figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Yanasambazwa kwenye maofisi ya umma.. Ukienda unayakuta mezani.. Mwisho wa mwezi wanatuma bill.Hivi magazeti bado yana soko
Kuna bank nilikuwa naenda zamani imejaza foleni, wale waliokaa kwenye viti walikuwa wanapitia magazeti, ila nimeenda siku za karibuni sikuona hiyo foleni kwa kifupi pamepoa. Wa kusoma hayo magazeti wamepungua sana, hata wale waliokuwa wadau wa magazeti wanakiri hawanunui tena wanapata habari zote kwenye mitandao ya kijamii.Yanasambazwa kwenye maofisi ya umma.. Ukienda unayakuta mezani.. Mwisho wa mwezi wanatuma bill.
KATIBU MKUU WA CCM DKT. ASHA-ROSE MIGIRO KUZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, anatarajiwa kuzungumza na waandishi wa habari leo Jumatano, Agosti 26, 2026, saa 3:30 usiku.
Mkutano huo utafanyika katika Ofisi Ndogo za CCM, Lumumba, jijini Dar es Salaam.
Waandishi wa habari wanaombwa kufika kwa wakati kwa ajili ya kufuatilia mkutano huo na kupata taarifa muhimu kutoka kwa Katibu Mkuu wa CCM.
MY TAKE
mumechelewa, tushaprint Magazeti ya kesho. Japo nasikia kuna Magezti yanasubiri utasema nini.. Magazeti ya kimkakati

Kwa Hiyo?Mara ya mwisho kusoma gazeti ni 2021
Mara ya mwisho kusikiliza radio ni 2024
Tv nayo naishia kuangalia mpira tu wa NBC
Anatuangusha sanaHii Jinsia, sio watu wa kupewa nafasi muhimu
haha yatakeahaHivi magazeti bado yana soko
Wanawake sio wa kuongoza nchi, wanayumba sana! Stori ya Eva kwenye bustani ya Edeni ndani ya Biblia inakupa uhalisia wa mwanamke. Waliotunga hiyo stori hawakuota tu, ilitokana na maisha halisi kwenye jamii yao. Wanaume huwa tunajisahau sana wakati fulani na kuona wanawake kuwa ni wenzetu na wanaweza kutenda kama 'me'. Kupewa akili kuliko mamalias wengine hakutuondolei asili ya wanyama. Tunatoa vyeo kwenye nafasi muhimu kwa jinsia ya 'ke' ambao hawakustahili ili mradi kujifurahisha nafsi zetu.Hii Jinsia, sio watu wa kupewa nafasi muhimu
Kwani wanaoamini katika Giza?KATIBU MKUU WA CCM DKT. ASHA-ROSE MIGIRO KUZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO