wanaolelekwa nje ya Nchi hawafi?
 
Angechelewa kuripoti alikoelekea
 
Baada ya ujenzi, kalai ulilobebea zege utaliweka sebuleni?
 
Shukurani ya punda ni mateke
 
Kwa tafsiri yako kile alichofanya Jecha ni wema!!!???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…