SIELEWIUnaelewa Maana ya Kampeni 🐼
Basi punguza kihelehele 😂SIELEWI
Is ACT a yardstick measure of demokracy? Afteral, hawajakataza kampeni kwa wanachama waoBasi punguza kihelehele 😂
ACT wazalendo washatangaza wagombea Urais wa Tanganyika na Unguja
ndiyo Lucas Mwashambwa alikuwa anaita surprise? ujinga mtupu ndiyo surprise?Leo kuna mtu kakabia kwa juu🤣
Kaamua kufanya Suprize la nguvu!
Unaleta usani kwenye jumba la sanaa
BYEYOMBO KELELEwajumbe tumeridhia.....bawacha kwanini mnaumia?