Watu wa 2024 siyo wa 1947. Wanahangaika sana Kwa kuwa hawaaminiki tena!Wasaam,
Leo nilikua mitaa ya Vingunguti nilienda salamia jamaa zangu nikashangazwa na viongozi wa CCM kupita nyumba hadi nyumba kuandiksha wapiga kura kwa kuwapa ahadi za kuja kuwagawia pesa na mikopo mbalimbali wakati uchaguzi ukiwadia.
Kiukweli hii ni rushwa ya kisiasa kama sio kampeni kabla ya kuruhusiwa kampeni, au tuseme labda ni haki yao kikatiba?
Naamini ingekuwa ni CHAMA chengine cha siasa basi police wangeshawazingira na msajili wa vyama vya siasa angeitisha press haraka na kulaani.
Wakifika wachukua hata namba za kitambulisho cha mpiga kura.Watu wa 2024 siyo wa 1947. Wanahangaika sana Kwa kuwa hawaaminiki tena!
Ulitaka nani apiteWasaam,
Leo nilikua mitaa ya Vingunguti nilienda salamia jamaa zangu nikashangazwa na viongozi wa CCM kupita nyumba hadi nyumba kuandiksha wapiga kura kwa kuwapa ahadi za kuja kuwagawia pesa na mikopo mbalimbali wakati uchaguzi ukiwadia.
Kiukweli hii ni rushwa ya kisiasa kama sio kampeni kabla ya kuruhusiwa kampeni, au tuseme labda ni haki yao kikatiba?
Naamini ingekuwa ni CHAMA chengine cha siasa basi police wangeshawazingira na msajili wa vyama vya siasa angeitisha press haraka na kulaani.
Ni hatari sana huu mchezo wanaolazimisha CCM safari hii.Uko sahihi mkuu
Wapinzani gani mzee? Waliopo wote ni wachumba tu mbele ya CCM.Uchaguzi wa 2025, CCM watatumia fedha nyingi sana ili kuhonga. Waarabu watamsaidia Samia ili abaki kuwa rais na wao waendelee kukomba nchi. Upinzani wanatakiwa kuanzisha kampeni ya ''kula kwa CCM, kura kwa upinzani''. Tukatei huyu kibaraka wa waarabu!
Ni kama unaona CHADEMA ndio tatizo kubwa kwa yanayoendelea nchini.Kama haya uliyo eleza hapa yana ukweli wowote, hata theluthi moja tu ya ukweli (na sina sababu ya kukuhoji juu yake); ule unaoitwa "UJINGA" wa waTanzania unaanzia hapa hapa kuruhusu haya yaendelee kuwepo.
Lakini, kama nilivyo wahi kueleza, huu siyo "ujinga" wa waTanzania; bali ni sehemu ya mwendelezo wa "UTEKAJI" wa waTanzania na genge hili ndani ya CCM.
Hii ndiyo hatua inayotakiwa kukataliwa kwa nguvu zote na wote wanaojiamini wao siyo wajinga wala mateka.
Kuruhusu upuuzi wa namna hii kuendelea kuwepo ni dhambi kubwa sana waTanzania wa leo wanayoitendea nchi yao.
Inabidi nieleze uhusiano wa zoezi hili na "utekwaji" wanaofanyiwa waTanzania bila wao kujitambua.
Waziri wa Mambo ya Ndani (Msabuni, ndiyo najua jina lake); hivi karibuni amenukuliwa akihimiza wajumbe wa nyumba kumi kuwafikia wananchi kwa zoezi hilo; na kajitapa kwamba yeye ndiye mkuu wa "mapolisi".
Sasa kinacho shangaza, vyama vya upinzani, hususani CHADEMA ni kama hawaelewi kinachozungumzwa na mtu kilaza kama huyo.
CCM tayari wamo kazini kuvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa, kwa maandalizi ya kuvuruga uchaguzi mkuu!
Halafu kila mtu anajifanya kama hajui chochote kinacho endelea!
Tatizo ni CCM, tusijaribu kuvuruga mwelekeo tunao ujua sote.Ni kama unaona CHADEMA ndio tatizo kubwa kwa yanayoendelea nchini.
Unatarajia CHADEMA wafanye nini hasa?
Relax. Nimesoma maandishi yako kadhaa. Kuhusu CCM kuwa tatizo hiyo ni fact na reality yetu. Hakuna asiyejua na haina mjadala.Tatizo ni CCM, tusijaribu kuvuruga mwelekeo tunao ujua sote.
Ndiyo, matumaini makubwa kwa sassa hivi ni CHADEMA zaidi ya chama kingine chochote cha siasa, na hili halihitaji maelezo, hasa kwa mtu kama wewe.
"Matarajio kwa CHADEMA"? Kuna asiyejuwa yanayofanywa na CCM kuvuruga chaguzi? Huu ni uhalifu. Uvunjifu wa sheria.
Mahakama iliyo wazi ni ya wananchi wenyewe, wapiga kura, ambao kura zao tayari mipango inafanyika kuziharibu.
Bado unaniuliza nataka CHADEMA wafanye nini? Waende mahakamani na mahakama itaamua yenyewe ifanye nini.
Mkuu 'Drifter', kila tunapokutana unakuwa 'defensive' sana kuhusu wajibu wa CHADEMA kwa wananchi wa nchi hii.
Masauni kuanza kuwatumia wajumbe wa nyumba kumi kumi huko mitaani; CHADEMA kweli hawana jibu juu ya upumbavu wa aina hiyo? Sasa watafanya kazi gani CHADEMA na wawe na mategemeo gani kwenye chaguzi hizi kama njia zilezile zinazofahamika miaka yote zinaendelea kutumika kuvuruga chaguzi.
Hebu wewe nieleze matumaini ya CHADEMA hasa yapo wapi?
Duh!Relax. Nimesoma maandishi yako kadhaa. Kuhusu CCM kuwa tatizo hiyo ni fact na reality yetu. Hakuna asiyejua na haina mjadala.
Kuhusu suluhisho, nimekusoma ukilalamika kuwa Watanzania wako tayari kubadilisha hali lakini CHADEMA ni kama vile hawajielewi. Yaani “hawachukui nafasi yao” kama chama kikuu cha upinzani. You can still correct my understanding of your main concern.
Ndio maana nakuuliza wewe binafsi unatarajia CHADEMA wafanye nini ili kufanikisha huo “utayari” wa Watanzania kuondoa tatizo CCM?
Ccm watafanya vyovyote wanavyotaka,ila unabii ni lazima utumie. Ccm jiandaeni kisaikolojia Maana mbingu ilishaamua tunasubiri wakati tu.Wasaam,
Leo nilikua mitaa ya Vingunguti nilienda salamia jamaa zangu nikashangazwa na viongozi wa CCM kupita nyumba hadi nyumba kuandiksha wapiga kura kwa kuwapa ahadi za kuja kuwagawia pesa na mikopo mbalimbali wakati uchaguzi ukiwadia.
Kiukweli hii ni rushwa ya kisiasa kama sio kampeni kabla ya kuruhusiwa kampeni, au tuseme labda ni haki yao kikatiba?
Naamini ingekuwa ni CHAMA chengine cha siasa basi police wangeshawazingira na msajili wa vyama vya siasa angeitisha press haraka na kulaani.
Kama una ushahidi wa usemayo, ama nenda wewe mwenyewe kuripoti Tume ya Uchaguzi; au wasilisha tuhuma zako kwenye Chama chako upendekeze wafanye hivyo badala yako.Wasaam,
Leo nilikua mitaa ya Vingunguti nilienda salamia jamaa zangu nikashangazwa na viongozi wa CCM kupita nyumba hadi nyumba kuandiksha wapiga kura kwa kuwapa ahadi za kuja kuwagawia pesa na mikopo mbalimbali wakati uchaguzi ukiwadia.
Kiukweli hii ni rushwa ya kisiasa kama sio kampeni kabla ya kuruhusiwa kampeni, au tuseme labda ni haki yao kikatiba?
Naamini ingekuwa ni CHAMA chengine cha siasa basi police wangeshawazingira na msajili wa vyama vya siasa angeitisha press haraka na kulaani.
Acha unazi wa kihayawani wewe ...Matokeo yalipinduliwa tu,CCM na Magufuli walichakazwa na Hayati Lowasa.Ni mtu wa kariba yako tu mwenye kuamini eti Magufuli alimshinda Lowasa.Huyo Mmasai alichakaza mpaka kanda ya ziwa ambako Magufuli anakotoka,tena Mkoani Geita ndiyo kabisaaaa,mpaka Chato na Magufuli ameenda akiwa analijua hili.Fuatilia kama Magufuli aliwahi kurudi kufanya mkutano Mjini Geita katika mihula yake ya utawala nje ya kipindi cha kampeni.Ajenda kuu mpaka sasa ni CCM wango'ke kwanza....Fursa ya mbinu yoyote yenye kuweza kufanikisha hili kwa amani ni lazima itumike.CCM wanatumia mbinu kubaki madarakani,na wataondolewa kwa mbinu pia.Wapinzani gani mzee? Waliopo wote ni wachumba tu mbele ya CCM.
pa inchi. Yaani ni mara mbili tundulisu.
Kunguru mwoga .....punguani kabisa2025 fomu ni moja
elections is a process, elections is very expensive ni vizuri ikaeleweka vizuri hii 🐒Wasaam,