CCM wamepiga marufuku wanachama wao kuanza kampeni kabla ya muda, lakini wao kuchaguana kabla ya muda sawa......AUTHORITARIAN OF HIGHEST DEGREE

CCM wamepiga marufuku wanachama wao kuanza kampeni kabla ya muda, lakini wao kuchaguana kabla ya muda sawa......AUTHORITARIAN OF HIGHEST DEGREE

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Ukisikia hekaya za aAbunuwasi ndiyo hizi.
Jana Samia amekataza watu kuanza kampeni kabla ya muda.

Strange enough wao wamechaguana tayari kabla ya Jogoo kuwika.

Ukisikia chama cha kishenzi ndiyo hiki! Total dictatorship/authoritarian = favouring or enforcing strict obedience to authority at the expense of personal freedom
 
Leo kuna mtu kakabia kwa juu🤣

Kaamua kufanya Suprize la nguvu!

Unaleta usani kwenye jumba la sanaa
 
Back
Top Bottom