CCM wamegeuka kuwa Polisi au Polisi ndio wamekua CCM?

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
61,459
Reaction score
100,799
Kuna mambo ya ajabu sana yanafanyika hadi unakosa majibu.

Eti askari ambaye amepata mafunzo kabisa anatumia gari la serikali kubomoa ofisi ya chama ambacho kina usajili halali, unakosa majibu!

Polisi mwenye akili timamu kabisa anajitokeza hadharani na kumbambikia kesi ya Ugaidi kiongozi wa chama cha siasa! Unakosa majibu

Unangalia kwa mshangao Askari mwenye akili timamu anamshika kalio mwanamke kisa tu kuilinda CCM. Unajiuliza hawa ni askari au ni malaika wa uharibifu?

Askari timamu kabisa (kwa nje) anawakamata wanachama wa chama halali wakiwa kwenye mkutano halali unasema wamekutwa kwenye pagala! Unajiuliza huyu askari anawaza kwa kutumia kiungo gani cha mwili??

Sometimes, unakuta askari mwenye familia kabisa anashindwa kutoafutisha Mambo yaa kimahakama na Tuhuma zake za kubumba, unajiuliza, "Kama huyu ndio IGP mwenye ako narrow minded kiasi hiki, vipi kuhusu anaowaongoza?" Unakaa kimya tu.

Askari kabisa na akili zake, hata kama ni chache, ni zake! Anakukamata kisa uko mahakamani! Unajiuliza, huyu ana akili kweli au kaziacha nyumbani?

Polisi acheni siasa kwenye mambo ya msingi
 
Natamani kama Wantanzania wangeweza kuyatambua na kuyaona haya yote,kwani wengi wamekubali kutokutumia akili zao kikamilifu.
 
Kuna mambo ya ajabu sana yanafanyika hadi unakosa majibu.

Eti askari ambaye amepata mafunzo kabisa anatumia gari la serikali kubomoa ofisi ya chama ambacho kina usajili halali, unakosa majibu!

Polisi mwenye akili timamu kabisa anajitokeza hadharani na kumbambikia kesi ya Ugaidi kiongozi wa chama cha siasa! Unakosa majibu

Unangalia kwa mshangao Askari mwenye akili timamu anamshika kalio mwanamke kisa tu kuilinda CCM. Unajiuliza hawa ni askari au ni malaika wa uharibifu?

Askari timamu kabisa (kwa nje) anawakamata wanachama wa chama halali wakiwa kwenye mkutano halali unasema wamekutwa kwenye pagala! Unajiuliza huyu askari anawaza kwa kutumia kiungo gani cha mwili??

Sometimes, unakuta askari mwenye familia kabisa anashindwa kutoafutisha Mambo yaa kimahakama na Tuhuma zake za kubumba, unajiuliza, "Kama huyu ndio IGP mwenye ako narrow minded kiasi hiki, vipi kuhusu anaowaongoza?" Unakaa kimya tu.

Askari kabisa na akili zake, hata kama ni chache, ni zake! Anakukamata kisa uko mahakamani! Unajiuliza, huyu ana akili kweli au kaziacha nyumbani?

Polisi acheni siasa kwenye mambo ya msingi
Mkuu yamekukuta Nini!!??
 
Hoja ya kupambana na ccm CHADEMA imeshinda Tangu zamani kilichobaki kwa Sasa ni kupambana na genge la polisi
IMG_20210806_115539.jpg
 
Ni suala la muda tu, narudia kusema kwamba ni suala la muda tu

Ccm kwa sasa imepoteza ushawishi wa kwa umma, hivyo matumizi ya vyombo vya dola ndio pekee yanawafanya wakae madarakani kwa shuruti. Na kadiri ccm wanavyozidi kupoteza ushawishi, ndio vyombo vya dola zinavyozidi kujiweka wazi. Nina uhakika mauaji makubwa yatazidi kuongezeka kadiri cdm itakavyozidi kuwasogelea wananchi. Lakini hizi ni dalili za wazi kuwa sasa ccm haiko mbali na kuachia dola, na machafuko naona ndio yatakuwa njia pekee ya kuitoa ccm madarakani.
 
Fact
 
Ma rpc wengi tumaini lao ni teuzi za ubunge baada ya kustaafu hivyo lzm waandae cv ya kuwashughulikia wapinzani Ili wakistaaafu ccm iwaonee huruma

Pia hivyo vyeo vyao ni nafasi ya kulia rushwa. Hivyo wanajua wakifanya kinachowafurahisha watawala waliopo madarakani kwa wizi wa kura, watawaacha kwenye nafasi zao waendelee kula rushwa.
 
Kuna mambo ya ajabu sana yanafanyika hadi unakosa majibu.

Eti askari ambaye amepata mafunzo kabisa anatumia gari la serikali kubomoa ofisi ya chama ambacho kina usajili halali, unakosa majibu!

Polisi mwenye akili timamu kabisa anajitokeza hadharani na kumbambikia kesi ya Ugaidi kiongozi wa chama cha siasa! Unakosa majibu

Unangalia kwa mshangao Askari mwenye akili timamu anamshika kalio mwanamke kisa tu kuilinda CCM. Unajiuliza hawa ni askari au ni malaika wa uharibifu?

Askari timamu kabisa (kwa nje) anawakamata wanachama wa chama halali wakiwa kwenye mkutano halali unasema wamekutwa kwenye pagala! Unajiuliza huyu askari anawaza kwa kutumia kiungo gani cha mwili??

Sometimes, unakuta askari mwenye familia kabisa anashindwa kutoafutisha Mambo yaa kimahakama na Tuhuma zake za kubumba, unajiuliza, "Kama huyu ndio IGP mwenye ako narrow minded kiasi hiki, vipi kuhusu anaowaongoza?" Unakaa kimya tu.

Askari kabisa na akili zake, hata kama ni chache, ni zake! Anakukamata kisa uko mahakamani! Unajiuliza, huyu ana akili kweli au kaziacha nyumbani?

Polisi acheni siasa kwenye mambo ya msingi
Ndio Hali ilivyo kwa Sasa hiyo ndio Falsafa ya Kazi Iendelee ile Aliyoianzisha MAGUFULI
 
We acha tu. Vile vyeo vya kule juu Top 10 pale ndio wanufaika na huu unyanyasaji. Tunamlilia Mungu afanye kama kazi yake kulr wizara ya Mizinga na mabomu.
 
Pia hivyo vyeo vyao ni nafasi ya kulia rushwa. Hivyo wanajua wakifanya kinachowafurahisha watawala waliopo madarakani kwa wizi wa kura, watawaacha kwenye nafasi zao waendelee kula rushwa.
Ni wachafu ndio maana wako tayati kufanya lilote wabaki walipo. Hofu
 
Siku hizi wananchi Wana uwezo wa kuchambua mambo ndiyo maana kila kinachosemwa wananchi wanatulia na kutafakari kuanzia lugha inayotumika Mpaka mantiki ya hoja.

Tunapotafakari tuhuma kwamba Polisi hawana akili tunajiuliza wale wenye akili zaidi ya Polisi wametumiaje akili zao au wametumia Polisi kama nyenzo ya kuwaaminisha wananzengo kwamba wao Wana akili kubwa kuliko Polisi ILI iwe rahisi Kupata huruma?

Katika hali kama hii tungependa Polisi wafanye nini?

Kwa mazingira haya hakuna kiongozi anayeweza kukubalika na watu wote lazima Kuna kundi litamkataa jambo la muhimu ni kutafuta namna ya kuishi na kundi pinzani Katika nchi.

Siku zote ILI wapinzani waonekane kuwepo lazima wapinge tatizo ni njia wanazotumia ambazo nyingine hazifai zinadidimiza uchumi nchi nyingi kusini kwa jangwa la Sahara zikifuata Demokrasia ya kweli zitadidimia kiuchumi badala yake tujenge uwezo wa udhibiti ulio wa haki ingawa tatizo kubwa ni kuwapata watu wenye nia njema wengi wao ni wanaotetea maslahi binafsi.
 
Inaitwa savior for the fitness,KILA mbabe na mnyonge wake Ili kulinda teuzi
 
Waliosoma utumia Kazi ya police kama daraja la maisha kuvukia fursa zingine,mtu aliyeelimika hawezi pokea amri bila kureasoning lzm atahoji nature ya Kazi hii ni marufuku kuhoji amri yeyeto we ni kutii sasa mtu anayereasoning na mpenda haki hawezi kuwa sehemu ya udhalimu,atajichuja mwenyewe kutaka Kazi ridhiko la nafsi.
 
Back
Top Bottom